Naomba usaidizi wa Matumizi ya WhatsApp kwenye Laptops

Marichris

JF-Expert Member
May 14, 2020
580
507
Wakuu habari ya uzima na poleni na majukumu yenu ya kila siku,

Wakuu nataka kuanza kutumia whatsapp version kwenye laptop yangu badala ya simu, Je kuna mwanajukwaa ambaye alishawahi kutumia apps ya whatsappp kwenye laptop? alifanyaje?

Asanteni.

🙏
 
Unaweza kuunganisha ya kwenye simu na kwenye pc yako kupitia whatsapp web kwenye browser yako.

Au download bluestack. Ila uwe na ram angalau kuanzia 4gb kwenye pc yako.
 
WhatsApp web:-

inasaidia tu badala ya kutumia simu ukatumia computer kwa account ambayo umejiunga ktk simu yako na si account nyingine

Blue stak, knox etc:-

Hizi ni emulator ambazo unaweza ingia playstore kabisa na ku download app mbalimbali ikiwepo WhatsApp na kujiunga na namba unayotaka
 
Back
Top Bottom