mawazo

  1. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Nina mawazo mazuri kuisaidia nchi ila sijui nimfikishie nani

    Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia. Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio. Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots. Najua viongozi...
  2. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  3. christopher mlewa

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; Nipo kwenye dimbwi la mawazo baada ya kutembea na mwathirika wa UKIMWI

    Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25. Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa...
  4. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Watanionaje,watanifikiriaje na watanichukuliaje, ni mawazo yanayoturudusha vijana wengi nyuma

    Aslaam, Wakuu, nimewaza hapa juu ya haya mawazo ya WATANIONAJE, WATANIFIKIRIAJE na WATANICHUKULIAJE namna yanavyotufelisha wengi katika kufanya maamuzi. Miongoni mwa mawazo yanayobomoa VIJANA wengi na kukosa uthubutu wakufanya jambo ni haya. Mi nimmoja wapo Ambae muathirika wa haya mawazo...
  5. HAMISI HH

    JamiiForums Tanzania Mabati bora ya kuezeka nyumba

    Naomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi sana na kila mtu anavutia kwake.
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Nimepata nafasi ya kujitolea miezi minne. Je, nichukue fursa au niachane nayo?

    Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini. Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography). Sasa wakuu Katika harakati za kupambana na maisha huku mtaani Toka mwezi wa Saba nilipo maliza, Leo hii nimeitwa na moja ya shule ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

    Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake. Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 2 ningependa kuwekeza biashara za online naomba mawazo nijaribu kitu gani?

    nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible. so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube adsense, nina rafiki yangu yupo states aliwahi kunipa wazo hilo kibongo bongo views buku kwa wastani ni...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hatuoni tatizo kwa miradi ya Serikali kutokana na mawazo ya wawekezaji wa kigeni?

    Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao wawekezaji ni ROI yao kwanza, wanazo pesa zimezagaazagaa wanazunguka dunia nzima kutafuta pa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukabiliana na msongo wa mawazo

    1. Weka malengo unayoweza kufikia ndani ya muda mfupi Badala ya kuorodhesha majukumu mengi, fikiria kuweka malengo madogo. Kuweka na kutimiza malengo haya kunaweza kukupa hali ya udhibiti na mafanikio, na kusaidia kuongeza motisha. Ukimaliza jambo dogo, elekeza macho yako kwenye jambo dogo...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo, baadae awe mke

    Habari wana JF, mimi ni mwanaume, umri miaka 27, dini mkristo, natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke, kama umevutiwa karibu inbox.
  12. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike umri chini ya miaka 22 wa kubadilishana nae mawazo

    Wakuu Hamjambo?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mawazo tu

    Waafrika tunatengenezewa Ufukara wa kulazimishiwa na kutishwa tishwa ili wachache walioamua kuishi maisha ya Anasa kwa Jasho la mafukara wasihojiwe lolote. Na mbaya zaidi wanazidi kuwaza mbinu za kuzidi kumfunya fukara awe fukara kwa kumuwekea viaongozi watokanao na safu wasiokuwa na msaada...
  14. ninjajr

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kufungua kampuni ya transportation and logistics

    Salaam JF. Nimekuja hapa nikiwa na imani ya kuwa jf ni uwanja mpana uliosheheni watu wenye ujuzi tofauti. Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana elimu na uzoefu katika masuala mazima ya kumiliki pamoja na uendeshaji kupitia kampuni inayohusia na Transportation and logistics. Nakarabisha...
  15. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Azam wanasusa ili kupata public sympathy, ukweli ni kwamba media zimeshawaibia watu wengi sana mawazo yao

    Tanzania ni nchi ambayo unapeleka idea kwa mtu au kampuni wanaikataa na tena wanaiponda ila ukikaa baada miezi kadhaa unaona wanaitumia wengi hii imewatokea Hata yule bosi wa zamani wa mawingu marehemu kwa sasa ambaye alikuwa anasifiwa sana ana akili ukweli ni kwamba alikua wakawaida sababu...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Wenye mawazo bunifu mazuri mnakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu na kupata washirika kutoka ndani na nje ya nchi na uwezekano wa kupata ufadhili

    Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International. Tafandhali jaza fomu iliyopo katika link hapo juu, submit na fuatilia e-mail kwa maelezo zaidi. Wazo lako linapaswa kuwa la kipekee sana...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya Dokta Masaru Emoto juu ya athari za hisia na mawazo katika uhalisia

    Dokta Masaru Emoto aliweka maji safi (Distilled water) katika Glass 2 za maji, glass moja alibandika neno ‘Upendo’ , Glass nyingine akaandika neno ‘Nakuchukia’, na akawa anayanenea hayo maneno kwenye yake maji kwa muda wa siku 30. Baada ya hapo akagandisha yale maji na kupiga picha kwa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mataifa yenye Watu wenye Akili ndiyo huja na Mawazo yenye Akili kama haya

    MEXICO CITY - Mexico imetangaza rasmi mabadiliko makubwa katika Mahakama ambapo pamoja na mambo mengine Majaji sasa watapatikana kwa kupigiwa kura tofauti na utaratibu wa awali wa kuteuliwa. Chanzo: habarileo_tz Ngoja sasa nifanye tu Mpango niende Kuishi nchini Mexico na nihame Taifa ambalo...
  19. cutelove

    JamiiForums Tanzania Hili neno "Umehonga" linawapa msongo wa mawazo wanaume. Tafadhali tusilitumie kwa wanaume wetu

    Wanawake tuliowengi kwa sasa tunaendeshwa na hisia tu badala ya uhalisia Kwa sasa tunaamini na kuhisi kwamba iwapo mmeo hakupi pesa ya matumizi ya kutosha au akakwambia hana pesa kwa muda huo basi neno litakalotamkwa na mke wake au mpenzi wake ni kuwa amehonga pesa wanawake na kumnyima mkeo au...
  20. co fm

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu pesa za mkopo

    Habari za muda huu wadau, hapa kazini kwetu kuna watu wamekuja wanataka kutupa mikopo kwa riba ndogo sana kiasi kwamba kwa mshahara wangu ninaweza kupata mpaka million 50 kwa miaka mitano. Sasa naombeni msaada wa mawazo jinsi ya kutumia hizo million 50 kwa faida. Sina gari wala nyumba
Back
Top Bottom