mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kulihusisha tukio la mauaji Kinondoni na vyama vya siasa ni kukosa busara za kisiasa

    Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni. Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Shuhuda: Gaidi alishuka kwenye gari akiwa na bastola na kuanza kuwapiga risasi polisi

    Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho. Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni...
  3. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

    Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020. Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mauaji Salenda: Wahusika wote, Waziri na Sirro Wawajibishwe

    Maisha ya watu 5 wakiwamo wasiokuwa na hatia yamepotea jana, wengine wakijeruhiwa. Haya yakitokea katika kinachosemekana kuwa ni mwendelezo wa matukio ya dhuluma tokea kwa watu wenye dhamana ya kutoa ulinzi kwa watu. Aliyesemekana kuwa ni gaidi anasemekana hakuwa gaidi bali alikuwa ni raia wa...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news? Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic. ======== Mtu mmoja ambaye alionekana kufyatua risasi karibu na Ubalozi wa Ufaransa Jijini Dar es Salaam amedhibitiwa na Vyombo vya...
  6. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mauaji Dar, ni Ujambazi, Kisasi au Ugaidi? Tujifunze kitu

    Ni zaidi ya Msaa 8 hivi kupita baada ya tukio la leo 25/8/2021 kubwa kwa nchi yetu, hatujapata kuwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga kwa risasi nadhani tangu Tanganyika ipate Uhuru wake, Ni tukio kubwa kimedani na linatulazimisha tuweke kando siasa zetu chafu tukae chini na tutafakari na...
  7. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Tukio la mauaji ya Polisi eneo la Selander si bahati mbaya

    Leo kumetokea tukio baya sana kwa Usalama wa nchi yetu labda ni tukio baya sana kuwahi kushuhudiwa toka matukio ya enzi za Mauaji ya KIBITI yaliyolikumba nchi yetu enzi zile za Rais Magufuli sijui nini maana yake lakini Hii sio bahati mbaya.. yes sio bahati mbaya! Habari za kuuliwa polisi watatu...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna maswali ya fikirisha kwa tukio la mauaji Selander Bridge

    Naomba tujiulize maswali haya! 1. Mhalifu alikuwa na silahaa mbili na moja iliyokuwa hana tumia ni kama AK-47! Je, Tanzania upande wa usalama inafikiria nini kuhusu silaha kali ambazo si rahisi kukuta nayo mwananchi labda majambazi tena wachache wenye matukio makubwa au wahalifu wachache! 2...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Serikali iboreshe sheria ya Ndoa za Kikristu ili ziruhusu talaka kuepusha mauaji na fumanizi

    Serikali ilitazame hili kwa jicho la dharula! ndoa nyingi sana zimekuwa chanzo kikuu cha mauaji! Ukipitia mafaili na report za kipolisi asilimia kubwa ya mauaji ya kimapenzi ni ndoa za kikristo! Swali: Kwanini za Kikristo ndiyo zinaongoza! Jibu: Ni kwasababu serikali haikutoa utaratibu...
  10. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania UN: Mauaji ya Albino yameongezeka kipindi cha Coronavirus kwa sababu ya Umasikini

    People being plunged into poverty during the COVID-19 pandemic has led to an increase in the killing of people with albinism, the outgoing UN appointed independent expert, Ms Ikponwosa Ero, said on Thursday. Ero stated that people had been turning to witchcraft “because of the mistaken belief...
  12. Geo C Starfish

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maoni juu ya wafungwa wa makosa ya mauaji, kusababisha ulemavu wa kudumu kwa wanaotegemewa na familia zao

    Kifungo ni moja ya hatua za kumuwajibisha mkosaji ili atambue kosa lake na aweze kujirekebisha kwa kutokufanya tena kosa hilo na hata makosa mengine. Mtu anapofanya kosa na kupewa kifungo au kuwekwa kifungoni huitwa mfungwa. Kifungo hufanya watu kufuata sheria na hupunguza kwa kiasi fulani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...
  14. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Leseni ya umiliki silaha Vs Leseni ya udereva ipi imeleta madhara zaidi?

    Sina takwimu kamili Issue ya umiliki wa silaha imeleta fikra/ hisia/ mawazo mengi kwa Watanzania hasa baada ya taarifa za wiki iliyoisha(weekend). Kikubwa nimejifunza Wengi wanalaani umilikishwaji wa silaha kwa watu.(kiholela) Ingawa process ni ndefu. Wanakemea na kuiomba serikali Au taasisi...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wachaga wakwe zangu poleni, ilikuwa wiki yenu kwa vituko!

    Leo nalazimisha kuwatania wakwe zangu, wachaga! (sisemi nimeoa mchaga yupi) Mimii nimeoa huko kwa hiyo msifure kwa hasira na mkani RIP mie chasaka!! Wiki ilianza na mangi Wilfred Massawe, mambo ya viti moto yamekuwa magumu kwa hiyo kaanza utapeli. Akajiita Katibu uenezi wa chama Tawala na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mauaji yaliyotokea Lemax Bar Sinza kwa Remmy yalikuwa yanaweza kuzuilika mapema

    Mauaji yaliyotokea hivi karibui katika eneo la Sinza ndani ya Lemax Bar yaliyosababisha vijana wawili kupoteza maisha baada ya marehemu aliyekuwa anamiliki bastola huku akifanya mambo ambayo ni kinyume na kanuni na tataratibu wa umiliki mpaka kufikia kitendo cha kuua na kujiua Kwanza nianze...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa uhalifu kuendelea mwaka mzima ni kula tu pesa za watu, utaratibu huu usitishwe

    Kuna mambo ambayo mahakama/polisi inabidi mubadilike Kuna dogo alimchoma mwenzie kisu akakaa mwaka ndani wakidai uchunguzi unaendelea. Hay mambo yanakatisha tamaa sana mahakamani, mfano mauaji ya kijana Goba. Huyu dada usishangae mwaka mzima aje hukumiwa huku ndugu wakidanganywa toa hiki toa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Polisi Tanzania hawana weledi wa kufanya Uchunguzi wa eneo la tukio la uhalifu (Crime Scene)

    Nikiri kwamba andiko hili limepata nguvu kutokana na mauaji yaliyofanyika katika Bar ya Lemax, Sinza, kama yalivyoletwa na Tusker Bariiiidi. Kupitia taarifa ya ITV, ukichunguza kwa umakini utagundua kuna mhanga wa hili tukio, mwili wake umelala kwenye kiti, ingawa polisi wapo wakirandaranda kila...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini anayekabiliwa na kesi ya mauaji aachiwa kwa dhamana

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Simon K pamoja na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya mauaji namba PI RM (MURDER) CASE NO. 4/2021 wameachiwa kwa dhamana hapo jana mjini Musoma. Jambo ambalo limewashangaza watu wengi kwani inajulikana wazi kuwa kesi hiyo haina dhamana. Hata hivyo mke...
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Sheria ibadilishwe hukumu ya kesi ya mauaji iwe miaka 15 jela. Kila Mtanzania amiliki bunduki kirahisi

    Habari wadau, Sheria zetu na mtu anayekutwa na kosa la mauaji nashauri ibadilishwe waweke miaka 15 tu inatosha maana lengo la kumuweka mtu jela ni ajifunze naamini miaka 15 atakuwa amejifunza kumuweka maisha jela ni kuipa mzigo tu serikali usio na tija pia kuharibu maisha ya wategemezi wake...
Back
Top Bottom