matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. simplemind

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa matukio Dec 9

    Hapa chini kuna uchambuzi kamili wa matukio (scenario analysis) kuhusu kile kinachoweza kutokea kwenye maandamano ya Desemba 9 nchini Tanzania. Nimeugawa katika: HALI NZURI (Best Case) HALI MBAYA (Worst Case) HALI INAYOWEZA KUTOKEA ZAIDI (Most Likely) 1. HALI NZURI (BEST CASE SCENARIO)...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC: Hatukuripoti matukio ya Oktoba 29, wachochezi walikuwa wakihamasisha vijana kuja kuchoma vituo vya Shirika na hata kutuua sisi

    Anayaandika haya mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania TBC kwenye ukurasa wake wa Facebook; Ndugu zangu Watanzania, kwa wale wanaopinga mazungumzo au maridhiano mnajua mbadala wake? Hebu tuweke pembeni mihemuko ya kibinadamu. Tujadili kama ndugu. Ni kweli, sote tumeishakoseana. Hivi...
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Taswira ya Siasa Tanzania chini ya kivuli cha matukio yasiyo na Uwajibikaji

    Miaka ya karibuni, Siasa za Tanzania zimekuwa zikikumbwa na mabadiliko makubwa ya kimtazamo kutokana na mfululizo wa matukio ambayo hayakupata uwajibikaji wa wazi. Tukio moja baada ya jingine limekuwa likiacha maswali mazito kuhusu uthabiti wa taasisi, usalama wa raia na mustakabali wa...
  4. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia ya Kurejesha Amani na Utulivu Baada ya Matukio ya tarehe 29–31 Oktoba 2025

    Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KKKT: Tumehuzunishwa na kusikitishwa na matukio yalitokea Oktoba 29 yaliyokosa UTU, HESHIMA na TAMANI ya binadamu

    Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake. Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu Chadema kujadili matukio ya Oktoba 29

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya maeneo nchini. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amebainisha hayo leo Jumanne...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  9. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Polepole na wengine yananikumbusha A Grain of Wheat, novel iliyoandikwa na Ngũgĩ wa Thiong’o,

    Ni suala la muda tu mbegu itamea na tutavuna tusichoke
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Semu: Tutaunda tume ya kuchunguza matukio ya utekekaji

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini . Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha

    Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Matukio 3 yaliyofanywa na Samia, yanayoidhalilisha taasisi ya urais ya Tanzania

    1. Kukumbatiwa kama Mwajuma wa Tandale na mhuni Wicknell Chivayo ndani ya ikulu ya Tanzania. This is abomination. 2. Kunyweshwa kinywaji kilichonywewa (na kuachwa) na Philipe Nyusi kama ishara ya kufurahia hafla. That was extremely damning. 3. Tulianza kuziona dalili za mama kupenda...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali katika videos

    Ni matukio yanayotokea around the clock 24/7 Ya kufurahisha Ya kuhuzunisha Ya kutatanisha Ya kukatisha tamaa Ya kuumiza Ya kushangaza nk
  14. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  15. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Matukio ya vijana kujidhalilisha ,kuuza utu wao yanazidi kushamiri.

    Habari Jamii Africa. Mimi nipo Wilaya ya Rufiji,tarafa ya ikwiriri,sehemu ambapo ni headquarter ya mheshimiwa Mohamedi Omary Mchengerwa, Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) Sasa Jana nikiwa hapa Ikwiriri maeneo ya Kaunta,Ilipo Radio ya Rufiji FM limetokea jambo la...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tazama matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu 04 - 10 Agosti 2025

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆 Tarehe 04 - 10 Agosti, 2025
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
  18. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Top 5 Mikoa inayoongoza kwa Matukio ya kutisha Tanzania

    Wewe ngoja nikwambie kitu leo... kuna baadhi ya mikoa Tanzania imeamua kufanya "matukio" kama ni michezo ya ligi kuu, na kila wiki kuna headline mpya. Ila sasa wiki hii ARUSHA imejifanya kama imepata jeuri ya kuingia kwenye ligi ya "mikoa ya matukio balaa"... 😂 Sasa nasoma habari eti arusha...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkurugenzi wa Mbarali, Steven Katemba azuiwa kuchomekea maneno ya Kisiasa msibani kwa Padre Vitalis Bamuhiga

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Steven Katemba, alipewa heshima ya kutoa salamu za rambirambi wakati wa ibada ya mazishi ya Padre Vitalis Bamuhiga wa Jimbo Katoliki la Kayanga. Hata hivyo, baada ya kutoa salamu, alijaribu kuzungumzia masuala ya kisiasa, kinyume na msimamo wa...
  20. Dream big

    JamiiForums Tanzania Raha ya uzee ni ndoto za matukio mabaya na mazuri ya ujanani

    Fikiria hii picha... Miaka 40 kutoka sasa, umezungukwa na wajukuu, kichwa kimejaa mvi. Wanakuangalia kwa macho ya kizazi kipya wakiwa na smartphones zao, wakidhani hujawahi kuwa kijana — hujawahi kusumbua mitandao wala kuishi maisha ya balaa. Sasa tafakari kama babu yako angekuwa TikTok...
Back
Top Bottom