Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo.
Mimi ni music Enthusiast toka niko ng'aa na nimeshapitia mengi ila nikiri tu sijawahi kuwa fan wa products za Apple na accessories...