1. Kama ni town trip, inaweza kuwa sawahabari za jion wapendwa
hivi karibuni nimenunua gar Toyota IST CC1490 ya 2004. Full tank ni litre 38. naweza kutembelea full tank km 360 full Ac. ni sawa au hapa hichi nikimeo.
ushauri wakuu
Asante hizo ni town trip job to hme like 10km kwenda so nakurud jumla 20.OIL nimeweka recommended kabisa nilinunua 5 litre 100,000.sema will change pia na uendeshaji kidogo1. Kama ni town trip, inaweza kuwa sawa
2.Long trip kama uendeshaji ni mzuri inakupa zaidi ya km 15/L
3.Check/wakukagulie vitu kama plug, air cleaner, upepo wa tairi, sensors, oil ulibadilisha kama sio reccomended...vyote hivyo vinaweza fanya ulaji wa mafuta kuwa mbaya..kumbuka hizi gari ni used,vitu vingine huwa vimeishachoka
4.Full tank likiwa empyt kbs ni 45L
5. Kila la kheri
myn ncp61Nina tatizo kama hilo pia, yangu ni NCP65. Inatembea 7km/L. Yaani hata sielewi. Nasuburi wadau pia.
Sent using Jamii Forums mobile app