mawaziri

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndio malipo na faida za Mawaziri wa Kenya ikiwemo kulipwa Tsh Milioni 17.6 kwa mwezi

    Wakati Baraza la Mawaziri la Kenya lililoteuliwa wiki hii likisubiri kuidhinishwa na Bunge imebainika kuwa malipo ya mwezi kwa kila Waziri ni Ksh. 924,000 (Tsh 17,656,624). Malipo hayo yanajumuisha Mshahara Ksh 554,400 (Tsh. 10,593,974), posho ya nyumba Ksh.200,000 (Tsh. 3,821,780) na malipo ya...
  2. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Wazo la Tozo Mpya: Wanachama wa siasa na Mawaziri

    Habari Tanzania! Leo napenda kutoa wazo kwa ajili ya kulijenga Taifa letu kwa umoja na ushirikiano wa hali ya juu. Naomba kupendekeza wazo la tozo mpya ; Tozo ya Kwanza: Tozo itoke kupitia wanachama wa vyama vyote vya siasa tulivyonavyo hapa nchini. Mfano, kila mwanachama wa chama cha siasa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FULL LIST: Rais Ruto amefanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri, IGP na DCI wajiuzulu

    Leo Sept. 27, 2022 Rais William Ruto amefanya kikao cha kwanza na Baraza la Mawaziri wa Serikali iliyopita na kisha kufanya uteuzi wa Baraza lake jipya linalojumuisha Mawaziri 21 ambao watasimamia Wizara mbalimbali. Ruto amemteua aliyekuwa Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi kuwa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Rais Ruto akosolewa kwa kuchelewa kutaja Baraza la Mawaziri

    Ukosoaji huyo umeanza kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Twitter, huku Mbunge wa Kathiani, Robert Mbui akidai Rais anajivuta sana kutangaza Serikali yake wakati kuna mambo ya dharula yanaikumbuka nchi hiyo Mbunge huyo amesema “Rais anatakiwa kuchagua Baraza la Mawaziri ili tuanze kushughulikia...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi trilioni 360 za Watanzania? Je, ni kesi ya madai halali au madai hewa? Je, mawaziri wa fedha wanatosha au hawatoshi?

    ZIKO WAPI TRILIONI 360 ZA WATANZANIA? JE NI KESI YA MADAI HALALI AU MADAI HEWA? JE MAWAZIRI WA FEDHA WANATOSHA AU HAWATOSHI? Leo 12:15hrs 23/09/2022 Ndugu zangu Mh Luhaga Mpina ni Mbunge pekee kwa sasa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano anaetukumbusha na kutuonesha watanzania dhati ya...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Mawaziri wa CCM hawana majibu usiwabane sana

    Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri. Sasa mama wana CCM hawapendi mambo kama hayo na usirudie kuwabana mbele ya kadamnasi namna ile, utaundiwa zengwe...
  7. Execute

    JamiiForums Tanzania Rais, makamu, waziri mkuu, wabunge, majaji na mawaziri waanze kulipa kodi kufidia tozo zilizoondolewa

    Ni wakati muafaka sasa watu hawa walipe kodi ili kuifikia nakisi ya bajeti iliyopitishwa mwezi juni. Huu ndio uzalendo wa kitanzania unaohitajika.
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Rais Samia unachonganishwa na Mawaziri wako uonekane Mbaya wajipange kwa Urais

    Mwigulu Nchemba ana ushetani mwingi sana. Hana utu hata kidogo,ana kiburi na mjivuni sana. Suala la kuwakata watu pesa zao zikiwa bank na wanapotoa huu watu wameuchukulia kama ni Unyang'anyi wa Serikali yako kwa wananchi maskini. Yaani mmeshindwa kukusanya kodi sasa mnachukua kwenye accounts za...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Natabiri Mabadiliko Madogo Baraza la mawaziri. Wawili kama sio mmoja kutemwa

    Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe. Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri. Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Profesa Mussa Assad: Hasara za Tozo ni kubwa kuliko faida zake, Mawaziri ndio wakatwe kodi

    Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amezungumzia suala la Tozo wakati akihojiwa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM. Profesa Mussa Assad amesema anaamini suala la Tozo lina hasara kubwa kuliko faida kwa Serikali. Amesema “Kuna namna...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wapiga kimya kuhusu uwepo wa fedha zilizositishwa na bunge bajeti ya 2022/2023

    Wakuu, Ofisi, halmashauri, mikoa ,taasisi na mashirika ya Umma kuna hali ambayo haijulikani kuhusu uwepo wa fedha au. Ukifika kufuatilia malipo unaambiwa mfumo haujafunguka. Tangu July hadi September mfumo haufunguki. Mwenye ufahamu kuhusu hali ya kifedha atujulishe tafadhali.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mashimba Ndaki, Waziri wa kwanza wa mifugo tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki

    Mashimba Ndaki Waziri wa kwanza wa mifugo Tanzania tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki apongezwe na kutiwa moyo zaidi Nawasalimu kwa Jina la JMT, Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961, Nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Presss ya Mawaziri leo, wanamaanisha nchi inajengwa na tozo tu?

    Kwanza wamefanya press kwa kukurupuka tu. Hatujaelewa jambo lolote. Pili, wamepunguza kodi ya madini toka 6% hadi 3%. Wakatutwisha mizigo hadi kwenye tumishahara ambato tusharipia kodi. Huu ni wizi na kukosa usimamizi wa rasilimali. Kwa nini sasa tozo zinafanya kazi kubwa kuliko hata PAYE...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

    Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri. Kwa maneno mengine, yeye...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Baraza la Mawaziri

    Amani iwe nanyi wana bodi. Hongereni na mapumziko ya mwisho wa wiki. Leo napenda kutoa uchambuzi wangu kuhusu Baraza la Mawaziri ambalo ninatamani Rais wa Awamu ya 6 aanze nalo kama Baraza lake la kwanza la Mawaziri ambalo linatekeleza Bajeti yake ambayo imetengenezwa yeye akiwa Rais. Hii ni...
  16. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Tano bora ya baraza la mawaziri wanaofanya vizuri awamu ya sita

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali hii ya awamu ya sita ya mama yetu mh raisi Samia S. Hassan. Tukiachana na waziri mkuu ambae yeye...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kigwangala awatolea uvivu walalamikia tozo wanaoonea wivu Mawaziri

    Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ebu wambie Mawaziri Makamba, Nape, Mwigulu na Dotto ya kuwa wao ni Mawaziri sio Marais watarajiwa. Hii misafara hawana hadhi hiyo

    Kwanza nianze kwa kupongeza Wakurugenzi na watendaji wa mtandao pendwa wa JamiiForums. Pili naomba nikili yawazi yakuwa maboresho yaliyofanywa na JF Kuna wanaJF wengi tumekuwa nje ya nje ya online off, kkwa sababu ya maboresho haya. Niende kwenye mada, hivi majuzi Mimi nilikuwa,miongoni mwa...
  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliokalia kuti kavu

    Kuelekea mabadiliko ya baraza la mawaziri, ni mawaziri na manaibu gani wamekalia kuti kavu? Mimi naanza na Mh. Bashungwa sidhani kama atabaki Tamisemi sidhani.
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Tutaje majina ya Mawaziri wachapakazi 2022

    Mawaziri wetu wako kazini kila mmoja kwa nafasi yake na kipawa chake alichojaliwa na Mungu Tuweke orodha ya mawaziri wachapakazi ambao kazi zao zinaonekana kwa matokeo kwa Wananchi kutokana na usimamizi wao sio wanaongoza kuonekana kwenye Tv.
Back
Top Bottom