Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali nchini.
Wizara ya mifugo na Uvuvi kupitia Bodi ya Maziwa Tanzania, imeanza utekelezaji wa mpango wa unywaji wa maziwa kwa wanafunzi wa shule za msingi sanjari na ofisi za serikali ukiwa na malengo kuboresha...
Je, ina maana binadamu anaweza kuishi bila kula nyama, mayai, wala maziwa na akapata protein zote anazohitaji toka kwenye vyakula vya mimea (vegetable based)?
Yapo malalamiko ya ubora wa maziwa mapya ya Lactogen ambayo yanatoka nchi jirani au yanatengenezwa kwa ubia na viwanda vya jirani yetu.
Je, ubora wa maziwa haya ya watoto umeangaliwa vyema? Nini kimebadilika kwenye maziwa hayo? Kwanini maziwa ya Lactogen manufacturer France yamepotea sokoni...
Dkt. Kigwangalla ambaye ni waziri mstaafu wa Serikali ya awamu ya 5 amesema kwa sasa amejikita kwenye ufugaji kwa kuwa ujasiriamali unalipa kuliko kitu kingine chochote.
Kigwangalla amesema kwa sasa anamiliki shamba kubwa la mifugo huko Mvomero mkoani Morogoro ambako anazalisha ng'ombe wa...
MARA nyingi watu wengi wamezoea kula au kunywa kile kinachopatikana na si kile kinachotakikana (kinachohitajiwa). Tabia hii huchangiwa na mambo mengi kama ukosefu wa fedha, muda wa maandalizi, mila na desturi
pamoja na sababu hizo, moja kubwa linalochangia ni ukosefu wa elimu sahihi ya...
Habari za majukumu wanajamvi,
Ninahitaji Ngombe wa maziwa Singida mjini awe ndama, mtamba au mwenye mimba.
Au kwa anaejua wapi ntaweza kupata maeneo ya karibu anipe maelekezo,
Natanguliza shukrani.
BODI ya maziwa nchini imekamata tani tatu za maziwa ya unga ya 'Cowbell' yaliyokuwa yanakaribia kuishiwa muda wa matumizi yakiwa yameongezwa muda wa matumizi zaidi.
Akizungumza Jijini Dar es Salaam Kaimu Msajili wa Bodi ya Maziwa Nchini Noel Byamungu amesema walibaini kitendo hicho katika...
Kumekuwa na maswali kwenye jukwaa hili kuhusu ufugaji wa ng'ombe wa maziwa ,Mimi ni mfugaji wa muda mrefu nimeamua nitoe mchango wangu juu ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa.
Hapa nchini Kuna aina tatu maarufu za ng'ombe wa kisasa wa wa maziwa pia Kuna aina nyingine ila katika mizunguko yangu...
Habari za muda huu wakuu.
Naomba msaada wa kujua wanakupatikana Ng'ombe bora wa maziwa. Zaidi kwa mamahitaji ya ng'ombe mwenye mimba ambae hatachukua muda mrefu kuzaa.
Nitaomba kujua
1. Aina na gharama za Ng'ombe
2. Mazingira au hali ya hewa sahihi kwa Ng'ombe
3. Ushauri kuhusu ustahimilivu na...
Kwa mara ya kwanza nimekunywa juice ya Tende ikiwa na maziwa ya mdango sikuamini, siku yangu ilikuwa njema sana nikiwa na bestfriend wangu, nimewahi kunywa Alkasusu ila sikuona kama performance yake ilikuwa sana kivile but to an extent ila juice ya tende yenye maziwa mgando Eish.
Mtujuze...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Jumatano Septemba 30, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Kaskazini viwanja vya Bitale Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma...
Wanabodi,
Kwanza sikiliza hii
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
Habarini watu wa nguvu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eti ng'ombe wa maziwa anaweza akawa anauzwa shilingi ngapi na naweza kumpata wapi (mimi nipo Morogoro), vipi kuhusu uzalishaji wa maziwa, anatoa lita ngapi kwa mkamuo mmoja na Je sehemu gani naweza nikauza maziwa yakaisha kwa haraka...
Ndugu zangu nataka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Nimechagua jukwaa hili kama sehemu ya kupata maujuzi. Naomba kujuzwa juu ya Gharama, Faida, Changamoto nk
Utafiti wa Kimataifa wa unyonyeshaji uliofanywa na Shirika la Afya duniani (WHO) unaonesha kuwa hakuna nchi inayokidhi kikamilifu viwango vya unyonyeshaji vinavyopendekezwa kitaalamu. Viwango vya unyonyeshaji vilivyofanyiwa tathimini katika nchi 194 vimebaini kwamba ni asilimia 40 tu ya watoto...
Body of a man who drowned in River Nzoia retrieved after two months
Mwili wa Mtu aliyezama Mto Nzoia umeonekana baada ya Miezi Miwili
Citizen TV Kenya
Mimi ninachojua na nilichokaririshwa na Wadau ni kwamba Mtu yoyote akizama iwe Baharini au Ziwani au Mtoni ndani ya Siku Moja tu ataonekana
Huu ni udhaifu wangu nimejaribu kuacha nimeshindwa.
Hata nikienda kibaruani nayaficha kwenye begi nikisikia hamu nachukua kwenye kijiko nayaweka kwenye karatasi naenda kuyalamba sehemu nisiyoonekana.
Nayamumunyaa mpaka yanaisha ndio nakuja sehemu ya public.
I am 40+ with children but my...
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.