Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa

SACO

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
2,318
2,912
Ndugu zangu nataka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Nimechagua jukwaa hili kama sehemu ya kupata maujuzi. Naomba kujuzwa juu ya Gharama, Faida, Changamoto nk
 
Thread yako kamavile haijajaa nyama!
Idadi ya dairy cattle wangapi?,uzao upi unataka kuanza nao?,breeds ipi unataka kufuga,species ipi unataka kufuga nk

Jazia nyama kidogo mkuu wadau wakupe muongozo
 
Nasubiri pia mimi nataka kujuzwa
Angalau
Ukubwa waeneo linalohitajika kwa ng'ombe 1200
Gharama za utunzaji kwa mwezi
Vibali gani vinahitajika?
Ng'ombe gani wanafaa na wapi ntawapata?
 
Unafugia wapi?
Bei ya ng'ombe inategemea unamtoa mkoa upi.
Faida inategemea unafugia mkoa upi na unauza wapi, mf. Dar Kuna soko kubwa na Bei yake lita 2000 ,mikoani 1000-1700.Dar wafugaji wachache. Mikoani wafugaji wengi.

Changamoto.

Majani hasa kipindi cha kiangazi.
Vijana wa kufanya kazi.
Magonjwa ya ng'ombe.
Kupata mbegu Bora.

Ninafuga na nina soko kubwa lakini nina ng'ombe wachache,sitoshelezi soko.
Ninauza pia kitabu cha Mwongozo wa ufugaji bora wa ng'ombe wa maziwa.

Karibu kwa maswali 0713925634.
 
Na mimi pia nahitaji kujua ng'ombe wa maziwa anaweza akawa anauzwa shilingi ngapi na naweza kumpata wapi(mimi nipo Morogoro), vipi kuhusu uzalishaji wa maziwa, anatoa lita ngapi kwa mkamuo mmoja na je sehemu gani naweza nikauza maziwa yakaisha kwa haraka, hata kama ikiwa ni mkoani, vipi kuhusu namna ya kumlisha pia.
Natumaini majibu mazuri kutoka kwenu.

Mkuu, huko morogoro ulipo kuna majibu ya maswali yako yote haya. Ulihudhuria maonyesho ya nane nane? Nenda SUA kaulize naamini utapata ushauri bure kabisa. Nimecomment hivi maana sijaona kama umejituma kweli, kama una nia ya dhati sehemu ya kuanzia iko wazi kabisa
 
Thanks ila niko mbali sana na Morogoro mjini
 
Na mimi pia nahitaji kujua ng'ombe wa maziwa anaweza akawa anauzwa shilingi ngapi na naweza kumpata wapi(mimi nipo Morogoro), vipi kuhusu uzalishaji wa maziwa, anatoa lita ngapi kwa mkamuo mmoja na je sehemu gani naweza nikauza maziwa yakaisha kwa haraka, hata kama ikiwa ni mkoani, vipi kuhusu namna ya kumlisha pia.
Natumaini majibu mazuri kutoka kwenu.
1.5m hadi 3m
 
Ng'ombe10wanahitaji eka 30 xa majani , wanahitaji lishe na virutubishohivyp u atakuwa ulime angalau eka tano ya mahindi , changanya na mbaazi huko na alizeti virutubisho Vincent vinapatikana madukani ...Kama uko Dar unaweza watembelea wafugaji hapa mitaa ya unu io wanaozururishamifugo
 
Mkuu unafugia wapi? Nimependa sana mfumo unaoutumia, umeupangilia vizuri sana.
 
Ng'ombe10wanahitaji eka 30 xa majani , wanahitaji lishe na virutubishohivyp u atakuwa ulime angalau eka tano ya mahindi , changanya na mbaazi huko na alizeti virutubisho Vincent vinapatikana madukani ...Kama uko Dar unaweza watembelea wafugaji hapa mitaa ya unu io wanaozururishamifugo
Kwa ng'ombe 600 it means heka 2000
Nataka nipambane na Tanga fresh
 
Unafugia wapi?
Bei ya ng'ombe inategemea unamtoa mkoa upi.
Faida inategemea unafugia mkoa upi na unauza wapi, mf. Dar Kuna soko kubwa na Bei yake lita 2000 ,mikoani 1000-1700.Dar wafugaji wachache. Mikoani wafugaji wengi.

Changamoto.

Majani hasa kipindi cha kiangazi.
Vijana wa kufanya kazi.
Magonjwa ya ng'ombe.
Kupata mbegu Bora.

Ninafuga na nina soko kubwa lakini nina ng'ombe wachache,sitoshelezi soko.
Ninauza pia kitabu cha Mwongozo wa ufugaji bora wa ng'ombe wa maziwa.

Karibu kwa maswali 0713925634.
Kati ya sehem ambayo haina shida ya malisho ya ng'ombe ni dar es salaam sema lazima uwe na gari
 
Na mimi pia nahitaji kujua ng'ombe wa maziwa anaweza akawa anauzwa shilingi ngapi na naweza kumpata wapi(mimi nipo Morogoro), vipi kuhusu uzalishaji wa maziwa, anatoa lita ngapi kwa mkamuo mmoja na je sehemu gani naweza nikauza maziwa yakaisha kwa haraka, hata kama ikiwa ni mkoani, vipi kuhusu namna ya kumlisha pia.
Natumaini majibu mazuri kutoka kwenu.
Nenda sua japo bei zake zimesimama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom