emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,096
- 1,605
Inawezekana vipi kuwe kimya kabisa while ubongo upo active? Anyway, hapa ni swali juu ya swali ila nayo nadhani ni njia nzuri ya kujibu swali sometimes 😅"Who is thinking you thought"
Hivi ulishawahi kujiuliza mambo tunayoyawaza huwa yanatokea wapi. Kama yanatoka kwako, kwa nini huwezi kujizuia kuwaza..yaani ndani ya fikra zako kukawa kimya kabisa bila kuwaza chochote.
Kingereza cha wapi hichi?"Who is thinking you thought"
Ndio muda pekee ubongo unakua haushughulishwi sana... Coz mawazo huwa yanaanzia kwenye experience ya mambo mbalimbali tunayokutana nayo kwenye maisha ya Kila sikuUkisinzia inawezekana
yeah! Kile alichouliza sizani kama kinawezekanaNdio muda pekee ubongo unakua haushughulishwi sana... Coz mawazo huwa yanaanzia kwenye experience ya mambo mbalimbali tunayokutana nayo kwenye maisha ya Kila siku
Fafanua,physiological english.
Hata ukiwa usingizini wajomba zako wanakujia kwenye ndotoUkisinzia inawezekana
Kwa hiyo nikiwa sijalala nakuwa sina controll ya kuamua nishut down my thoughts. Kama mimi ndiye ninayewaza, kwa nini siwezi kuweka off kuwaza?Ndio muda pekee ubongo unakua haushughulishwi sana... Coz mawazo huwa yanaanzia kwenye experience ya mambo mbalimbali tunayokutana nayo kwenye maisha ya Kila siku
Chanzo ch mawazo ni maisha yenyewe🤔🤔"Who is thinking you thought"
Hivi ulishawahi kujiuliza mambo tunayoyawaza huwa yanatokea wapi. Kama yanatoka kwako, kwa nini huwezi kujizuia kuwaza..yaani ndani ya fikra zako kukawa kimya kabisa bila kuwaza chochote.
No kuna kitu kinaitwa mental planeChanzo ch mawazo ni maisha yenyewe🤔🤔
Hii inawezekana ila kwa kuutrain ubongo uzoee kuacha kuzingatia kelele zinazoendelea nje ili ubaki kwenye hali ya utulivu... Ukiwa unafanya meditation kuna level ya hivi baadhi ya watu wanaifikia, ingawa si wengi coz waliowengi hushindwa kufika hapa bali wao huambaa kwenye eneo moja na kupotelea hapo.Kwa hiyo nikiwa sijalala nakuwa sina controll ya kuamua nishut down my thoughts. Kama mimi ndiye ninayewaza, kwa nini siwezi kuweka off kuwaza?
Ukiwa kwenye state ya meditation, unataona mawazo jinsi yanavyoflow na jinsi ambavyo hauna uwezo wa kuyacontrol zaidi ya kuya observe tuInawezekana vipi kuwe kimya kabisa while ubongo upo active? Anyway, hapa ni swali juu ya swali ila nayo nadhani ni njia nzuri ya kujibu swali sometimes 😅
So technically kufanya usiwaze kabisa haiwezekani ila kucontrol kwa kuchagua aina ya uelekeo wa mawazo inawezekanaUkiwa kwenye state ya meditation, unataona mawazo jinsi yanavyoflow na jinsi ambavyo hauna uwezo wa kuyacontrol zaidi ya kuya observe tu