Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.
Kama wewe ni shabiki wa Mpira na unaangalia mpira wa timu za hapa nchini utatambua kwa nini Simba SSC haipati matokeo. Ukiacha kufungwa magoli ya Corner na Free Kicks ambazo wana wanashindwa kucheza vizuri. Wachezaji karibia 90% wa Simba hawawezi kukaa na mpira yaani kupiga chenga na kufosi...
Katika Uislamu kuna elimu inaitwa Hadithi inarejelea kile ambacho Waislamu wengi tunaamini kuwa ni rekodi ya maneno, vitendo, na idhini ya kimya ya nabii wa Kiislamu Muhammad s.a.w kama inavyopitishwa kupitia misururu ya wasimulizi.
Kwa maneno mengine, Hadith ni riwaya kuhusu yale aliyosema na...
Wakuu, tukiachana na watu wako wa karibu kukuomba pesa kipi kingine ukiombwa huwa unakereka sana? Binafsi ni haya matatu.
1.Simu yako ina dakika uniazime?
2.Kuombana vifaa vya kazi.
3.Kuombana mavazi hasa viatu.
Je wewe kuna mengine yanakukera au yote ni sawa kwako?
Mrema ni Mchaga makini sana. Anaweza kubalance biashara, maisha na siasa. Kwa kifupi Mrema ni mwanasiasa mfanyabiashara. Kila alifanyalo analiwekeza kwenye kupata.
Pamoja na kuwa mpinzani Mrema ameendelea kutambulika na kila Serikali tangu Enzi za Mkapa wakati Chama chake kilikuwa kinakula...
Habarini wandugu... Kuna jamaa anakaa mbali sana na anapo fanyia shughuli zake.
Yule jamaa kapanga Kivule halafu shughuli zake anafanyia Bunju(kwa wenyeji wa DSM wanaelewa shughuli yake ulovyo huo umbali) nadhani 23 km na kidogo inaweza fika.
Sasa nikashindwa mshauri maana sababu yake kubwa...
Wakati wa mwendazake karibu Kila mtu alikuwa akitamka kwamba utawala wa mwendazake hautofika mbali.
Ilikuwa unaweza ukakutana na kajamaa kametoka kijijini kwako huko Isungachupi , hakajui chochote kuhusu utabiri lakini kanakwambi Kwa confidence kabisa kwamba " Ndugu yangu wee huyu jamaa...
Kama kuna kichaa duniani leo ambaye anaweza kuitumbukiza dunia kwenye vita kuu ya tatu ni Rais na msanii wa kuchekesha Zelensky wa Ukraine.
Kila kukicha anazililia nchi wanachama wa NATO waweke zuio la ndege yoyote kuruka nchini Ukraine.
Hivi anaelewa matokeo yake? Kwa mawazo yake anadhani...
Wakuu Kwema!
Wangapi mnamkumbuka Venance Shitindi?
Huyu jamaa alikuwa Kiboko, watu wengi walikuwa wakimkubali Sana Kwa misimamo yake isiyoyumbishwa, alitetea wanyonge wasinyongwe, alijihatarisha masomo yake Kwa ajili ya watu.
Taikon nilikuwa navutiwa na Siasa za huyu jamaa kipindi tunasoma...
Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au uneme.
Imekuwa kawaida kwa wasambazaji wa huduma hii kujiongezea kiwango Cha pesa pasipo washirikisha...
Ogopa sana Kifaru mwenye Hasira Kali za Kujeruhiwa aliyemkuta Simba aliyebweteka kwa Kujiamini baada ya Kushiba kiasi kwa Kitoweo dhaifu cha Misitu ya nchini Niger.
UTANGULIZI
Mambo mengi sana yameongelewa, lakini kuna yaliyofichika nyuma ya pazia. Unapoangalia mgogoro wa Ukraine na kuuchambua hebu tujitahidi kuzingatia haya mambo muhimu yafuatayo. Tuzingatie umuhimu wa kiuchumi wa nchi ya Ukraine kwenye siasa za Urusi, Marekani na Ulaya. Hapa nazungumzia...
Volodymyr Zelensky ametoa ombi jingine kwa washirika wa nchi za Magharibi kuisaidia Ukraine na kukomesha mashambulizi ya kikatili ya Urusi.
"Leo asubuhi tunalinda taifa letu peke yetu. Kama jana, majeshi yenye nguvu zaidi duniani yanatazama kutoka mbali," Zelensky alisema katika hotuba yake kwa...
Wasalaam, bila shaka muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya usiku hapo kitandani. Bila shaka wengi wetu tuna mahusiano ya kimapenzi na watu ambao kutokana na mihangaiko ya maisha wamesambaa mikoa mbalimbali. Binafsi nnao kama watano ktk mikoa tofauti. Na kwa sasa nimeoa na kujaliwa watoto...
Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai.
Mahakama imeeleza kuwa kesi hiyo...
Mahakama ya Shirikisho la Australia siku ya Jumapili Januari 16 ilikataa rufaa iliyoletwa na Bingwa wa Tennis duniani Novak Djokovic dhidi ya kufutwa kwa visa yake na kufukuzwa nchini.
Mahakama inaamuru kwamba rufaa itupiliwe mbali kwa gharama ya mlalamikaji," umebaini uamuzi huo ulioidhinishwa...
Ukweli ndio huu, mpaka tuje tufanye uchaguzi mkuu mwaka 2025 tutakuwa tumeshaumizwa sana. Maana kuna dalili za safu ya kulipiga na kulimaza kabisa hili taifa.
Sasa kuna uwezekano wa kutumia bunge au nguvu ya umma wakaachia ngazi? Maana tusikubali kuibiwa na kufanywa watwana.
Muda mfupi uliopita nilikuwa nasoma habari kwenye tovuti ya The citizen kuhusu huyu mzee Njonjo ambaye aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa Kenya kwa takriban miaka 17. Kilichonivutia hasa kuhusu habari hii ni uhusiano kati ya Mwai Kibaki na marehemu mzee Njonjo. Mwandishi anadai wazee hawa waliishi...
Watu wenye tabia za ki-antsocial huwa na tabia zifuatazo.
1.Hawajali haki za wengine.
2. Huwa ni wenye hila(Manipulative). Wanafanyafanya ujanja ili wakutake advantage.
3. Waongo. Ni watu waongo waongo ili wafanikishe mambo yao au kucover uovu wao. Uingo wa kujirudiarudia
4. Hawajutii makosa...
Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani.
James Web telescope ni mradi uliutumia zaidi ya trillion 22.3 na kuchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.