mawasiliano

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), established by the TCRA Act No. 12 of 2003, is an independent Authority for the postal, broadcasting and electronic communications industries in the United Republic of Tanzania. It merged the former Tanzania Communications Commission and the Tanzania Broadcasting Commission. The TCRA is accountable to the Communications and Technology Ministry. The Information Communication and Technology (ICT) sector reform in Tanzania is notable in that development was influenced by regional, political (national) and technological factors. Tanzania is one of the few African countries to liberalise the communications sector whereby the Converged Licensing Framework (CLF) is used as a key strategy, in terms of the Tanzania Communications Regulations. Since inception in 2003, the TCRA has issued a number of regulations to administer the sector, but still faces a number of challenges such as the roll-out of services to under-serviced rural areas.

View More On Wikipedia.org
  1. CUF Habari

    GE2020 Prof. Lipumba: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais nisimamie elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS NISIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" KWIMBA, MWANZA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu...
  2. CUF Habari

    GE2020 Prof. Lipumba akiwa Bukoba Vijijini: Nitasimamia elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" BUKOBA VIJIJINI Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu ya juu. Kila raia...
  3. wanzagitalewa

    Kukua kwa Teknolojia ya Mawasiliano kunavyochangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi Tanzania

    Na Bindu Hassan, UDBS Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Zainab Chaula wiki hii ameeleza namna sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inavyoweza kuchangia zaidi katika ukuaji wa sekta za kijamii na kiuchumi nchini Tanzania. Dkt. Chaula ameeleza kuwa...
  4. wanzagitalewa

    Sekta ya Mawasiliano ya simu inavyosaidia ukuaji wa Uchumi Tanzania

    Kwa miaka kadhaa sasa Uchumi wa Tanzania umeendelea kukua na kuiwezesha nchi kufikia lengo la kuwa nchi ya Uchumi wa kati (lower-middle-income economy) ikiwa ni miaka mitano kabla ya kufikia mwisho wa muda iliyokuwa imejiwekea. Huku hili likitokea, Tanzania imejikita katika kuboresha zaidi...
  5. Y

    Wanaojua mawasiliano ya TAMISEMI au Wizara ya Elimu nina shida muhimu sana

    Wakuu habari, kama nilivozungumzia kwenye kichwa cha habari. Nina shida na mawasiliano ya TAMISEMI kwa anayeelewa niingieje kwenye website yao au email yao, vilevile sina email yao wala website yao, naombeni anayefahamu mawasiliano yao anisaidie. Bila kujali ngoja niwaeleze tatizo linalonituma...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Mawasiliano ya Siri, Ishara na Dalili

    MAWASILIANO YA SIRI, ISHARA NA DALILI Na, Robert Heriel. Jumbe hii isomwe kwa hekima kwao hao wenye hekima, tena wenye ufahamu wazidi kupata maarifa, lakini isomwe kipumbavu kwa hao wenye upumbavu, tena wasipate maana, bali wasomapo waanguke kwenye njia panda za fikra zao. Niite Taikon wa...
  7. P

    Ushauri kwa Mbowe: Vunja kitengo cha mawasiliano cha CHADEMA, kisuke upya

    Wapendwa wakuu humu jamvini: Huu ni wakati wa Kampeni na Uchaguzi mkuu. Nguzo kubwa ya ushindi katika uchaguzi ni communication (mawasiliano). Kwa maana ya kwamba lazima wapiga kura wafikiwe kwa ujumbe na ilana ya chama kwa ufasaha na kwa haraka, na ujumbe huu urudiwe mara kwa mara kwenye media...
  8. B

    Hii ndio janja na utapeli wa wanaojidai kuunganisha kuona mawasiliano ya mpenzi wako

    Ukimfuata inbox anakwambia umpe namba zako na namba za utakae kuangalia mawasiliano yake bila Kwanza yeye kukupa namba yake. Hii maana yake NI nini? Kama utafanya kosa la kumpa hizo namba atakacho kifanya NI kuanza kuku intimidate kwamba ataenda kuexpose Siri hiyo Kwa mwenye namba kuwa...
  9. wanzagitalewa

    Muungano wa Tigo na Zantel utakavyoimarisha huduma za mawasiliano ya simu Tanzania

    Inafahamika kuwa mawasiliano ya simu barani Afrika ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa na mchango mkubwa wa vijana, Afrika inaongoza katika matumizi ya teknolojia ya simu na programu tumishi maarufu kwa Kiingereza kama apps. Ukuaji wa sekta hiyo unajidhihirisha pia...
  10. TinyMonster

    Kurugenzi ya Mawasiliano CHADEMA iamke

    Nimeona nilisemelee hili mapema kabla kampeni hazijaanza, kiukweli kurugenzi ya mawasiliano CHADEMA imepwaya sana suala la organization ya huu mkutano mkuu. Mtu anaweza kuwaza kuwa uhaba wa vyombo vya habari kwenye Mkutano ni kwa sababu vyombo vya habari vina uoga lakini ukweli ni kwamba...
  11. Civilian Coin

    Sijawahi kuwasiliana na Naibu Waziri wa Habari (Juliana) tangu March 2013 na sina mpango wa kuwasiliana naye hata kwa kufoji mawasiliano

    Taarifa nyingi zinazozagaa kuwa Nina mawasiliano na huyu Naibu Waziri si za kweli na wala sijawahi kuonana naye tangu nilipotoka CHADEMA Desemba 2012. Sina MASLAHI naye na hivyo niwasiliane naye kwa masilahi gani? Na shida gani? Ninauwezo wa kujisimamia kuliko Wabunge wote na Mawaziri wote...
  12. Pascal Mayalla

    Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

    Wanabodi, Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa. Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya...
  13. Rebeca 83

    Hivi kuna utaratibu wa mawasiliano kati ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya?

    Hello JF, Mimi leo nauliza hiviiii kuna mawasiliano ya ndani kwa wakuu wa mkoa labda wa mikoa tofauti kuwasiliana? au wakuu wa wilaya moja kwenda nyingine? Kuwasiliana nimemaanisha kuona na kuuliza wametatuaje changamoto zao katika wilaya/mikoa yao ama jinsi walivyogundua opportunities...
  14. wanzagitalewa

    Mawasiliano ya kidijitali yanavyosaidia kutuleta pamoja

    Ugonjwa wa korona (COVID-19) umebadili maisha ya watu wengi kwa namna ambazo hatukutegemea. Moja ya badiliko kubwa ni lile la kupunguza mikusanyiko, kubaribiana na wengine kuathiri mipango ya safari. Bahati nzuri teknolojia ya mawasiliano kama mitandao ya kijamii, video calls na nyingine sawa...
  15. YEHODAYA

    Acheni kuweka password kwenye simu ili.likitokea lolote iwe corona au chochote mawasiliano yawepo

    Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
  16. canular

    Naomba mnisaidie mawasiliano ya wizara ya Afya ama Mwenye mawasiliano ya waziri wa Afya Tanzania

    Wakuu tujipe pole na tuendelee kujikinga na maambukizi ya corona tuendelee kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka ,moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu jamani Ninaomba kwa mwana jf yeyote yule mwenye mawasiliano ya staff wa wizara ya Afya au mawasiliano ya waziri wa Afya...
  17. wanzagitalewa

    Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake nchini Tanzania

    Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala wa usawa wa kijinsia. Nchini Tanzania usawa wa kijinsia umeongezeka katika miaka ya karibuni...
  18. wanzagitalewa

    Ukuaji wa uchumi unavyotegemea sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi

    Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania imepitia kipindi kizuri cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita na kuifanya hivi sasa kuwa moja ya chumi zinazokua vizuri katika eneo la Afrika Mashariki. Ripoti ya UK ThinkTank inaongeza kuwa mafanikio ya ukuaji wa kiuchumi Tanzania yamewezeshwa...
  19. wanzagitalewa

    Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya

    Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5 unalenga kutumia teknolojia ya akili bandia za mifumo ya kompyuta kwa kimombo Artificial...
  20. wanzagitalewa

    Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi

    Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini. Juma lililopita, Umoja wa Forodha Ulimwenguni (WCO) uliweka bayana kwamba Tanzania inaweza kunufaika kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza katika teknolojia. Akizungumza jijini Dar Es Salaam, Katibu...
Back
Top Bottom