matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uoga : Eneo lililotajwa kutumika na Lissu kwa Mkutano wa Kampeni Jimbo la Serengeti labadilishwa matumizi

    Viongozi wa Chadema wa Jimbo la Serengeti wameongea na Waandishi wa habari ili kutoa ratiba kamili ya Mgombea wao wa Urais Mh Tundu Lissu ndani ya jimbo hilo , ikiwa ni pamoja na kueleza eneo utakapofanyika mkutano huo. Lakini cha kushangaza muda mfupi baadaye eneo hilo likasimikwa bango la...
  2. Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

    Weka mawazo ya bajeti yako endapo unapokea kwa mwezi shilingi laki moja 100,000/= ukiwa chuoni hapa tunakadiria kwamba mtu alishalipia gharama ya chumba kwenye hostel ya wanafunzi, hivyo hatasumbuliwa
  3. GE2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

    APITA BILA KUPINGWA UBUNGE MTAMA Lindi: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Samuel Warioba Gunza amemtangaza Nape Nnauye mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea pekee wa jimbo hilo. Pia soma => Uchaguzi 2020 - Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa...
  4. Matumizi ya Bandari ya Kisumu yaongezeka kwa 62% shukrani DRC, Uganda, Tanzania, Rwanda n.k.

    Huu ndio mwendo wenyewe, pale ziwa Victoria mambo yanazidi kunoga, Kenya inapepea kwenye pembe zote za nchi. Kisumu port on August 13,2019. FILE PHOTO | NMG The refurbished Port of Kisumu handled 62 per cent more cargo in 2019 due to improved efficiency and a surge in trade, new statistics...
  5. L

    Flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu awamu ya 5 Tz ni matokeo ya kubadilisha matumizi ya pesa sio kukua kwa uchumi

    Kufanya uchaguzi kwa pesa ya ndani, kujenga flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu unaofanywa na awamu ya 5 ni matokeo ya kubadili matumizi pesa/kipato tu sio kukua kwa uchumi. Mfano, pesa zilizokuwa zinatumika kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Sasa wanastaafu, wengine wanakufa hakuna...
  6. Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu kwa watoto katika shule

    Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu janja ' Smart Phones ', tablet na saa janja ' Smart Watches kwa watoto chini ya miaka 15 katika shule. Serikali ya taifa imekuwa ikitilia shaka uwezo wa wanafunzi kwa maana ya kutegemea vifaa hivi katika masomo yao pia ikionekana kama chagizo la...
  7. George Ambangile aliamua kubaki na heshima na matumizi sahihi ya Elimu. Jamaa ni kichwa kizuri

    Katika sakata la Yanga na Morrison mwandishi ambaye nitaendelea kumheshimu ni Geoge Ambangile. Huyu bwana alisimamia kanuni za uandishi pasipo kupendelea upande wowote. Tofauti na wale vilaza waliokuwa wakitafuta kwa nguvu followers akina Oscar Oscar na Maulid Kitenge. Kitenge ametuuza sana...
  8. GE2020 Ushauri: CHADEMA msitumie/mpunguze matumizi ya usafiri wa helicopter kwenye kampeni za Urais

    Salam Wakuu! Ninafahamu mna Jukumu kubwa sana mbele yenu kama chama kinachotafuta nafasi ya kuingia ikulu kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru. Mnaenda kupambana na Raisi Magufuli ambaye kwa hakika ana wafuasi wengi sana na kwa hakika wanakubali utendaji kazi wake. Hivyo, kama heading...
  9. C

    Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

    Habari wadau, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. IP Adress (Internet Protocol) ni anwani ambayo device mfano simu au computer inakua nayo pindi inapokua imeunganishwa na intaneti hivyo mtu mwingine kuweza kujua mmiliki wa hiko kifaa ni nani. VPN (Virtual Private Network) ni simulator...
  10. Tanzania kinara matumizi ya Social Media za bei ghali

    Kama inaingia Youtube au Instagram kwa kujiibaiba kama unaoga nje bado huwezi kujiita upo huru kwenye Social Media Tanzania tunaongoza katika matumizi ya jumla ya mitandaoni.
  11. Membe: Rais Mkapa alithamini sana matumizi ya akili kubwa katika uongozi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema kuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, alikuwa Kiongozi wa dunia, mshauri wa masuala ya Uchaguzi na kinara katika kulisaidia bara la Afrika kutatua migogoro bila kuchoka Amesema siku zote Mkapa alikuwa anathamini akili...
  12. F

    Yanga kutokea kambini hotelini mechi za Dar ni matumizi mabovu ya hela

    Habari wadau, Jana Yanga tumecheza na Singida. Nimeshangaa kuona wachezaji wametokea kambini kwenda uwanjani, badala ya kutokea nyumbani kwao ama makao makuu ya club. Hata mechi na simba nayo hivyo hivyo wachezaji wanatokea hotelini. Huu mfumo wa kukaa hotelini kila siku unaongeza gharama kwa...
  13. J

    TAKUKURU: CHADEMA badala ya kulalamika wanapaswa kusoma sheria, mwisho wa uchunguzi waweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine

    Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika. Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi...
  14. Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

    Maneno "a" pamoja na "the" ni kifungu cha mameno ambayo huwa yanatumika kama utambulisho wa nomino katika lugha ya kiingereza .utofauti wa haya maneno mawili ni: "A" hutumika kutambulisha nomino ambayo haina umbo maalum.kwa mfano:- tuchukue nomino ambayo haina umbo maalum kama "maji" basi...
  15. Mambo haya yanaweza kuharibu battery ya gari yako. Ni vema kuyaepuka

    Vitu vifuatavyo vinaweza kuharibu battery ya gari yako. 1. Kuweka battery yenye low capacity ukilinganisha na battery ambayo imekuwa recommended kwenye Specifications za manufacturer Baadhi ya watu anaweza kuweka battery ambayo ni ya low capacity ukilinganisha na battery iliyokuwa recommended...
  16. L

    Ubaguzi wa rangi nchini Marekani na matumizi ya nguvu ya polisi dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika

    George Floyd Mauaji ya Mmarekani mwenye asili ya Afrika GeorgeFloyd yamesababisha wimbi kubwa la maandamanondani nan je ya Marekani, watu wa rangi tofautiwakiungaika pamoja kupigania haki zao. Kifo hichopia kimeibua maswali mengi kwa watu wa ngazimbalimbali, kuangalia kwa makini maisha yao...
  17. Ujenzi wa reli ya kasi uende sanjari na utoaji wa elimu ya matumizi yake sahihi

    Kujenga reli ya aina hii ni jambo geni sio tu geni kwetu Tanzania lakini hata kwa mataifa mengine. Hivyo namna bora ya kuitumia, kuitunza, na kuepuka madhara kama yatakuwepo kwa usahihi lazima ianze sasa kabla ujenzi haujakamikika Yabakie yale tu yanayosubiri hadi ianze kufanya kazi kama vile...
  18. Serikali ya Kenya yarekodi ongezeko kubwa la matumizi kwa "burudani/sherehe" za Ofisi ya Rais, lengo la ukusanyaji kodi 2019/20 lashindwa kufikiwa

    Ofisi za Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wa Rais William Ruto zilitumia KSh1.18 bilioni kwa sherehe na maadhimisho mbali mbali, katika miezi tisa iliyopita hadi Machi 2020; hii ikiwa ni ongezeko la Sh422 milioni kutoka kipindi kama hicho kilichopita mwaka jana. Kulingana na taarifa zilizotolewa...
  19. TAKUKURU yamshikilia mzabuni kwa matumizi ya madirisha yaliyo chini ya kiwango

    Ofisi ya TAKUKURU wilaya ya hanang' mkoani Manyara inamshikilia Patrick Joackimu Kauky@Gauensi Joackimu Kauki baada ya kubainika kuweka madirisha yaliyo chini ya kiwango katika ujenzi wa Ikulu ndogo unaoendelea wilayani Hanang'. Uchunguzi wa TAKUKURU ulibaini kuwa mzabui hyo alipewa zabuni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…