Kuna taarifa za Wanaojiandikisha kuambiwa kupeleka kadi zao kwa Wajumbe wa CCM. Huu ni uzandiki uliopitiliza.
Kuna taarifa za watu wasio raia kujiandikisha kwenye daftari la Wapiga kura.
Kuna taarifa za Watu wa CCM kuandikisha Watoto wadogo ambao hawajstimiza miaka 18 kama mkakati wao wa kuiba...
1. Ziara ya PM Njombe kukatishwa na Kauli Tata kumhusu JPM iliyotolewa Masjid (kuwa Mpendwa wetu yupo kazini anachapa kazi).
2. Ndege kadhaa za kijeshi kuonekana sana angani uelekeo Nairobi,
3. Kauli za kutisha wananchi wanaotaka kujua Hali ya mpendwa wao (Kauli ya Bashungwa),
**Kila nikikumbuka...
Habarini wadau,
Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili.
Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio.
Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii...
Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI
Dar es Salaam, Machi 11, 2025.
Ndugu waandishi wa habari
Tarehe 26 Februari 2025 ziliripotiwa taarifa kupitia vyombo vya habari za kufariki kwa...
Habari wakuu
Nasikitika sana kuona matukio ya watu wanajikuta hivi
Kwamfano Kuna huyu jamaa aliyekuja kwasababu ya madeni ya mkewe eti mkewe ana Madeni ya vicobaaa duuuh aiseee
Hii ni changamotoo wakuuu
Karibuni kwa maoni
Kwema wandugu?
Yani unakuta kuna tukio la kitaifa nakuja kuona matokeo tu mitandaoni. Juzi palikuwa na suala la tuzo za wachekeshaji. Nakuja kuona tu watu wanalalamika yule jamaa hajustahili. Mara yule jamaa aliupiga mwingi (yule wa kuachwa) ndio katika kupita huko X nimakutana na clip.
Hapa...
Biblia Imenusurika Mara Nyingi Kuangamizwa – Wakati wa utawala wa Diocletian watu walikatazwa kutumia Biblia. Nakala zake zilichomwa, na waliomiliki waliuawa. Licha ya mateso hayo, Biblia ilizidi kuenea.
Biblia Imekuwa Kitabu Kinachouzwa Sana Duniani – Licha ya kupingwa sana, Biblia inashikilia...
Hili jambo linanifikirisha sana.
Sababu hasa ni nini.
Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa.
Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi.
Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na...
Dah Leo tumetoka kumzika rafiki yangu kipenzi Bado mdogo tu na alikua na potential kubwa tu ya kufanya mengi maishani, nimekaa nimewaza Sana nimekumbuka baadhi ya matukio ambayo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu Kwa ulinzi wake mpaka muda huu, ntaleta kisa kimoja kimoja inform of episodes...
Hebu leo twende huku na kule duniani tuangalie matukio yaliyotokea miaka ya nyuma, yanayoaminika kuwa yalisababishwa na uchawi au nguvu za giza. Baadaye ntakueleza njia za kuwashinda wachawi na mashetani kama umekuwa ukiwaogopa.
Uingereza:
Poltergeist ni tukio lililotokea Uingereza. Tukio hili...
Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori.
Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila dereva na si madereva tu mpaka mafundi,yaani kama gari yake ina shida mafundi wanastop kutengeneza...
Kila Mwanamke ambaye huwa anampiga matukio mwanaume mwema sana kwenye jamii huwa anazitumia njia hizi zifuatazo, vilevile mwanamke mwema sana kwenye jamii huwa anajikuta kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hapendeki.
ZIFUATAZO NI NJIA AMBAZO MWANAMKE AMBAYE HAPENDEKI HUWA ANAZITUMIA KUMPATA...
Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania...
Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja...
Wakwanza mimi kunyoosha mikono SSH kapiga pasi ndefu sana, kapiga butua kali sana, kusema ukweli umepigwa mwingi wa ali ya juu,
We have been caught up by surprise haieleziki hasira na kicheko vyote kuchukua kaweka waaah, taamu taaamu hahaaa hasira zenye kicheko ndio hii amazing SSH for...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matukio yanayoripotiwa Polisi kuhusu utekaji nchini mengi yanabainika kuwa ni ya uongo.
"Kuna matukio yanatangazwa kwenye mitandao na vyombo vya Habari mtu katekwa, nataka nikwambie katika matukio yote yaliyoripotiwa polisi kwa mfano, zaidi ya...
Matukio mengi yametokea mwaka huu 2024, Je kwa upande wako ni matukio gani unadhani ni makubwa na kwa namna moja ama nyingine yameacha alama au kumbukumbu fulani kwako?
Je, Matukio gani makubwa utayakumbuka katika ulimwengu wa kimichezo kwa mwaka 2024?
Kwa upande wangu, ni mengi yametokea, Ila haya nadhani yamechukua nafasi kubwa
1.Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi kuu mara ya 30 na mara ya tatu mfululizo
2.Yanga kufuzu robo fainali CAFCL
3.Goli la Aziz ki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.