4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,394
- 13,131
BWANA NA MWOKOZI WETU AWE JUU YENU KILA MMOJA KWA AMANI YAKE WANA JF MLIPO POPOTE
Naenda kwenye mada .
Nyie watekaji na wauwaji wa Tanzania wenzenu ,chukua ujumbe huu tena kwa umakini mkubwa.
Najua mnalipwa, kwa kazi hii haramu, kama wahudumu wa afya huweza sikitika nyoyoni mwao pale wampotezae Mgonjwa walie kua wanampa huduma bila kujali ametoka idara ipi ,iwe ya upasuaji n.k nyie hii roho ngumu kisa upo na libunduki kuangamiza wana wa Mungu mnatoa wapi?
Katika sekta inacheza na damu za wananchi kila siku ni idara ya Afya , hawa wajua vizuri sana damu ya binadamu ipo vipi,sio nyie wapumbavu wa kutemea na mabunduki, pumbavu sana
Nataka nyie watekaji na wahuwaji muelewe ,ni swala la mda tu ,dola na vyombo vyake kuamua na kuwapelekea moto hata week mbili ni nyingi sana mtakua mmeondolewa kama sio kujinyonga wenyewe.
Mfano leo tu chombo kimoja tu mfano JWTZ kiamue kuwasaka na kuwatia adabu mtawezaje kuruka kiunzi , ni mmoja tu na kiongonzi wenu anachukuliwa na kuwekwa kwenye karo la maji kimo cha kwapa kwa saa 48 ataropoka yote, na atawataja wenzio wote na kukamatwa kama kuku.
Watekaji mpo na uwezo mdogo sana that's mkimkamata mtu , mwazo ni kumbonda na kitu kizito apoteze fahamu, au mtia pingu, kama mpo vizuri mateka mfikishapo katika mateka yenu why msimwachie zipigwe?
Nguvu yenu kuu ipo katika kutumia mabunduki, na kutumika kama kikundi mshugulikia mtu mmoja, kwa tumia nyenzo mbalimbali ,mfano makoleo, prize, umeme n.k ,ila hamna lolote ,wapuuzi wakubwa nyie.
Sasa Bwana anasema siku zenu zi karibu sana mtajua hamjui ,tubuni haraka asema Bwana .
Kama uwatesao wapo na damu na nyama hata wewe upo na damu na nyama .pumbavu sana