matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Afande akirekodi matukio kwenye Kampeni za ACT Wazalendo, Mkutano wa Zitto Kabwe

    Wakuu Katika tukio la kipekee Afisa wa jeshi la Polisi alijikuta akirekodi sehemu ya mkutano wa kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa chama chake kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, katika kijiji cha Nyankwi kata ya Busunzu, jimbo la...
  2. iamwangdamin

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni huzuni matukio ya kuaga miili Mnazi Mmoja, asanteni watanzania na viongozi wote . Poleni wafiwa .

    Poleni watanzania wenzangu , ajali iliyotokea kata ya kariakoo ndani ya wilaya ya ilala inayohusisha jenho la biashara kuporomoka na kusababisha janga kubwa ambalo limegusa mioyo ya watu nakuacha simanzi kubwa , ajali hii ni funzo kubwa na haiwezi kusahaulika. Binafsi, nilifika kuwaaga ndugu...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chadema uitishe kikao cha dharura, nchi imekuwa na matukio mengi sana mpaka tunashindwa kufanya siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa

    Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje. Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na...
  4. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Teknolojia za Kisasa katika uokoaji: Funzo kutoka Matukio Halisi

    Utangulizi Majanga kama kuanguka kwa majengo, matetemeko ya ardhi, na moto yameendelea kuhatarisha maisha ya watu duniani kote. Katika nyakati kama hizi, uwepo wa teknolojia za kisasa unaweza kuwa tofauti kati ya kuokoa maisha na kupoteza maisha. Hata hivyo, hali inasikitisha kuona baadhi ya...
  5. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

    Wakuu… Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Sheria iliyopitishwa na bunge inayowaruhusu maafisa usalama kutenda jinai na wasihojiwe ndiyo inatuletea matukio haya ya watu kuuawa na kutekwa.

    Very painful Karne ya ishirini na moja unaruhusu binadamu mwenziyo kuuawa na kuteswa kwa kisingizio Cha kutekeleza majukumu. Nani asiyejua Kuna bahati mbaya na ndiyo maana kwenye makosa ya mauaji yapo ya kukusudia na Yale ya kutokusudia. Sasa inakuwaje bunge letu, Baraza la mawaziri pamoja na...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Utekaji yanaumiza na kutupa hofu Wananchi hasa tunapoona Wahusika hawapatikani, Serikali ifanye maamuzi magumu

    Nimekaa nikatafakari kuhusu matukio ya utekaji yanayoendelea Nchini, sisi Wananchi tumekuwa tukiumia kadiri siku zinavyoenda, matukio ya utekaji yanaendelea, imani yetu kwa vyombo vya Ulinzi inaanza kupotea. Mawazo hayo yamekuja baada ya kuona tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Jaribio la Utekaji wa Deogratius Tarimo: LHRC yahimiza uchunguzi wa haraka, jamii kutimiza wajibu wa kulinda uhai kila mtu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani Pwani, tukio lililotokea nje ya hoteli ya Rovvenpec Resort, Kiluvya Madukani, Wilaya ya Ubungo, Dar...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Madiwani wasusia Baraza kisa matukio ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Mtwara

    Novemba 8, 2024, madiwani 10 wa vyama vya upinzani wa Halmashauri ya Mtwara wamesusia kikao cha Baraza la Madiwani. Hatua hiyo inatokana na kile wanachoeleza kuwa kutokubaliana na maamuzi ya msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri hiyo, ambaye amewaengua baadhi ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tuuchukie ufisadi kama tunavyochukia matukio mengine. Mafisadi hawajawahi kuwa Marafiki wa Tanzania

    Hisia ,chuki na mihemko vikitawala mambo mengi sana huwa hayaendi sawa. Ripoti za CAG zinatolewa, madudu mengi yanaonekana, pesa nyingi zinaliwa na kupotea. Kwa sasa hali ilivyo utapiga mtoto wako au ukifanya tukio ambalo ndilo linavuta hisia za wajinga wengi na welevu wachache hapo haki...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tutenganishe matukio ya kimichezo, burudana na mambo ya siasa hasa kwenye kutoa tuzo

    Waandaaji wa matamasha ya burudani na michezo mnaboa Hasa katika kutoa tuzo Mnaalika wanasiasa wasiokuwa na uelewa na masuala ya burudani ndo watoe tuzo Hawawezi hata kutaja majina ya wasanii mfano Chino wana man, s2kizzy, hip hop, rnb n.k Wanaenda kwenye majukwaa kujipatia aibu ya hiari Hivi...
  12. Fallback

    JamiiForums Tanzania Matukio ya kukumbukwa mwaka 2004

    Huu uzi unahusu matukio yoyote yaliyotokea mwaka 2004, basi na wewe mwanajukwaa andika hapa tukio lolote lililotokea mwaka 2004. Mimi nitaanza na tukio la shindano la kutafuta vipaji vya waimbaji mwaka 2004 lililotambulika km East Afrika Coca Cola Pop Stars Talent Search Competition, ili ni...
  13. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Habari, matukio na yanayojiri duniani leo hii

    Tupia hapa, kwa mistari michache na ikiwezekana link ya kwenye habari kamili kwa habari, matukio na yanayojiri duniani leo hii.
  14. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Maoni Juu ya Juhudi za Serikali katika Matukio ya kupotea kwa Watoto

    Tukio la kupotea kwa mtoto Joel Johannes Mariki linaibua maswali kuhusu uwezo wa serikali kushughulikia matukio ya dharura kama haya. Pamoja na jitihada zilizofanyika, ni wazi kuwa kulikuwa na changamoto katika utafutaji, hasa kutokana na ukosefu wa matumizi ya teknolojia za kisasa na rasilimali...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila avunja ukimya Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Watu na Maandamano Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza katika ziara yake Temeke ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hapo jana Oktoba 1, amevunja ukimya kuhusu matukio ya utekwaji wa watu na maandamano yaliyofanyika na CHADEMA Septemba 23 katika jiji hilo...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kongamano la kitaifa juu ya matukio ya kupotea kwa raia lilioandaliwa na TLS limehairishwa

    Nimekutana na taarifa mtandao wa X juu ya kuahirishwa kwa kongamano la kitaifa juu matukio ya kupotea kwa raia lilioandaliwa na TLS ambalo lilipangwa kufanyika katika ukumbi wa Ubungo plaza, je taarifa hiyo ina ukweli wowote?
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Morogoro: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Morogoro HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO Morogoro ni mji uliopo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Pwani: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Pwani Historia ya mkoa wa Pwani Kabla ya uhuru mkoa wa Pwani ulikuwa...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Bila kuweka ushabiki, unadhani ni matukio gani yanayofanya "uhisi" kuwa hakuna utawala wa sheria?

    Hili la kudai kuwa Tanzania HAKUNA utawala wa sheria naona linazidi kusemwa kila siku. Sasa hebu tuweke hata kwa "hisia" Tu list ya matukio unaona yanathibitisha kukosekana kwa utawala wa sheria Huko Tanzania. Naanza na mfano huu: 1. Kunyimwa dhamana kwa makosa yanayodhaminika.....rejea kesi ya...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Tangu makonda arudi kwenye nafasi za kisiasa matukio ya utekaji na unyang'anyi yameongezeka! Je Kuna nini hapo?

    Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
Back
Top Bottom