matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Matukio katika Picha: Mkutano Mkuu Maalum wa CCM - Aprili 30, 2021

    Matukio mbalimbali katika picha kutoka Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, DODOMA
  2. April26

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii siku 26/4 na matukio yake ndani ya maisha yangu

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...... Kazi iendelee. Leo nahitaji ku-share matukio mhimu katika maisha yangu hasa yaliyo tokea tarehe 26/4 (April26) kwa vipindi tofauti tofauti. Tukio la kwanza hii ndiyo tarehe niliyo letwa duniani (birth day) lakini nje na...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Wanawake kuuawa na wenza wao pamoja na vitendo vya kujichukulia sheria mkononi yanazidi kuongezeka

    Ripoti ya Haki za Binadamu inaonyesha kuwa matukio ya mauaji ya wanawake kuuliwa na wenzi wao kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa wivu wa mapenzi yaliongezeka zaidi mwaka 2020 ikililinganishwa na mwaka 2019. Kulingana na ripoti hiyo iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa...
Back
Top Bottom