mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kila kesi ni Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi

    Ndiyo mwendo na siyo coincidence, ni deliberate move from the so called judiciary! Takataka
  2. A

    Mbali na spika, mbongo aishiye uingereza amchangia milioni 20 mwenye uvimbe shingoni; mchango wafikia mil. 30, bado mil. 10 tu

    "Mungu ni mkubwa jamani! Mungu Anaweza nyiye! Mungu hashindwi na jambo lolote. Sikutegemea kama Watanzania wenzangu watachangia hadi sasa kupata shilingi milioni thelathini (30,000,000)... "Japokuwa niliamini kwa imani kwamba zitafika. Sasa Mungu yeye amefanya kwa vitendo," Ndivyo alivyosema...
  3. secretarybird

    Ulishawahi kuwa mbali na nyumbani kwenu/kwako kwa muda mrefu bila mawasiliano uliporudi ukakuta jambo la kuogopesha/kudikitisha?

    Kuna ile hali ambapo unaweza kuwa mbali na kwenu au kwako (japo hii haiwakuti wengi) halafu huna mawasiliano na watu wa nyumbani kutokana na sababu kama shule (kusoma boarding), shughuli za utafutaji n.k halafu unaporejea unakuta jambo lisilopendeza/ linaloogopesha au kukuumiza. Mimi wakati...
  4. M

    Mahakama ya Afrika yatupilia mbali shauri la kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa uamuzi wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kuhusu shauri lililopinga uhalali wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020. Katika hukumu yake, mahakama hiyo imetupilia mbali kesi hiyo kwa kukosa mashiko ya kisheria na ushahidi thabiti. Wapinga...
  5. O

    Governer George Natembeya Wins Big: Court Yatupilia Mbali Charges, Apewa Sh2.5M for Rights Violation”

    High Court imetupilia mbali kesi ya ufisadi dhidi ya Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, ikisema uchunguzi uliofanywa ulikiuka katiba. Justice Bahati Mwamuye aliamua kuwa maafisa wa Ethics and Anti-Corruption Commission walikiuka haki za gavana wakati wa kumkamata, hasa kwa kumkatalia...
  6. Kumfumaster97

    Je inawezekana kubadilisha namba niliyounganisha na NMB Acc. Ilhali hiyo laini nilishaipoteza na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo?

    Habari za muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza Je! Naweza kuunganisha namba mpya ninayoitumia kwenye NMB kwa sababu namba ya simu niliyounganisha mwanzoni wakati nafungua Account haipo yaani ilishapotea na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo
  7. Magical power

    Wakuu nimerejea tena kutoka sayari ya mbali baaya kupotea kwa mda wa miaka miwili

    Kama kichwa Cha habari kinavyo SEMA,pia nimewakumbuka sana ndugu zangu w kina jinuni wanawasalimia sana wakina maimuna na sharifu. Nambie una jambo gani linalo kutatiza nikusaidie mara Moja🙏🏽
  8. haszu

    Inakuaje madada mzuri anakuja kuishi maisha ya ajabu na ya hovyo mbali na kua na soko?

    Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kabla hawajachelewa. Leo nimekutaa na rafiki yangu wa muda mrefu, akiwa chuo...
  9. Pdidy

    Mohamed Shabalala aliona mbali sana Kukimbia Simba

    LEO NILIKUWA NA WANA SIMBA SEHEMU NA HAYA NDIO MANENO YAOOO KAKA DIDY NIKWAMBIE TU SHABALALA ALIKUWA CAPTAIN YULE JAMAA ALIKUWA CLOSE NA VIONGOZI NA KABLA YA KUONDOKA ALITOA BAADHI YA USHAURI WAKAMKATILIA AKAONA BORA AONDOKE AWACHIE SIMBA YULE BWANA AKANZA KUELEZA UKWELI WACHEZAJI WENGINE...
  10. Voltaire

    2030 ni miaka 4 na miezi kadhaa tu, sio mbali!

    Kwa kilichotokea Oct 29/2025, na kinachoendelea sasa kinatafakarisha saaaana tutapouendea uchaguzi mkuu wa 2030. Mihimili yote mitatu inaonekana wazi kabisa inajiendea ili mambo yaende na kula zao ziendelee kuwepo tu,haihitaji degree ya chuo kikuu kuliona hilo! Bunge limekuwa la kusifia...
  11. Mshana Jr

    Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

    London. Mkoloni ana njia nyingi za kuwaweka katika mstari ulionyoka. Machief wa Tanganyika ziarani Uingereza 1951.
  12. K

    Rostam kunyamaza sio bahati mbaya!Analinda biashara zake

    Rostam kunyamaza sio bahati mbaya!Anaona mbali. Anajua mambo sio mazuri na asipokuwa makini naye anaweza kuhusishwa na kesi ya Mama ya mauaji huko EU. Lakini anaogopa kampuni zake zisiwekewe vikwazo akashidwa kuchukuwa mikopo au yeye binafsi bank account zake zinaweza kutaifishwa za huko nje...
  13. 4

    Kikundi cha utekaji hamko salama kama mnavyofikili, wakuu wakiamulia kufyekelea mbali wiki mbili nyingi sana

    BWANA NA MWOKOZI WETU AWE JUU YENU KILA MMOJA KWA AMANI YAKE WANA JF MLIPO POPOTE Naenda kwenye mada . Nyie watekaji na wauwaji wa Tanzania wenzenu ,chukua ujumbe huu tena kwa umakini mkubwa. Najua mnalipwa, kwa kazi hii haramu, kama wahudumu wa afya huweza sikitika nyoyoni mwao pale...
  14. Miguel255

    Changamoto ya maji imenikumbusha mbali. Soma ujifunze

    Sasahivi wanaotamba mjini ni wale wenye nyumba zenye visima. Yaani wakati watu wanahangaika na foleni ya madumu wao wanaoga kutwa mara mbili mpaka tatu, wanafua kila siku na wengine hadi maua wanamwagilizia. Hii hali imenikumbusha kipindi fulani nafanya kazi kwa wahindi upanga dar es salaam...
  15. T

    Kama umeolewa/umeoa Askari na unajua alishiriki kwenye mauaji, kaa mbali nae, atakuja kukuua

    Tahadhari kabla ya hatari Ukishaonja damu mara moja, huwezi kuacha, inakua kiu ya kila siku Hamu ya damu waliyokunywa itabaki milele, na ikifika muda wakakosa na kiu ikabana watakunya kwako au kwa watoto wako. Chukua tahadhari kabla ya hatari
  16. F

    Mbowe aliona mbali sana aliposema Samia must go

    Haya mambo tunayoona yakiwekwa kwenye agenda ya 9D kuhusu SSH Must Go Mbowe aliyasema siku nyingi na sasa tunaona yanakaribia. Twende mbele.
  17. Mikopo Consultant

    Uso wenye nuru ni ishara ya ukaribu kwa Mungu; uso uliopoteza nuru ni ya kuwa mbali na Mungu!

    Mawazo haya nimeyatoa kwenye Biblia: Kutoka 34: 29-35. Musa alivyoshuka mlima wa Sinai, alipokuwa anafanya agano na Mungu, Haruni na wana wa Israel waliona ngozi ya uso wa Musa ikiwa inang'aa sana (japo Musa alikuwa hajui kama uso wake unang'aa na una nuru kali). Na walipoona hivo, waliogopa...
  18. R

    PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kuidharau amri ya Mahakama yatupiliwa mbali

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania...
  19. Heparin

    PostGE2025 Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo

    Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kusitisha msaada kwa serikali ya Tanzania na kuwawekea vikwazo wahusika wa ukandamizaji uliofanywa baada ya uchaguzi mkuu. Wabunge wa Ulaya wamelaani vikali vitendo hivyo na kutaka kuachiwa kwa wapinzani waliokamatwa. Wamesisitiza kuwa...
  20. Mad Max

    Mrithi wa Lewis Hamilton, Kimi Antonelli, anawapelekea moto wakongwe kwenye F1 Championship. Dogo atafika mbali!

    Baada ya Lewis Hamilton kuhama Mercedes Benz na kwenda Ferrari wengi tulitegemea maajabu mengi ila hamna kitu. Ata podiums tu huu msimu za kuhesabika. Move ya MB kumtoa Kimi Antonelli kutoka Mercedes Benz Junior Racing kuja F1 kumreplace Hamilton wengi walijua wamebugi. Ila dogo ni wa moto...
Back
Top Bottom