matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. second9

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu matukio ya Boda Boda!

    Part 1: Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu. Jamaa nilimuagiza apeleke dawa sehemu ambayo najua kwa gari huwa natumia 1hr na ikiwa public hata masaa 3...
  2. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Picha X-rays kali za kutisha ambazo ni ngumu kuamini

    Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea. 1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya dashboard. Ajali ilipotokea, mguu wake ulisukumwa kwenda nyuma vibaya na hii ni picha ya X-ray...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO.

    UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO. Matukio ya kushangaza kwenye mahusiano sio ya kusubiri bali karibu kila siku tunaamka na matukio yenye kushangaza kama sio kujinyonga basi ya mmoja kumuua mwingine au ubakaji wa watoto. Nimekuwa...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nilisahau kupost hii au Mods wameondoa? Video matukio ya kutisha Morocco

    SIJAJUA KAMA NLIPOST HALAFU KUNA MODERATOR HAKUPENDA AU NILISAHAU KUPOST. ILA NITASHANGAA COZ HABARI IPO NA VIDEO IPO. MASLAHI YA NANI YAMEGUSWA HAPA? https://africabriefing.com/shocking-abuse-of-black-migrants-in-morocco/
  5. M

    JamiiForums Tanzania Summary ya Matukio na Maoni Yangu Kuhusu Derby ya Kariakoo

    Hii ni summary ya matukio yaliyojitokeza kuhusu Derby ya Kariakoo na Maoni yangu. Nagusia mambo muhimu tu, sitaorodhesha maoni sijui ya wachambuzi maana wengi wapo na bias: Inatangazwa tarehe ya Derby ya Kariakoo kama itachezwa tarehe 8 March Maandalizi yamepamba moto huku kila pande...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

    Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025 Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025 Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea kwenye Uhandikishaji wa Wapiga kura ni vizuri Chadema kurekodi matukio yote na kuyarusha kwa Wananchi

    Kuna taarifa za Wanaojiandikisha kuambiwa kupeleka kadi zao kwa Wajumbe wa CCM. Huu ni uzandiki uliopitiliza. Kuna taarifa za watu wasio raia kujiandikisha kwenye daftari la Wapiga kura. Kuna taarifa za Watu wa CCM kuandikisha Watoto wadogo ambao hawajstimiza miaka 18 kama mkakati wao wa kuiba...
  8. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Wiki kabla ya msiba (10-16 Machi 2021) wa Magufuli yanafikirisha

    1. Ziara ya PM Njombe kukatishwa na Kauli Tata kumhusu JPM iliyotolewa Masjid (kuwa Mpendwa wetu yupo kazini anachapa kazi). 2. Ndege kadhaa za kijeshi kuonekana sana angani uelekeo Nairobi, 3. Kauli za kutisha wananchi wanaotaka kujua Hali ya mpendwa wao (Kauli ya Bashungwa), **Kila nikikumbuka...
  9. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinasababisha wanaume kuwafanyia wanawake matukio ya kikatili?

    Habarini wadau, Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili. Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio. Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

    Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kati ya Januari - Februari 2025 simu 169 zimepigwa kuripoti matukio ya Ukatili kwa Watoto Nchini

    TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI Dar es Salaam, Machi 11, 2025. Ndugu waandishi wa habari Tarehe 26 Februari 2025 ziliripotiwa taarifa kupitia vyombo vya habari za kufariki kwa...
  12. Faana

    JamiiForums Tanzania Matukio makubwa muhimu angani mwaka huu 2025

    Yafuatayo yatakuwa matukio ya kiastronomia mwaka huu 2025
  13. Xiao qui shui

    JamiiForums Tanzania Mbona matukio ya kujiua yamekuwa mengi hivi?

    Habari wakuu Nasikitika sana kuona matukio ya watu wanajikuta hivi Kwamfano Kuna huyu jamaa aliyekuja kwasababu ya madeni ya mkewe eti mkewe ana Madeni ya vicobaaa duuuh aiseee Hii ni changamotoo wakuuu Karibuni kwa maoni
  14. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Siku hizi matukio yananipita sana

    Kwema wandugu? Yani unakuta kuna tukio la kitaifa nakuja kuona matokeo tu mitandaoni. Juzi palikuwa na suala la tuzo za wachekeshaji. Nakuja kuona tu watu wanalalamika yule jamaa hajustahili. Mara yule jamaa aliupiga mwingi (yule wa kuachwa) ndio katika kupita huko X nimakutana na clip. Hapa...
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Kutisha na Habari za Ajabu na za Kushangaza Kuhusu Biblia

    Biblia Imenusurika Mara Nyingi Kuangamizwa – Wakati wa utawala wa Diocletian watu walikatazwa kutumia Biblia. Nakala zake zilichomwa, na waliomiliki waliuawa. Licha ya mateso hayo, Biblia ilizidi kuenea. Biblia Imekuwa Kitabu Kinachouzwa Sana Duniani – Licha ya kupingwa sana, Biblia inashikilia...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wengi Watanzania asili ya Kiarabu na Wahindi wana Hela sana Dar, lakini hawatrendi na matukio kama wale wa Kitanzania na Afrika

    Hili jambo linanifikirisha sana. Sababu hasa ni nini. Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa. Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi. Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Matukio ambayo nikikumbuka namshukuru Mungu naendelea kua hai mpaka sasa

    Dah Leo tumetoka kumzika rafiki yangu kipenzi Bado mdogo tu na alikua na potential kubwa tu ya kufanya mengi maishani, nimekaa nimewaza Sana nimekumbuka baadhi ya matukio ambayo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu Kwa ulinzi wake mpaka muda huu, ntaleta kisa kimoja kimoja inform of episodes...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Kushangaza Duniani Yanayodaiwa Kusababishwa na Uchawi

    Hebu leo twende huku na kule duniani tuangalie matukio yaliyotokea miaka ya nyuma, yanayoaminika kuwa yalisababishwa na uchawi au nguvu za giza. Baadaye ntakueleza njia za kuwashinda wachawi na mashetani kama umekuwa ukiwaogopa. Uingereza: Poltergeist ni tukio lililotokea Uingereza. Tukio hili...
  19. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Matukio ya ajabu kwa madereva wa malori

    Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori. Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila dereva na si madereva tu mpaka mafundi,yaani kama gari yake ina shida mafundi wanastop kutengeneza...
  20. Manyanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia ambazo mwanamke asiependeka huwa anazitumia kupata mwanaume mwema sana kisha anampiga matukio

    Kila Mwanamke ambaye huwa anampiga matukio mwanaume mwema sana kwenye jamii huwa anazitumia njia hizi zifuatazo, vilevile mwanamke mwema sana kwenye jamii huwa anajikuta kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hapendeki. ZIFUATAZO NI NJIA AMBAZO MWANAMKE AMBAYE HAPENDEKI HUWA ANAZITUMIA KUMPATA...
Back
Top Bottom