Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,736
6,796
Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu.

Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe mkuu wa wilaya nadhan na shehe mkuu wa mkoa.

Baada ya kufanya ibada zao, Shehe wa wilaya alifanya tafsiri kdg ya swala ilofanywa pale, sababu pale kabla kuna mzee mmoja alichuchumaa pembeni ya kaburi akaanza kutamka maneno ambayo ni kama swala hv lkn kwa kiarabu. Kumbe ile nadhan huwa ni sura kwenye Quran.

Yule shehe alisema kwamba siku ukifa, Mungu atamtuma malaika wake na utaulizwa hapa duniani uliabudu nini?

Je uliabudu tamaa zako na kuzisikiliza kila zinachokusukuma unafanya?

Au uliabudu pesa zako, ukafanya zikusahaurishe kila kitu?

Au uliabudu wadhifa wako?

Au ulimuabudu Muumba wako?

Yule shehe alienda mbalu akasema pia hawa watu wanaotetea mambo ya ushoga kwa kisingizio cha haki za kibinadamu wakumbuke pia kuna haki za Mungu, kama haki ya binadamu inaenda kinyume na haki ya Mungu basi huo ni ubatili.

Mwisho nilitoka pale nimenywea sana, mwezi mzima nilinyooka kwa mafundisho nilopata pale
 
Sawa RC...
🤣
 
Mie nnakuaga na maswali meengi kuliko majibu pale mayti inapolazawa kaburini hulalia mkono wa kulia,hulazwa ubavu,Kisha Ile sanda huchwanwa sikioni Ili liguse mchanga,paji la uso hutolewa sanda Ili liguse mchanga.
Haikuishia hapo,na kidole gumba kinatakiwa nacho kiguse mchanga,

Wakishakufukia shekhe nae akuachi hivyo hivyo anashika kitaabu anaanza kukusimanga;
Waa'la dhaarika mutta(umekua maiti)
Waa'la dhaarika huyta(nasi tutakua maiti)
Wa Anna lkabura haqqu(kaburi kweli lipo)
 
Barakallah
 
Hayo masharti nadhan yana maana yake
 
Dawa ya kumaliza kiburi,dharau kisa una Mali au cheo,udhuria mazishi au shiriki kusafisha makaburi huo ugonjwa wako wote utaisha then utaona maisha ya dunia si lolote si chochote.
Ni kweli, ile siku pale hata gari sikuendesha nilimuachia jamaa mmoja aendeshe, akapakia baadhi tulokuja nao ila mimi nikatembea kwa mguu hadi tulipokua tumekusanyikia, kizuri hapakua mbali sana na pale makaburini.

For that moment unaona kabisa purukushani zote, starehe zote, majivuno yote hapa duniani ni zero tu
 
Kifo ni funzo kwa ajili ya walio hai na Sio waliolala
Kitu pekee cha kujifunza msibani ni kwamba wote tutakufa na tutaoza kama marehemu anavyofukiwa mchangani ili aoze.
Kwahyo maisha yetu yote hapa duniani hayana maana.

Hata waislam waruke uchi juu ya kaburi, yule mtu ndio keshakufa hivo...hawatamfanya sijui aende mala pema peponi au kuzimu...Habari yake imekwisha alipokufa.
 
Kuna kipind nilikuwa naishi karibu na msikiti, sasa wakipiga ile adhana ya asbuhi lazm usingiz ukate, wakisema kuhusu kifo utasikia "huo usingizi unaolala ndio njia ya kuelekea kifo, hiko kitanda unakolalia ndio jeneza lako na chumba ukicholala ndio kabur lako amka ukafanye ibada" yaan ukiskia hayo mambo stim za usingiz zinakata zote

Ilibid nihame pale sehem maana unaeza jiona huna kitu Chochot
 
Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu.

Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe mkuu wa wilaya nadhan na shehe mkuu wa mkoa.

Baada ya kufanya ibada zao, Shehe wa wilaya alifanya tafsiri kdg ya swala ilofanywa pale, sababu pale kabla kuna mzee mmoja alichuchumaa pembeni ya kaburi akaanza kutamka maneno ambayo ni kama swala hv lkn kwa kiarabu. Kumbe ile nadhan huwa ni sura kwenye Quran.

Yule shehe alisema kwamba siku ukifa, Mungu atamtuma malaika wake na utaulizwa hapa duniani uliabudu nini?

Je uliabudu tamaa zako na kuzisikiliza kila zinachokusukuma unafanya?

Au uliabudu pesa zako, ukafanya zikusahaurishe kila kitu?

Au uliabudu wadhifa wako?

Au ulimuabudu Muumba wako?

Yule shehe alienda mbalu akasema pia hawa watu wanaotetea mambo ya ushoga kwa kisingizio cha haki za kibinadamu wakumbuke pia kuna haki za Mungu, kama haki ya binadamu inaenda kinyume na haki ya Mungu basi huo ni ubatili.

Mwisho nilitoka pale nimenywea sana, mwezi mzima nilinyooka kwa mafundisho nilopata pale
Haya hata ukienda kwenye misiba ya kikristo ukakuta mchungaji kajipanga anakupiga injili hadi unatubu hapohapo.

Maana sisi wakristo hatuombei mfu tunadili naliobaki hai kwaio unapigwa injili ya maana👇🏻👇🏻👇🏻

Waebrania 9:27
[27]Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
And as it is appointed unto men once to die, but after this the judgment:
 
Mie nnakuaga na maswali meengi kuliko majibu pale mayti inapolazawa kaburini hulalia mkono wa kulia,hulazwa ubavu,Kisha Ile sanda huchwanwa sikioni Ili liguse mchanga,paji la uso hutolewa sanda Ili liguse mchanga.
Haikuishia hapo,na kidole gumba kinatakiwa nacho kiguse mchanga,

Wakishakufukia shekhe nae akuachi hivyo hivyo anashika kitaabu anaanza kukusimanga;
Waa'la dhaarika mutta(umekua maiti)
Waa'la dhaarika huyta(nasi tutakua maiti)
Wa Anna lkabura haqqu(kaburi kweli lipo)
Nasikia na koromeo wanakata 🤣🤣🤣
 
Haya hata ukienda kwenye misiba ya kikristo ukakuta mchungaji kajipanga anakupiga injili hadi unatubu hapohapo.

Maana sisi wakristo hatuombei mfu tunadili naliobaki hai kwaio unapigwa injili ya maana👇🏻👇🏻👇🏻

Waebrania 9:27
[27]Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
And as it is appointed unto men once to die, but after this the judgment:
Mazishi ya kikristo nimehudhuria mengi ila mahubiri hayatishi kama ya kiislam. Ya kiislam hata kama ni mtu wa totoz na gambe unaweza stop kdg
 
Back
Top Bottom