Naomba mawasiliano ya wauzaji (wholesellers) wa bia Dodoma

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,013
Wakuu natumaini mu wazima.

Natafuta mawasiliano na wauzaji wa bia kwa jumla pale Dodoma mjini. Kama yupo yeyote humu au kuna mtu anaweza kuniunganisha na muuzaji yeyote tafadhali nitumie namba ya simu niweze kuwasiliana nao kibiashara.

Unaweza kuituma hapa au kwenye PM.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Nenda karibu na Nyerere sq yupo jamaa anaitwa mchewe ni jina maarufu sana na njia panda ya Area d kuna mtu anaitwa Takawedo nk.utapata hizo bottle!
 
bia kamari na riba ni katika biashara alizozilaani Mwenyezi Mungu msipotubu mtakuwa ni watu wa kuhangaika na kufanya biashara hizo hadi mwisho wa uhai wenu.

Pesa utaiona lakin hutojua imetokea dirisha gani

nakukumbusha tu kijana mwenzangu umeshaingia katika mtego wa shetani
 
Yale yale! Kitimoto sijui ni haram! Sijui ina minyoo!! Acha watu wafaidi maisha yao. Masuala ya kupangiana maisha ni ukuda usio na tija! Hela watafute wenyewe, halafu unataka uwapangie cha kula/kunywa!! 🤔
 
Safi sana mkuu,dhambi ni nyingi tuu!
 
bia kamari na riba ni katika biashara alizozilaani Mwenyezi Mungu msipotubu mtakuwa ni watu wa kuhangaika na kufanya biashara hizo hadi mwisho wa uhai wenu.

Pesa utaiona lakin hutojua imetokea dirisha gani

nakukumbusha tu kijana mwenzangu umeshaingia katika mtego wa shetani
Wivu tu
 
Huzini wewe? Mwongo, mnafiki, unachagua dhambi huna lolote.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Yale yale! Kitimoto sijui ni haram! Sijui ina minyoo!! Acha watu wafaidi maisha yao. Masuala ya kupangiana maisha ni ukuda usio na tija! Hela watafute wenyewe, halafu unataka uwapangie cha kula/kunywa!! 🤔
Huzini wewe? Mwongo, mnafiki, unachagua dhambi huna lolote.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
nyie wote mna element za kishoga

aliekumbushwa yupo kimya nyie mnacheza ngoma isiyowahusu
shame on you
 
Back
Top Bottom