Wanawake wa Tanzania waomba msaada dhidi ya waume zao wanaonyonya matiti na kumaliza maziwa ya watoto

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,744
48,385
Watanzania hamuishi vituko

=====

Breastfeeding women in Handeni district in Tanga region have asked the district commissioner, Siriel Mchembe to help them raise their voices against husbands who suck their breasts as they cause shortage of milk for their children.

The request was made during an event to commemorate breastfeeding week held at Mkata, early this week.

Men competing for breast milk with babies, a craze that began a few months ago in Uganda has now gripped men in Tanzania's coastal region of Tanga.

Answering the request DC Mchembe said said she has information that some men with the habit associate it with superstitious beliefs.

"I advise those men who are sucking their breastfeeding wives' breasts to stop with immediate effect, because it causes malnutrition since children don’t get enough milk, please stop this habit,” she said.

According to her, the vice derives from a misguided assumption that breast milk improves sexual performance, which has left children in some areas severely underweight.

Handeni District Council nutrition officer, Julia Charo said that as of June 21, this year, 3,856 children under the age of five were found to be underweight.

She said that in the case of children with stunted growth, 34% of all children referred and treated at the clinic and 7519 pregnant women who were tested for blood volume, 102 were diagnosed with severe anemia.

While it is unusual, the practice of men drinking breast milk is not new. Milk competes with drugs in the dark parts of the internet and is preferred by people on a muscle-building regimen.

Women are not asked if they want to feed their partners; the partner simply initiates it and interprets silence as agreement, according to a University of Kent study done in Uganda, which warned against it.

When asked if he was concerned that the mother would become exhausted or that the infant would not receive the milk it deserved, one man replied, “If you feed a cow well, they produce a lot of milk.” I take good care of my wife.’

Habari za fikilishi za kuokoteza, tz Kama inavituko basi manyang'au mtakuwa mna visa na vituko grade A sema sie hatuna mambo ya kike kama yenu tunavunga tu.

Mk254 uliona jeshi la tz uko msumbiji limeenda Kwa wito wa kikao cha SADC sio kujiendea kama kwenye kipaimara. Everything it need strategy na sio mbio tu kama prostitute
 
Habari za fikilishi za kuokoteza ,tz Kama inavituko basi manyang'au mtakuwa mna visa na vituko grade A.sema sie hatuna mambo ya kike kama yenu tunavunga tuu.
Mk254 uliona jeshi la tz uko msumbiji limeenda Kwa wito wa kikao cha SADC sio kujiendea kama kwenye kipaimara . Everything it need strategy na sio mbio tu kama prostitute

Wanawake wenu wanapata tabu sana limwanaume na minguvu yote hiyo unakausha matiti maziwa yanaisha humo, hehehe nyie bana.
Kuhusu Msumbiji, mumesubiri Kagame afanye yake ndio muanze kujitokeza, waoga sana nyie.

Nakumbuka mlivyotoa vijisababu, oooh mara sisi tulinde ndani tu, oohh mara vile vita havituhusu, mara mazungumzo yafanywe yaani magaidi yabembelezwe Au umesahau huu uzi Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia
 
Wanawake wenu wanapata tabu sana limwanaume na minguvu yote hiyo unakausha matiti maziwa yanaisha humo. Hehehe nyie bana.
Kuhusu Msumbiji, mumesubiri Kagame afanye yake ndio muanze kujitokeza, waoga sana nyie.
Nakumbuka mlivyotoa vijisababu, oooh mara sisi tulinde ndani tu, oohh mara vile vita havituhusu, mara mazungumzo yafanywe yaani magaidi yabembelezwe Au umesahau huu uzi Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia
Shida una mihemko ya kitoto, hakuna mashindano ya kumsaidia mtu.Uyo Mozambique ngome kongwe wakati wa kupigania uhuru ilikuwa mtwara na mbeya city(now samora Machel sec school). Tuliwasaidia kupata uhuru materially and troops. Leo wanamgambo watusumbue kweli?.Dunia now ni Kama kijiji organizations nyingi like NATO, ECOWAS,SADC etc.

Hizi hufanya maamuzi ya pamoja kwenye kila jambo linarohusu amani,afya etc.Kagame humjui vizur front view yake ya izo vita,south African alienda kutetea nafasi yake as African leader at war but nadhani kabaki midomo wazi kuona Rwanda wako Frontline on this issue. Kuna utajili mkubwa Sana wa gas na ruby jimbo Hilo so as you know uyo jamaa sio chizi Kama wanamgambo wenu wanapelekwa puta miaka nenda Rudi na alshabab.

Licha ya kuwapigania uhuru hao msumbiji baadae wakaingia vitani kati ya FRELIMO na RENAMO mjeshi yetu pia yaliingilia vita hiii ikatulia.so tz hatunufaiki chochote zaidi ya kupoteza fedha Kwa watu waliojaa corruption na wasiojielewa.To end that war serikali ya msumbiji inabidi isaidie jimbo hilo kuliinua Mana ni tajili lakini wananchi wake ni maskini wa kupindukia (limesahaulika)

Hao wanyonya maziwa wanavinasaba vya Mombasa hapo kwenu jilani zenu Sina haja kulizungumzia suala la kike nawaachia nyie wavaa madela.

Napoteza muda kukuelimisha we kilaza sijui Kama ugonjwa wako Kama umepona kichwani Mana mbishi ambaye unahoja za kichizi chizi.

Any way
 
Hehehe!! Insha yote hii unatumia nguvu nyingi MATAGA fuata upepo, mumekua mkiyumba na kusuasua kwenye hili la magaidi wa Msumbiji, jamaa wamechinja wnavijiji wenu halafu mkaanza ngonjera, ni mpaka Kagame amekwenda kuweka sawa ndio mnaanza makelele ya kutunisha misuli.

Mara ooh wabembelezwe waache kuua, mara ooh Msumbiji hatuendi, mara oohh tutaenda, mara tumekwenda kimya kimya....waoga sana nyie.

Au labda itakua hayo maziwa ya wanawake wenu yanawafanya muwe waoga kiasi hiki. Hehehe nimecheka sana comments za kwenye huu hapa chini, kuna Watanzania wanakubali mna ujuha kwenye hili la Msumbiji, ni kama lile la corona mara ipo mara haipo!
 
We kiumbe hai mwenzangu kama ni me basi unamatatizo,inaweza kuwa una homoni nyingi za ke.

Siji rudia ku quote hoja zako Kwa sababu unashida sana sio mtu wa kuelewa ila wa kuzoom hoja usizozijua.

Kwenye huo uzi wengi akili kama zako tunatumia nguvu kuwaweka sawa ni matokeo ya BRN hayo.

Acha niingie mzigoni
 
Shada ipo msumbiji. Lakini:
MY TAKE;

Swali, Msumbiji kuna wali na chakula kizuri?

Beacuse ze zezetas heads have to be stumilated by aroma of wali as a starter.

Its true most who got killed resently by rwandese army are rebels and swahili speaking zezetas.
 
We kiumbe hai mwenzangu kama ni me basi unamatatizo,inaweza kuwa una homoni nyingi za ke.
Siji rudia ku quote hoja zako Kwa sababu unashida sana sio mtu wa kuelewa ila wa kuzoom hoja usizozijua.
Kwenye huo uzi wengi akili kama zako tunatumia nguvu kuwaweka sawa ni matokeo ya BRN hayo.
Acha niingie mzigoni

Hehehe kwa namna unabwabwaja utakua umelewa hayo maziwa ya wanawake wenu huko.
 
Hili suala la Nguvu za kiume kwetu wanaume naona linakuwa janga sasa kiasi cha kufikia hatua inayoathiri maisha ya watoto. Hawa wajinga huko Tanga, naona wananyonya maziwa ya wake zao.

Nguvu za kiume, suluhu ni mambo matatu tu: Ondoa Stress kichwani, Kula vyakula vyenye 'rutuba' na mwili uwe physically active. Haya mengine ni imani za kichawi tu ambazo hazina ukweli wowote.

Wasiwasi wangu tu kwenye hii habari, Serikali itawasaidia nini mambo yanafanywa Chumbani wakiwa wawili tu? Wanawake ndio wenye control ya hili tatizo.

======

Summary
Men competing for breast milk with babies, a craze that began a few months ago in Uganda has now gripped men in Tanzania's coastal region of Tanga.

By Bethsheba Wambura
Handeni.

Breastfeeding women in Handeni district in Tanga region have asked the district commissioner, Siriel Mchembe to help them raise their voices against husbands who suck their breasts as they cause shortage of milk for their children.

The request was made during an event to commemorate breastfeeding week held at Mkata, early this week.

Men competing for breast milk with babies, a craze that began a few months ago in Uganda has now gripped men in Tanzania's coastal region of Tanga.

Answering the request DC Mchembe said said she has information that some men with the habit associate it with superstitious beliefs.

"I advise those men who are sucking their breastfeeding wives' breasts to stop with immediate effect, because it causes malnutrition since children don’t get enough milk, please stop this habit,” she said.

According to her, the vice derives from a misguided assumption that breast milk improves sexual performance, which has left children in some areas severely underweight.

Handeni District Council nutrition officer, Julia Charo said that as of June 21, this year, 3,856 children under the age of five were found to be underweight.

She said that in the case of children with stunted growth, 34% of all children referred and treated at the clinic and 7519 pregnant women who were tested for blood volume, 102 were diagnosed with severe anemia.

While it is unusual, the practice of men drinking breast milk is not new. Milk competes with drugs in the dark parts of the internet and is preferred by people on a muscle-building regimen.

Women are not asked if they want to feed their partners; the partner simply initiates it and interprets silence as agreement, according to a University of Kent study done in Uganda, which warned against it.

When asked if he was concerned that the mother would become exhausted or that the infant would not receive the milk it deserved, one man replied, “If you feed a cow well, they produce a lot of milk.” I take good care of my wife.’
 
Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga, wamemwomba Mkuu wa Wilaya Siriel Mchembe apaze sauti dhidi ya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao kwa madai yanawaongezea nguvu za kiume. Mchembe amesema tabia hiyo inawakosesha watoto maziwa ya mama, na kuwa hatarini kupata magonjwa.

Dah! Wanaume tunakwama wapi jamani?0
 
Starehe Ya Baba ikishakuwa Kero/karaha kwa Mtoto..Ni muda wa baba kujitathmini..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Yanaongeza Nini?
IMG_20210731_165443.jpg
 
Back
Top Bottom