Nakusanya mawazo kwenu wana familia

Nakusanya mawazo kwenu wana familia

medyh99

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
211
Reaction score
235
Je, utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
 
Je utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
Ugomvi na malumbano ya kila siku ambayo yako extended mpaka nje ya mipaka yenu sio mazuri.. Kwakuwa licha ya kuhatarisha uhai wenu hakuna cha maana mtakaa mfanye
 
Ukitofautiana na mwenza wako wa kike/kiume, kisha akawa anapeleka kila jambo nyumbani kwa wazazi.... hiyo hujenga chuki kubwa kwa wazazi juu ya mwenza wako ambapo baadae huwa sumu kali.
Kwa jambo lako, ingekua mimi ndio wewe unapaswa ujitambue mazee.
 
1. Hao wakwe zako ni kama viongozi wa dini tu namanisha si kama viongozi wa kiroho.
-mtu yeyote katika maisha asiyekuwa na tabia ya upatanisho palipo ugomvi, hapo hakuna lolote achana naye.

2. Ndoa yenu haitakuwa na baraka kama tunaowategemea wapatanishe ndo wanakuwa ma gen z, achana naye

3. Mshukru MUNGU wa madhabahu yako, kakufunulia tapeli na jini la mahusiano. achana naye.

4. usipeleke laana kwenye familia, yako achana naye

5. siku usipompa hata matumizi hao ma gen z wanaojiita wakwe watatia timu kwako hautaamini.

6. tafuta mtu ambaye atafanyika kuwa baraka kwako, kwa watoto wako na familia yako.

7. ukilazimisha ipo siku utapata kesi ya jinai kwa kuwaumiza wakwe au huyo tapeli wako wa ndoa.
 
Sure
 
Je, utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
Ukiamua kumuacha ni maamuzi pia na ukiamua kumpenda ni maamuzi pia.

Ila penda pesa yako zaidi
 
Je, utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
Kwanza kabisa kumpenda sana mwanamke ni kosa.

Inatakiwa yeye ndiye akupende wewe sana.

Huelewi wapi?
 
Je, utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
sema hujadadavua vizur.
ni vitisho gan hvo kutoka kwa wazaz wake?
Kwama ukimuacha kitakuramba au wanakutisha uachane na bint yao?
 
Back
Top Bottom