Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.
Habari zenu wakuu,, jinsi Dunia inavoonekana Kwa mbali Kwa kweli ni kitu Cha kustaajabisha
Hua Nawaza kama Kuna sehemu ( sayari ) Kuna viumbe kama sisi basi siku wakija huku watakua wanashangaa sana
Maana Kwa picha zinazoonekana Kwa mbali huwezi Dhania ndani ya hio Dunia ukifika Kuna...
Moja ya kitu alichofanyikiwa Jamaa ni kuwaamnisha Waumini wake wajinga wajinga kua
Uponyaji
Wokovu
Utajiri
Kufanikiwa
Ni Matokeo ya kutumia Mafuta, Udongo, Keki, na blah blaaah
Jamaa hafundishi kua "YESU Alikuja DUNIANI, akafa msalabani, na Kwamba KIFO chake kilitangaza uhuru dhidi ya Dhambi...
"Mungu ni mkubwa jamani! Mungu Anaweza nyiye! Mungu hashindwi na jambo lolote. Sikutegemea kama Watanzania wenzangu watachangia hadi sasa kupata shilingi milioni thelathini (30,000,000)... "Japokuwa niliamini kwa imani kwamba zitafika. Sasa Mungu yeye amefanya kwa vitendo," Ndivyo alivyosema...
Kuna ile hali ambapo unaweza kuwa mbali na kwenu au kwako (japo hii haiwakuti wengi) halafu huna mawasiliano na watu wa nyumbani kutokana na sababu kama shule (kusoma boarding), shughuli za utafutaji n.k halafu unaporejea unakuta jambo lisilopendeza/ linaloogopesha au kukuumiza.
Mimi wakati...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa uamuzi wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kuhusu shauri lililopinga uhalali wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020.
Katika hukumu yake, mahakama hiyo imetupilia mbali kesi hiyo kwa kukosa mashiko ya kisheria na ushahidi thabiti.
Wapinga...
High Court imetupilia mbali kesi ya ufisadi dhidi ya Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, ikisema uchunguzi uliofanywa ulikiuka katiba.
Justice Bahati Mwamuye aliamua kuwa maafisa wa Ethics and Anti-Corruption Commission walikiuka haki za gavana wakati wa kumkamata, hasa kwa kumkatalia...
Habari za muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Je! Naweza kuunganisha namba mpya ninayoitumia kwenye NMB kwa sababu namba ya simu niliyounganisha mwanzoni wakati nafungua Account haipo yaani ilishapotea na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo
Kama kichwa Cha habari kinavyo SEMA,pia nimewakumbuka sana ndugu zangu w kina jinuni wanawasalimia sana wakina maimuna na sharifu.
Nambie una jambo gani linalo kutatiza nikusaidie mara Moja🙏🏽
Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kabla hawajachelewa.
Leo nimekutaa na rafiki yangu wa muda mrefu, akiwa chuo...
LEO NILIKUWA NA WANA SIMBA SEHEMU NA HAYA NDIO MANENO YAOOO
KAKA DIDY
NIKWAMBIE TU SHABALALA ALIKUWA CAPTAIN
YULE JAMAA ALIKUWA CLOSE NA VIONGOZI NA KABLA YA KUONDOKA ALITOA BAADHI YA USHAURI WAKAMKATILIA
AKAONA BORA AONDOKE AWACHIE SIMBA YULE BWANA AKANZA KUELEZA UKWELI WACHEZAJI WENGINE...
Kwa kilichotokea Oct 29/2025, na kinachoendelea sasa kinatafakarisha saaaana tutapouendea uchaguzi mkuu wa 2030.
Mihimili yote mitatu inaonekana wazi kabisa inajiendea ili mambo yaende na kula zao ziendelee kuwepo tu,haihitaji degree ya chuo kikuu kuliona hilo!
Bunge limekuwa la kusifia...
Rostam kunyamaza sio bahati mbaya!Anaona mbali. Anajua mambo sio mazuri na asipokuwa makini naye anaweza kuhusishwa na kesi ya Mama ya mauaji huko EU. Lakini anaogopa kampuni zake zisiwekewe vikwazo akashidwa kuchukuwa mikopo au yeye binafsi bank account zake zinaweza kutaifishwa za huko nje...
BWANA NA MWOKOZI WETU AWE JUU YENU KILA MMOJA KWA AMANI YAKE WANA JF MLIPO POPOTE
Naenda kwenye mada .
Nyie watekaji na wauwaji wa Tanzania wenzenu ,chukua ujumbe huu tena kwa umakini mkubwa.
Najua mnalipwa, kwa kazi hii haramu, kama wahudumu wa afya huweza sikitika nyoyoni mwao pale...
Sasahivi wanaotamba mjini ni wale wenye nyumba zenye visima. Yaani wakati watu wanahangaika na foleni ya madumu wao wanaoga kutwa mara mbili mpaka tatu, wanafua kila siku na wengine hadi maua wanamwagilizia.
Hii hali imenikumbusha kipindi fulani nafanya kazi kwa wahindi upanga dar es salaam...
Tahadhari kabla ya hatari
Ukishaonja damu mara moja, huwezi kuacha, inakua kiu ya kila siku
Hamu ya damu waliyokunywa itabaki milele, na ikifika muda wakakosa na kiu ikabana watakunya kwako au kwa watoto wako.
Chukua tahadhari kabla ya hatari
Mawazo haya nimeyatoa kwenye Biblia: Kutoka 34: 29-35. Musa alivyoshuka mlima wa Sinai, alipokuwa anafanya agano na Mungu, Haruni na wana wa Israel waliona ngozi ya uso wa Musa ikiwa inang'aa sana (japo Musa alikuwa hajui kama uso wake unang'aa na una nuru kali).
Na walipoona hivo, waliogopa...
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.