Mambo ni mengi hizi siku mbili tatu kama masikhara Mama kala kichwa cha Chalamila, akiwa huko huko kapita na yule wa Morogoro.
Jana asubuhi tu, tukaone Selfie ya Masheikh wa Uamsho na familia zao hata kabla ya taarifa rasmi ya kuachiwa kwao. Siku hiyo hiyo Bwana Seth nae kaachiwa kwa kutakiwa...