Uchaguzi 2025 Msigwa na Sugu wamekuwa mahasimu kitu ambacho hakipendezi kwa afya ya chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
44,121
82,194
Mbowe, Lisu and all concerned, take care of this.

Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.

Malumbano yao hayana "upendo" ila yanajenga uadui kati yao na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishii karibu, itaenea na majimbo mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.

Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but enemies!
 
Kama ndani ya chama tu hakuna Ile kitu "let's agree to disagree" Je, inakuwaje kati ya chama na chama cha upinzani?

Mjumuiko wa watu ktk taasisi yoyote duniani hawawezi kukubaliana Kila kitu kwa 100%

Katika Hali kama hiyo lazima muangalie vitu vya msingi vinavyowaunganisha na kuzika vitu vdogo vdogo vinavyowatofautisha
 
Kama ndani ya chama tu hakuna Ile kitu "let's agree to disagree" Jee inakuwaje kati ya chama na chama cha upinzani ?

Mjumuiko wa watu ktk taasisi yoyote duniani hawawezi kukubaliana Kila kitu kwa 100%
Katika Hali kama hiyo lazima muangalie vitu vya msingi vinavyowaunganisha na kuzika vitu vdogo vdogo vinavyowatofautisha
Uko sahihi, lazima kuangalia situations. Tanzania ni dictatorial state, inaongozwa kwa udikiteita na CCM. Lazima kungalia mienendo yenu katika doings zenu short of that CCM will take advantage of this.

"let's agree to disagree", YES, FINE, BUT AT WHOSE ADVANTAGEDISADVANTAGE? Hili ni la msingi!

chadema inajijenga bado, mkianza mipasuko kama hii midogo midogo, na kuhusisha uongozi wa juu akina Mrema wanalalamikiwa , you perish!
 
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.

Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.

Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.

Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Tena akishinda Sugu (arrogant) ataendeleza vijembe Mpka basi. Utakuwa mwisho wa siasa za CHADEMA Kanda ya nyasa
 
Tatizo linaanzia pale ambapo CHADEMA kuanzia viongozi, wanachama hadi mashabiki huwa hakuna mahali yeyote kati niliotaja anakuwa tayari kukubali kwamba tunakosea hapa na hapa. Shida sio Sugu na Msigwa, shida ni Mbowe, ila hata mleta mada hapa kakwepa kusema. Kitu alichokiongea Lissu akiwa Iringa ndo kinachotokea leo, Lissu alisema kuna pesa chafu za hongo zinatembea kwenye uchaguzi wa kanda na Msigwa karudia hivyohivyo kulalamikia rafu. Mbowe ana watu wake kwenye kamati kuu ndo anataka wapite kwenye uongozi kote nchini kwenye kanda zote, ndo shida inapoanzia. Msipoliangalia hilo kama tatizo basi mtakuwa mnaipa point CCM.
 
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.

Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.

Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.

Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Mkuu in politics there is no friendship or enemity but permanent common interests. Usiogope wanaonesha ukomavu wao kisiasa na ukomavu wa chama. That is very normal!
 
Uko sahihi, lazima kuangalia situations. Tanzania ni dictatorial state, inaongozwa kwa udikiteita na CCM. Lazima kungalia mienendo yenu katika doings zenu short of that CCM will take advantage of this.

"let's agree to disagree", YES, FINE, BUT AT WHOSE ADVANTAGEDISADVANTAGE? Hili ni la msingi!

chadema inajijenga bado, mkianza mipasuko kama hii midogo midogo, na kuhusisha uongozi wa juu akina Mrema wanalalamikiwa , you perish!
Mkuu in politics there are no soft landings for strong politicians. It's either you land hard or you stand strong! That is the way it is!
 
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.

Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.

Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.

Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Nadhani ndiyo tumefanya hiyo kuwa ndiyo mfumo wa chaguzi zetu kama nchi. Ndiyo maana minyukano huwa ni sehemu ya maisha kwenye vyama.

Na kwa sasa inakuwa mbaya zaidi kwa kuwa Msigwa amefanya kama adui wa chama, inafanywa ni sawa kufanyiwa chochote kile kibaya.

Msigwa amepishana misimamo na Mbowe, na kwa bahati mbaya hali ya kufanywa ukipishana na Mbowe ndiyo umepishana na chama ishakomaa.

Hivyo, uchaguzi huo umefanywa kama sehemu ya kumkata mapembe Msigwa au kumtoa kwenye 'ukigogo' ndani ya chama kama ilivyo sasa.

Hata Lissu alipoleta hoja ya kuuweka uwanja sawa wa uchaguzi wa Sugu na Msigwa, naye akaonekana kama anaanza kuwa adui wa chama.

Na kama Mslgwa atashindwa, sijui kama uhai wake kwenye chama utaendelea, maana namuona zaidi nje ya chama kuliko ndani.

Na kama Sugu akianguka, hapo kuna ujumbe mzito ambao Msigwa atapeleka kwa lile kundi la 'wenye' chama, na kuelekea mapinduzi ndani ya chama.

Ova
 
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.

Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.

Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.

Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Umetuacha kizani kabisa!
Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Mdahalo wao walifanya nini hadi wawe 'ENEMIES'; walitwangana makonde, walishambuliana bila hoja za kukitetea chama?

Ungependa kutushirikisha tujue kwa nini unahitimisha haya, nasi ingetusaidia kujuwa. Lakini nadhani ume'assume' tu kwamba tuata elewa unachoongelea hapa.

Panapokuwepo na mdahalo, hasa unaohusisha ushindani, ni lazima pawepo na hatihati ya namna fulani, lakini katika hali ya kawaida, baada ya hapo mambo huwa shwari.

Sasa sijui kama kwa ulivyoona wewe kwenye hawa wawili hali itakuwa ni tofauti, hili hatuwezi kulijuwa.

Tena umekwenda mbali zaidi na kuwa nahofu kwamba hali hiyo itaenea na kwingine! Maana yake ni kuwa, pamoja na kutoeleza sababu zako za kudhani hivyo, inawezekana kuna mambo ya ziada chini ya kapeti unayoyajuwa kuwa yamo ndani ya chama, na siyo kwa sababu tu ya hawa wawili kutoana jasho kwenye mdahalo.

Kwa hiyo, wasiwasi wako uelekeze kwenye chama, siyo kwa hawa wawili.
 
Rushwa hupofusha macho

Mbowe alishasema anang'atuka lakini amekuwa kama Prof Lipumba

Kwa nilichoshuhudia Temeke Tundu Lisu akihama Chadema itakuwa Club ya Mbege kama TLP
Lakini hukutueleza hayo uliyo shuhudia Temeke, mbali ya uliyoeleza kwenye mada ile kuhusu yaliyosemwa na Lissu.

Au tuseme hayo ya uliyoona umeyaweka kiporo hadi hapo mtifuano utakapo anza?
 
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.

Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.

Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.

Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Aiseeh! Mimi nilipoangalia ule mdahalo nikajisemea mbona Hawa jamaa Kama vile hawatokei chama kimoja.
 
Lakini hukutueleza hayo uliyo shuhudia Temeke, mbali ya uliyoeleza kwenye mada ile kuhusu yaliyosemwa na Lissu.

Au tuseme hayo ya uliyoona umeyaweka kiporo hadi hapo mtifuano utakapo anza?
Wewe fikiria Tundu Lisu ana Mkutano mkubwa Temeke na akina Soka wako busy na maandalizi yule Boniyai aliyekuwa Mlinzi wa Mbowe yuko busy huko Kawe kufungua vijiwe Vya makamanda kule Kawe kwa Halima Mdee

Lisu anahujumiwa na chama chake kwa maslahi ya Chama Dume
 
Back
Top Bottom