mawasiliano

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), established by the TCRA Act No. 12 of 2003, is an independent Authority for the postal, broadcasting and electronic communications industries in the United Republic of Tanzania. It merged the former Tanzania Communications Commission and the Tanzania Broadcasting Commission. The TCRA is accountable to the Communications and Technology Ministry. The Information Communication and Technology (ICT) sector reform in Tanzania is notable in that development was influenced by regional, political (national) and technological factors. Tanzania is one of the few African countries to liberalise the communications sector whereby the Converged Licensing Framework (CLF) is used as a key strategy, in terms of the Tanzania Communications Regulations. Since inception in 2003, the TCRA has issued a number of regulations to administer the sector, but still faces a number of challenges such as the roll-out of services to under-serviced rural areas.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

    Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi? Ina uzito wa tani 21 na urefu wa futi 100 na upana wa futi 16. Ripoti za wataalamu wa anga zinasema roket hiyo itafika kwenye...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ndugulile afungua mkutano wa 41 wa Sourthern Africa Telecom Association(SATA) wa nchi za SADC

    Waziri wa Mawasiliano Teknolojia na habari Dkt. Faustine Ndugulile amefungua Mkutano wa 41 wa mashirika na makampuni ya mawasiliano katika nchi za Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC) unaojulikana kama Sourthern Africa Telecom Association (SATA) ambapo nchi ya Tanzania kupitia Shirika la...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, sambaratisha Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu

    Wanabodi Shaloom! Ninakuomba kama itakupendeza futilia mbali Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ili fedha za umma zinazoteketea kuligharamia zitumike kwingine. Ni kitengo cha upigaji. Nikukumbushe: mwaka 2005 baada ya Jakaya kuingia madarakani ndipo kitengo hiki kiliundwa mahsusi kumpa Salvatory...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara watatu kizimbani wakidaiwa kuingiza vifaa vya mawasiliano Tanzania bila kibali

    Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka nane yakiwemo ya kuingiza na kusimika vifaa vya mawasiliano bila kuwa na kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) pamoja na kuisababisha Serikali hasara ya Sh69 milioni. Washtakiwa...
  5. x - mas

    JamiiForums Tanzania Unamjua mdudu (malware) mbaya zaidi katika chombo chako cha mawasiliano?

    Habari zenu wanajukwaa, poleni na pilikapilika za hapa na pale za kutafuta mkate wa kila siku. bila kupoteza muda niende kwenye mada. vifaa vyetu vya mawasiliano vinaweza kukabiliwa na malware mbalimbali ikiwa hatutakuwa makini katika mambo ya usalama katika matumizi ya vifaa vya mawasiliano...
  6. Maleven

    JamiiForums Tanzania Sijasikia viongozi, wabunge na watu maarufu wakitetea wananchi kuhusu vifurushi vipya

    Au ndo haifai kuongea wakati wa kula? Au ndo wenzetu wanayumia wifi za office hawajapata taarifa? Nani wa kupaza sauti kueleza hali hii? Kwanini mitandao mingi imekaidi?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya wauzaji (wholesellers) wa bia Dodoma

    Wakuu natumaini mu wazima. Natafuta mawasiliano na wauzaji wa bia kwa jumla pale Dodoma mjini. Kama yupo yeyote humu au kuna mtu anaweza kuniunganisha na muuzaji yeyote tafadhali nitumie namba ya simu niweze kuwasiliana nao kibiashara. Unaweza kuituma hapa au kwenye PM. Natanguliza shukrani...
  8. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Wizara ya Teknolojia ya Mawasiliano na Habari

    Habari 👋 Naomba siku ya leo nitoe ushauri na mapendekezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuhusu wizara hii ya teknolojia, mawasiliano na habari. Sifahamu Dr. Faustine Ndugulile kipi kimemtatiza katika hii wizara. Sina shaka na utendaji wake lakini nadhani...
  9. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania India kutafuta njia mbadala ya kufuatilia mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp

    Moja ya sababu zilizofanya mitandao ya kijamii kuaminiwa zaidi na watumiaji ni kutokana na hakikisho la usalama wa mawasiliano kwa kutumia mfumo wa msimbo fiche wa mwisho hadi mwisho (end-to-end encryption). Huu ni mfumo unaoficha ujumbe uliotumwa kutoka kwa mtumiaji mmoja ili usiweze kusomwa na...
  10. Papaa Mobimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano yaipiga Redio ya Homeboyz faini ya Ksh.1M. Kipindi cha Breakfast chasimamishwa kwa miezi 6

    The Communications Authority of Kenya, led by Director General Mercy Wanjau, during a press address on March 28, 2021. The Communications Authority of Kenya has now slapped Homeboyz Radio with a Ksh.1 million fine and suspended its breakfast show for six months over derogatory comments against...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile afungua Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi cha Shirika la Mawasiliano Tanzania

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile afungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi cha Shirika la Mawasiliano Tanzania leo katika ukumbi wa Kambarage, jengo la Shirika la Nyumba la Taifa, jijini Dar es salaam. #Siku100ZaUtekelezaji.
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewatahadharisha wanaochapisha taarifa wasizokuwa na uhakika nazo. Kuanzia jumatatu, Februari 21, Ndugulile amesema wataanza kuwachezesha wote wanaotoa taarifa potofu na wanaofanya utapeli. Amesema kama hauna uhakika na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku ya wanawake Duniani Machi 8, 2021 UCSAF yatoa msaada katika kituo cha Watoto yatima

    KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE UCSAF YATOA MSAADA KWA YATIMA Na: Celina Mwakabwale Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2021, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ( UCSAF) umetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Nyumba ya Matumaini...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za kishindo cha wizara ya mawasiliano na teknolojia ya habari chini ya Waziri Dkt Faustine Ndugulile

    Siku100 za KISHINDO kuanzia Tarehe 15 - 30 Machi, 2021 za wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Taasisi zake chini ya Waziri Dkt. Faustine Ndugulile.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, CCM hakina mawasiliano? Sanga anasema hivi na anashangiliwa, Polepole naye anakanusha na anashangiliwa. Tushike lipi?

    Msikilize hapa Humphrey Polepole akizungumza bungeni, kiukweli hiki chama sasa kinaenda kama gari lililokatika senta bolti.
  16. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yawakabidhi wakandarasi mikataba ya shilingi bilioni 7.5

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza wakandarasi wanaokwenda kutekeleza miradi minne ya miundombinu ya mawasiliano yenye thamani ya shilingi bilioni 7.5, kuhakikisha wanafanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kazi hiyo ndani ya muda wa mkataba...
  17. DSJ

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wenye Shahada ya Uandishi wa Habari na/au Mawasiliano kwa Umma

    Fursa ya Ajira kutoka DSJ Tuma CV yako kwenda: application@uti.ac.tz Sambaza upendo huu kwa uwapendao
  18. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawasiliano ya University of Iringa

    Habarini wanajamvi Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kwa muda mrefu sasa najaribu kufanya mawasiliano bila mafanikio kwani namba zao hazipokelewi na email address haijibiwi. Kama kuna namna nyingine ya mawasiliano naomba msaada.
  19. R

    JamiiForums Tanzania China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum

    China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum wa ardhi na setilaiti duniani Chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha China kimetangaza kuwa timu ya utafiti ya China imefanikiwa kutimiza ugavi wa ufunguo wa siri (Secret-Key) wa Quantum wenye umbali wa kilomita 4600, ambayo...
  20. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu ya wadau wa sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma

    Updates ! Pia nitatumia uzi huu hapa, kuweka matangazo ya ajira kutoka Sekretarieti ya ajira(Utumishi) katika Ofisi ya Rais. 🙏 Pata majibu ya baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na wadau wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kupitia njia mbalimbali za mawasiliano wakitaka...
Back
Top Bottom