Drones ni game changer kwenye vita

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,256
6,893
Vita vya kisasa vinahusisha zaidi ya technologia ya Hali ya juu, yenye lengo la kupunguza gharama na kuongeza ufanisi.

Kwenye uwanja wa Vita drones zimekua zikifanya Mambo ambayo pengine kwa Vita ya zamani kwa Sasa kutokuwa nafasi.

Vita ya zamani watu walikua wanajificha kwenye mifereji na kwenye nyasi, au comouflage blankets but kwa Sasa kufanya hivyo Ni utopolo kutokana na ukweli kwamba drones na ndege Vita zinathermal sensors ambazo zinaweza detect joto mwili hivyo kuweza kumuona mtu au kifaa popote kilipo.

Kwa Sasa mbabe wa drones Ni Uturuki anayetumia drones zinazoitwa Byraktar Tb2.
IMG_20201111_174501.jpg

Sekeseke la drones hizi wameshazipata Syria na Sasa Armenia.

Uturuki alimtesa hata Russia kule Syria na hizo drones.

Hivi hapa A/Mashariki kuna nchi zinajua kucheza na hayo madude.?
Urusi alinyanua mikono ata Libya pia..alipata kichapo heavy..wakaamua tu yaishe
 
Sisi bado tunafanya mazoezi kwa kutambaa chini ya senyenge.
Yaani wenzetu kila kitu wanskirahisisha kupitia technology.

..halafu wanao-operate hizo drones unaweza kukuta ni watoto mayai, ila wana uwezo wa kukaa mbele ya monitor 12 to 16 hours with maximum concentration. kwa maneno mengine uwepo wa drones umebadilisha kwa namna ya kipekee maana ya kuwa askari.🤣
 
Hivi vidude vitakuja kufanya vita ziwe ngumu sana. Maana kwanza havionwi na rada za kawaida za ndege kwahiyo kuvifanya viweze kupenya ndani kabisa ya ngome za maadui na kuleta madhara makubwa. Na kadri teknolojia inavyoboreka ina maana vitazidi kuwa vidogo na bora zaidi kiasi kwamba itakua impossible kuvi detect na kujilinda dhidi yake. Huku tunakoenda itafika mahali nchi inakua na jeshi la drones tu ambalo linatumwa kwenda kushambulia na kurudi.
 
Mambo ya kuwa na misile launcher na vifaru vingi imepitwa na wakati...hicho kijamaa kimamaliza almost hifadhi yote ya silaa na kumaliza almost wajeda wote wa Armenia.
 
Bado 'man power' inahitajika kwenye majeshi mfano Kuna baadhi ya operation ya kijeshi ''man power' inahitajika mfano ulinzi wa amani, 'rescue operation' huwezi kutumia drone peke yake.

Sana sana hizo teknolojia zinarahisisha zaidi utendaji wa kazi.
 
Hapo ndipo utaona faida ya akili dhidi ya nguvu.

Mwenye nguvu analipuliwa na mwenye akili aliyekaa kwenye chumba maalum pembeni ana kikombe cha kahawa huku ameshikilia keyboard.

Badilisheni mfumo wa elimu tupate watu wa maana kama taifa na sio watu wanaoganga umasikini binafsi.
 
Vita vya kisasa vinahusisha zaidi ya technologia ya Hali ya juu, yenye lengo la kupunguza gharama na kuongeza ufanisi.

Kwenye uwanja wa Vita drones zimekua zikifanya Mambo ambayo pengine kwa Vita ya zamani kwa Sasa kutokuwa nafasi.

Vita ya zamani watu walikua wanajificha kwenye mifereji na kwenye nyasi, au comouflage blankets but kwa Sasa kufanya hivyo Ni utopolo kutokana na ukweli kwamba drones na ndege Vita zinathermal sensors ambazo zinaweza detect joto mwili hivyo kuweza kumuona mtu popote alipo.

Kwa Sasa mbabe wa drones Ni Uturuki anayetumia drones zinazoitwa Byraktar Tb2.
View attachment 1624279
Sekeseke la drones hizi wameshazipata Syria na Sasa Armenia.

Sisi tunayo ipi?
Sisi ni matajiri kama hatuna tuagize haraka haraka
 
Drones are not always practical katika uwanja wa vita. Ndege hizi zisizo na rubani zinatumia remote controlled mechanism kuweza kuziongoza. Ila technology ya air defense ilipofikia, ni rahisi sana kuingilia mawasiliano kati ya drone na kituo vha kuziongoza. Pia unaweza kujam mawasiliano kwa kutumia EMP (ELECTRO MAGNETIC PULSE) zikawa zinadondoka tu zikifika kwenye anga lako.

Mu Iran alishawahi kuingilia mawasiliano ya drone ya kimarekani na kuicontrol kutua katika nchi yake...akaiba technology akaunda zake.
 
Back
Top Bottom