matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia kiasi gani cha pesa kwa siku?

    Tuambizane hivi kwa siku huwa unatumia shilingi ngapi kwa matumizi yako? Mimi kwa siku huwa natumia 2000 tu yaani nikizidisha sana 3000 tena hapo naona nimevuka kiwango Vipi wewe mwenzangu? Sent using Jamii Forums mobile app Update:Maisha yamechange sasahivi natumia 6000 per day weekend ndo...
  2. JamiiForums Tanzania Matumizi ya mafuta ya Olive ni nini?

    Habari wadau wa JF. Nilikuwa naomba msaada wa haya mafuta yanatumikaje maana ninayo muda mrefu sijui matumizi yake, msaada please.
  3. JamiiForums Tanzania Matumizi Bora ya Friji

    Friji hutumika kuhifadhi vyakula vya aina mbalimbali ili visiharibike mapema. Friji ikitumiwa vyema husaidia sana katika uhifadhi wa vyakula lakini isipotumiwa vizuri huweza kusababisha hasara na magonjwa kwa mtumiaji. Joto la Friji Joto la friji halitakiwi kuwa zaidi ya nyuzijoto 5 za...
  4. JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya fedha ni adui wa mafanikio

    Pesa hii ina majina mengi hii ni kutokana na mahali husika wapo wanaita pesa ni sadaka, nauli, zaka, fungu la kumi, Ada, kodi na majina mengine mengi. pesa hiyo ndiyo ambayo hujenga mtafauruku baina ya mtu mmoja na mwingine. Pesa hiyo hiyo tunaimbiwa haina undungu kabisa biana ya mtu mmoja na...
  5. JamiiForums Tanzania Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

    Heshima kwenu wakuu. Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe. Nawasilisha na natamani kujua kama ni kweli.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…