mawazo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

    Kwa kijana mwenye umri wa 22yrs mwenye mtaji wa 3.5M apa mjini dsm ungemshauri ajikite kwenye biashara zipi zinakazomfanya atoboe kimaisha baada ya miaka michache?
  2. JamiiForums Tanzania Nini Chanzo cha mawazo?

    "Who is thinking you thought" Hivi ulishawahi kujiuliza mambo tunayoyawaza huwa yanatokea wapi. Kama yanatoka kwako, kwa nini huwezi kujizuia kuwaza..yaani ndani ya fikra zako kukawa kimya kabisa bila kuwaza chochote.
  3. JamiiForums Tanzania Mawazo ya takayoibadilisha Tanzania kiuchumi yawasilishwa 30 Bora

    Vijana watanzania wana uwezo mkubwa wa ubunifu na hapa wamekuwekea mawazo bora 30 ya ubunifu yatakayoweza kuiokoa Tanzania wakati wa majanga ya kimataifa kama vile kushuka kwa uchumi, vita, n.k angalia video https://www.youtube.com/live/fqDRayIY5m0?si=Kg9vG7gxYUUF-4KX
  4. JamiiForums Tanzania Leo nilikua hapa kupunguza mawazo na kucheza golf 🤣

    Life is bitch everything came an Go.
  5. JamiiForums Tanzania Tofauti ya iliyopo nchi kwetu na wenzetu ni hii hapa kwenye kukusanya mawazo

    Wenzetu wapo makini sana kwa mawazo ya mtu yenye kuleta solution au mbinu ili mradi anaweza kuthubutu na kutenda. Hapa tabia iliyopo ukiwa na mawazo wanajifanya kama wajapendezwa nalo mwisho wa siku ukikaa vibaya ndio wanafanya wao. Mambo haya marehemu ruge kafanya sana na MO.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu wakuu

    Natumai ni wazima wakuu zangu Ni siku mpya tumeweza kupata zawadi ya uhai na uzima, ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ndio mpaji wa vyote. Kuna wagonjwa mahospital, wafungwa magereza, vita, majanga ya asili, vifo nk.. ukiona umeamka huna changamoto hizo, inakupasa kushukuru sana...
  7. JamiiForums Tanzania Usaliti unamtia Dr. Bashiru kwenye lindi la msongo wa mawazo?

    Msikilize vizuri utagundua ana changamoto ya utimamu. Pale bungeni yupo mwili tu
  8. JamiiForums Tanzania PNA: Tuheshimu Mawazo ya Wengine Hata Kama Hukubaliani Nayo!, Simai ni Jasiri, Shujaa, Hoja ya Yuda ni ya Msingi, Asibezwe, Asikilizwe Afafanue!.

    Wanabodi, Angalizo la Nyuzi Ndefu JF ni user generated forum, ina members wa aina zote na kazi yake ni kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, na kati ya members hao, kila mmoja anashughuli zake za kumuingizia kipato kuendesha maisha yake, hivyo wao wanaandika jf kama past time tuu, mimi...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo

    Nimekubali mimi ni mgeni maana kila post napewa lawama mgeni mgeni 🤔🤔 lengo ni kuondoa stress na kupotezea vitu nipo humu kukutana na watu tofauti Nahitaji marafiki zaidi karibuni sana 😘😘
  10. JamiiForums Tanzania Ni muhimu Kuheshimu mawazo ya wengine bila chuki!

    Ilikuwaje mpaka ukakubali kwamba watu tuna mitazamo tofauti, na kwamba hata iweje hatuwezi kufanana mawazo? Hapa naongelea kujifunza kuheshimu mitazamo ya watu wengine, hasa ile yenye upande chanya na isiyoleta madhara kwa jamii Kwa mfano, kuna mtu anaamini Mungu yupo, na mwingine anaamini...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia?

    Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia? Eti, wakuu ungebaki unaheshimika au tungeona vitu vya ajabu mpaka tukakumbia?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Tukijenga Utaratibu wa kuwa wakweli, Tukijenga utaratibu wa kutoa mawazo yetu kwa nia njema, tutajenga Nchi kwa kiwango kikubwa sana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki mazishi ya Marehemu Boniface Makene, aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, yaliyofanyika katika Kijiji cha Mabui...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Hakuna Siku mawazo ya Watanzania yatafanana. Hili ni taifa la watu wanaofikiri, si Taifa la Mawe

    Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano...
  14. JamiiForums Tanzania Jamii iliyojaa 'Motivational Speakers' wanaokataa mawazo ya watu ili wao waonekane wajuvi

    Katika zama hizi za mitandao, kuna kundi la watu wengi wamejigeuza kuwa mabingwa wa kutoa motisha. Huko TikTok, Facebook, YouTube kila kona zimefurika na wasemaji wanaotaka kuwashawishi wengine kwa nguvu, lakini wamekosa adabu moja ya msingi: kusikiliza. Leo, mtu anaweza kukushambulia kwa muda...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mawazo na mtazamo wangu Lissu atakapochukua madaraka 2055

    1. Mambo yatakuwa mazuri, kama anavyosema Sasa hivi. Lakini Hali hiyo itadumu kwa miezi 10 tu. 2. Baada ya mwaka 1, vyama vingine (demokrasia) vitaanza kubinywa.......vitaanza kulalamika. 3. Baada ya miaka mitatu, mijadala ya kubadilishwa katiba na kikomo Cha uraisi itaanza bungeni (kama kawa...
  16. JamiiForums Tanzania Akili Nyeusi: Siri za watu wanaocheza na mawazo na malengo yako

    AKILI NYEUSI: SIRI ZA WATU WANAOCHEZA NA MAWAZO NA MALENGO YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shuleni ulifundishwa Masuala la Chemical reactions, ulifundishwa natural selection, ulifundishwa Frictions. Maisha ni vita, au reactions simple unazoziona kimwili na kiroho na complex. 1. Kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Nakusanya mawazo kwenu wana familia

    Je, utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
  18. JamiiForums Tanzania Kila unayemuana Duniani na hali zote unazozipitia ni mtokezo wa mawazo yako kwa nje

    Hakuna hali unayoipitia inayotoka nje yako ila ni taswira zako wewe mwenyewe unazozitoa nje yako .Hali ya kutolielewa kwa mapana yake na uhakika wake thabiti ni gereza kubwa la maisha yetu tulio wengi kwa sababu tumezoezwa sana na mazingira ya nje kiasi cha kuamini tunayoyaona ndiyo halisi na...
  19. JamiiForums Tanzania Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

    Ninatumia dawa za h-pylori dozi ya pili leo natimiza wiki moja ila sipati afueni yoyote kizunguzungu km nataka kuanguka bado kipo mwili kujiskia vibaya hali bado ipo,nikitembea kdg tu maruerue km naanguka bado yapo,ivi niendelee na dawa au nirudi hosptal?
  20. JamiiForums Tanzania Trump ahamisha furushi la lawama; asema yanayoendelea sasa ni mawazo ya Pete Hegseth. Yeye hajaanzisha hii vita.

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa hakuwa mwanzilishi wa mgogoro unaoendelea hivi sasa na Iran, huku akisisitiza nafasi ya Waziri wake wa Ulinzi, Pete Hegseth, katika mchakato wa kufanya uamuzi huo. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara, Trump alielezea majadiliano ya ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…