matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusikia kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari na vyombo vya moto. Kimekufikia

    kidonge kinaitwa Govvi petrol pill Kimeshatumika sana duniani na kimeshafanyiwa tafiti nyingi na kuonekana kuwa kinafanya kazi. Uki youtube au ku google kidonge hiki utakikuta kinajulikana sana. Na sasa kuna watu hapa Tanzania wanakitumia. Utaweka petrol kidogo kwenye gari au chombo chako cha...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RC Malima apiga marufuku matumizi ya daraja dogo la Magufuli (Kigongo - Busisi)

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Adam Malima, amezuia magari kupita katika daraja la muda linalotumiwa na mkandarasi kupitishia vifaa vya kujengea daraja la John Pombe Magufuli, lililopo Kigongo-Busisi, akisema utaratibu huo umekuwa ukiwachelewesha mafundi kutekeleza ujenzi wa daraja hilo. Kuanzia...
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Harmonize anahamasisha matumizi ya madawa ya kulevya kwenye nyimbo zake. Serikali hamlioni hili?

    Harmonize ametoa wimbo unaohamasisha matumizi ya bange lakini cha ajabu mpaka sasa serikali bado haijamchukulia hatua zozote za kinidhamu. Huyu jamaa ulimbukeni na ushamba vinampeleka puta sana, hayo mambo ya mabangi yake angebaki nayo huko huko lakini si kuja kututangazia upumbavu wake.
  4. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Solar bora kwa ajili ya matumizi ya nyumbani

    Kutokana changamoto ya umeme kwa sasa, tujuzane solar bora kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ambayo inaweza kuwasha taa, friji na TV. Kwa hali ya sasa inatisha, umeme unakatika kuanzia asbh saa 12 unarudi saa 2 usiku, wiki nzima.
  5. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Gari lililotumiwa na watu wengi halifai kwa matumizi

    Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwa matumizi, maana kila utakapopita nalo, basi ni lazima tuu utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia. Wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu kwa mitindo...
  6. Anonytz

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Matumizi mabaya ya ofisi na maandalizi ya upigaji pesa za miradi ya maji-Mpanda

    MATENGENEZO YA GARI TOYOTA HILUX VIGOR DFP 6939 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mpanda (Eng Hussein Salum Nyemba) aliyepewa usukani na wizara ya Maji kuiongoza taasisi hiyo muhimu kwa ajili ya ustawi wa wananchi wa Mpanda kuanzia tarehe 31-08-2022. Wiki moja baada ya kuanza majukumu yake mapya...
  7. brokenagges

    JamiiForums Tanzania Ni mamlaka ipi yenye wajibu wa kusimamia matumizi salama ya barabara katikati ya jiji la Arusha?

    Hii nimeiona leo ktk jiji la arusha kwenye barabara ya jogoo house kwenda uhuru road,duka la vinywaji la MAINA HOLDINGS kwa namna wanavyopaki magari yao na hata magari ya wateja siyo salama kabisa kwa sababu barabara ni vinyu hairuhusu gari kupaki kwa kukatiza barabara kwani hii ni hatari kwa...
  8. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Hizi pesa za chaguzi kwa matumizi haya huwa zinatoka wapi?

    Habari za muda huu watu Nauliza hivi hizi hela za chaguzi huwa zinatoka wapi je Kuna wadhamini au? Mana ukiangalia pesa zinavotumika hupati majibu. Nakumbuka miaka kadhaa nikiwa chuo zile chaguzi za serikali ya chuo sijui rais wa chuo form ilikuwa Kati ya 100k to 200k nadhani alafu mtu anaanza...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (mwanamke)

    Habari habari naingia na kiu na haja ya moyo. Nahitaji mwanamke binti asiye na mambo mengi asiye na mtoto (asiye legend wa labor), nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala, si kwa ubaya awe mfanyakazi, mwanafunzi wa chuo, kamaliza form six, cheti, diploma, mhitimu. Japo ni kwa mapenzi ya kweli na...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Waziri Nape kwenye matumizi ya bando; Wataalam na watumiaji majibu yenu Muhimu

    Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi. Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda. SWALI: Wale...
  11. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Meatu: Madiwani wamtaka Waziri TAMISEMI afanye ukaguzi maalumu wa fedha za Halmashauri, wanusa harufu ya ubadhirifu mkubwa

    BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
  12. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Madiwani Meatu wamuangukia Waziri TAMISEMI, wataka ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za Halmashauri, wahofia uwepo ufujaji wa fedha za wananchi

    HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 na Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Meatu za Mwaka 2014 ambazo zinaelekeza mambo...
  13. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Matumizi yangu October

    Wote tuna misalaba tunayoshindwa kuitua
  14. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ufafanuzi matumizi ya Milioni 480 kutangaza matokeo ya Sensa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote. Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kutegemea maji ya surface (mito, maziwa na mabwawa) kwa matumizi ya kila siku ni hatari sana

    Ukweli mchungu, kama taifa inabidi tubadiri sera zetu na vipaumbele. Kugombea maji ya kutumia na viumbe Kama ndege ilihali tunaweza kuchimba deep well na kupata maji ya kutosha ni jambo lisilovumilika. Tumesikia mto Ruvu maji yamepungua kina na kupelekea hatari ya mamilioni ya wakazi wa jiji la...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Serikali inipe tenda ya kuwatengezea maji bahari kwa matumizi ya nyumbani

    Salama wandugu Sijui tenda nitapata vipi Mimi mzalendo. Mimi nitazalisha nawauzia DAWASA. Kama tatizo kama hili linawashinda wasomi wetu hawa, kuna haja gani kuendelea kuwasema tu hapa JF bila kuwasaidia na kuisaidia nchi kama mzalendo namba 1. Ni ndani ya wiki mbili huduma inaanza...
  17. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mafuta ya alizeti hayana mwisho wa matumizi?

    Kuna mtu kanunua mafuta ya alizeti, akauliza 'expire date' akaambiwa hayana 'expire date'. Kwamba ni kama asali. Je, kweli? Kwani baadhi ya 'package' za bidhaa hiyo haionesho mwisho wa matumizi. Na nyingine inaonesha lakini tayari imeshapita japo bado iko sokoni! Naomba kwa anayejua anisaidie!
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujerumani mbioni kuhalalisha matumizi ya bangi kwa starehe

    Hatua hiyo inaelekea kukamilika kama iivyoahidiwa na Serikali ya Kansela, Chancellor Olaf Scholz na ikiwa itakamilika itakuwa Nchi ya pili katika Umoja wa Ulaya kuhalalisha matumizi hayo baada ya Malta. Lengo linatajwa kuwa ni kwa ajili ya burudani kwa watu wazima ambapo matumizi...
  19. GuDume

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya IDs za Wakongwe wa JF, wanasema Gudume yupo Twitter

    Wanasema "hata akienda juu Kapungu hafikii kwa Mungu" ndiyo. Sisi wazee wa zamani tumekutana na mengi hadi kufika umri huu...kutekwa kisiasa,kiuchumi na kimapenzi pia. Lakini tumeweza ku survive katika jamii yenye kujawa watu na viumbe visivyo vya kawaida. Hivyo wanaotumia IDs zetu bado...
  20. OLS

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya SMS na Simu yanapungua, wamejua na wanaongeza bei za data

    Kwenye mawasiliano mtu anaweza kutumia SMS au simu za kawaida kuwasiliana. Hata hivyo uwepo wa internet unaonesha watu wengi wanapiga simu kwa namna nyingine tofauti na kutumia ujumbe kwa njia nyingine zaidi ya SMS. Uwepo wa mitandao kama WhatsApp, Telegram etc unaonesha watu wanaweza kupigiana...
Back
Top Bottom