maziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TBS: Wanaoongeza maji kwenye maziwa waonywa, kufanya hivyo ni kinyume cha sheria

    KAIMU Mkuu wa Kitengo Cha Uthibiti Ubora wa Shirika la Viwango nchini (TBS) Baraka Mbajige amewaonya wafugaji na wauzaji wa maziwa kuacha tabia ya kuweka maji kwa sababu ni kinyume cha sheria. Alisema hayo katika mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na TBS kwa wafugaji wa Wilaya ya...
  2. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanikamulia maziwa

    Wanajamvi mu hali gani? Ni usiku wa jana tu haya yamenipata, mke wangu ana mtoto japo kashaacha kunyonya, muda mfupi uliopita, jana usiku akaniandaa safi tu, mimi siwezi kufanya mapenzi na mke wangu bila kunyonya matiti yake (samahani kwa lugha kali), basi nikaanza kunyonya, ghafla nashangaa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu matumizi ya maziwa ya madanga

    1. Nitajuaje kuwa maziwa yamekuwa safi tayari kunywewa na binadamu kwa ngombe aliyezaa? 2. Yana athali gani binadamu kunywa madanga? 3. Kwanini huwa yanamwagwa ukikamua?
  4. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

    CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
  5. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

    Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu, " Hakuna kama Samaia " Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa maziwa uko chini nchini

    Imeelezwa kuwa unywaji wa maziwa nchini uko chini ya kiwango cha kimataifa, ambapo Mtanzania mmoja anakadiriwa kunywa lita 50 kwa mwaka ikilinganishwa na kiwango cha lita 200 zinazotakiwa kwa mujibu wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP). Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba...
  7. Candela

    JamiiForums Tanzania Maziwa ni sumu mwilini

    Mwana jamvi, pengine unahisi nimekosea. Hapana sijakosea iko hivi, wengi tunatambua maziwa kama agent wa kuua sumu mwilini, hasa pale mtu anapozamilia kujitoa uhai akanywa sumu tunamuwahi kwa maziwa. Hiyo ni faida ndogo sana ukilinganisha madhara u anayoyapata kwa kutumia maziwa mara kwa mara...
  8. BM X6

    JamiiForums Tanzania Nawaza kufanya Biashara ya maziwa kutoka Kenya (Brookside)

    Hapa majuzi nilirudi Tanzania (huwa nakaa Nairobi Utawala) nilienda Arusha pamoja Singida, sasa nilivyofika sehemu hizo nikawa natafuta maziwa fresh madukani, nilizunguka sana hadi kuyapata na niliyapata kwa bei kubwa sana nikilinganisha price ya Nairobi So nikaja kugundua Nairobi wana maziwa...
  9. Nchiyanguu

    JamiiForums Tanzania Ng’ombe wa maziwa anauzwa

    Ninauza ng’ombe wa maziwa ni mitamba wenye mimba kubwa wawili, wapo chanika, Dar es salaam. Bei: 2,700,000 ( wote wawili) Contact: wasap/call/sms; 0713908963
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanzania waomba msaada dhidi ya waume zao wanaonyonya matiti na kumaliza maziwa ya watoto

    Watanzania hamuishi vituko ===== Breastfeeding women in Handeni district in Tanga region have asked the district commissioner, Siriel Mchembe to help them raise their voices against husbands who suck their breasts as they cause shortage of milk for their children. The request was made during...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DC Handeni aonya wanaonyonya maziwa ya wake zao

    Handeni. Wanawake wanaonyonyesha wilayani Handeni mkoani Tanga, wamemuomba Mkuu wa wilaya hiyo, Siriel Mchembe kuwasaidia kupaza sauti na kukemea wanaume wao kuacha tabia ya kuwanyonya maziwa kwasababu wanawafanya watoto wasipate maziwa ya kutosha. Ombi hilo wamelitoa leo Jumanne Agosti 10...
  12. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Ukija Dar es Salaam hujaoa basi hutaoa kabisa kama usipoondoka

    Habari wakuu, Hii kitu sio utani kabisa, kama kichwa cha habari hapo juu kinavosema, kwa kijana ambaye kakulia DSM katika ujana wake kuoa ni kipengele kizito sana, kuna kaka yangu toka nasoma shule ya msingi alikujaga DSM kusoma chuo, sasa alimaliza akapata kazi huko huko dsm, huwezi amini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pata faida kwa kufanya biashara ya Maziwa mtindi

    ONGEZA KIPATO ZAIDI KWA KUSINDIKA NA KUFANYA BIASHARA YA MAZIWA MTINDI. Watu wengi wamegubikwa na kutofahamu kiundani hasa kuhusu utengenezaji na ufanyaji biashara ya Maziwa mtindi na kushindwa kutumia fursa hii adhimu inayoweza kuongeza kipato zaidi katika maisha. Maziwa ni malighafi ambayo...
  14. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kuuza juisi na maziwa bar, ushauri wenu tafadhali

    Habari wanajukwaa. Kwa muda kidogo nimekua nikifuatilia sana biashara ya juice na maziwa imekua ikinipendeza sana na nataka kuona kama naweza nikaimudu! Naomba msaada wa kujua vitu muhimu vinavyohitajika kwa hiyo biashara na gharama zake kwa ujumla! Ahsanteni
  15. MkulimaAgriClinic

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

    Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo mahitaji ya maziwa ni makubwa sana (zaidi ya lita bilioni 10), japo logistics mbaya za uhifadhi...
  16. Mumlii

    JamiiForums Tanzania Mkusanyiko wa maziwa inaeza ikaleta maumivu?

    Habari wana jf, Tokea jana titi la kushoto kuna kama kakitu kagumu nikibonyeza panauma hatari, nlijua labda maziwa yamekua mengi nikanyonyesha mtoto sku nzima naona tu maumivu sana. Hadi sasa hivi je ni nini hichi maana dah maumivu nanyonyesha chuchu haiumi.
  17. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume huwa mnapata nini kwenye matiti?

    Matiti yenyewe hata hayatoi maziwa lakini utakuta mtu anakazana kunyonya mpaka yanabadilika rangi yanakuwa mekundu mpaka unahisi maumivu hata watoto sidhani kama wananyonyaga mpaka wanawaumiza mama zao. Hivi mnapata nini kwenye matiti ambayo hata hayatoi maziwa?
  18. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa ng'ombe wa asili kwa ajili ya nyama na maziwa kwa maeneo yaliyokaribu na soko

    Wajasilimali wenzangu msije mkasema sijawaambia,iko hivi kama una shamba karibu na Dar,maana ya Mkuranga, Bagamoyo nk fikiria mradi huu unalipa.Nimeiba idea hii kwa jirani yangu kupitia meneja wake nikaone ni FURSA muhimu. Iko hivi kwa mfano: Kama una eneo lako hata kama ni ekari moja tu ya...
  19. theChinga

    JamiiForums Tanzania Mwenye soko zuri la Maziwa kwa Dar aje hapa

    Wasalamu. Nipo mkoa jilani na Dar huku kuna fursa ya upatikanaji wa maziwa kwa wingi. Nahitaji mtu mwaminifu ambaye naweza fanya naye kazi walau aweze kuchukua litre 200 kwa kuanzia per day.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya haya maneno? "Kuku kukosa maziwa"

    Je, nini maana ya "kilichomfanya kuku kukosa maziwa"?
Back
Top Bottom