Summary ya Matukio na Maoni Yangu Kuhusu Derby ya Kariakoo

Mkoba Jnr

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
66
Reaction score
133
Hii ni summary ya matukio yaliyojitokeza kuhusu Derby ya Kariakoo na Maoni yangu. Nagusia mambo muhimu tu, sitaorodhesha maoni sijui ya wachambuzi maana wengi wapo na bias:
  • Inatangazwa tarehe ya Derby ya Kariakoo kama itachezwa tarehe 8 March
  • Maandalizi yamepamba moto huku kila pande ikijinasibu kumkanda mwenzake.
  • Zinaanza tetesi kuwa Kibu na Mpanzu hawatakuwepo huku wakala wa Mpanzu akidai kumaliziwa kwa deni lake kabla ya siku ya Ijumaa (Wadau wa michezo wanasema minding game lakini kiuhalisia kuna majeruhi halisi wakiwemo Kipa na beki tegemeo)
  • Simba wakiwa na escort ya polisi na msafara wa mabasi matatu, wanaenda uwanjani wakitaka kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea kwenye mchezo huo.
  • Wanaibuka mabaunsa wa kutengeneza wanawauzia Simba wasiingie uwanjani
  • Saa saba usiku Simba wanatoa taarifa kwa umma hawatashiriki mechi kwa kuwa wamezuiwa mazoezi ya mwisho (Hakuna Kanuni inayoruhusu timu ngeni kususia mechi, hapa hata wenyewe ukiwauliza wanakujibu wamezoea kutuchezea sasa tumeamua ubaya ubwela)
  • Asubuhi Yanga wanasema watapeleka timu uwanjani kwani wanajua mechi ni hiyo siku
  • Saa nee Bodi ya ligi inasema mchezo huo upo pale pale hivyo mashabiki muendelee kujiandaa kwenda uwanjani (Binafsi nilikua njiani na basi la asubuhi natokea Iringa kwenda kuangalia Derby, baada ya kuona taarifa ya Simba ile asubuhi ikabidi nishuke Morogoro saa mbili nifanye utaratibu wa kurudi Iringa. Nikapata gari nafika Mikumi kama saa nne naona taarifa ya bodi inasema game ipo. Ikabidi nidrop Mikumi nichukue usafur kurudi tena Dar kuangalia Game. Nafika Chalinze nasikia tena Bodi imeghairisha mchezo huo. Damn!)
  • Saa nane Bodi ya ligi inatangaza kuahirishwa kwa mchezo huo
  • Saa 11 Yanga inapelekea timu uwanjani
  • Yanga wanatangaza hawatashiriki Derby ingine tena msimu huu
  • Yanga wanatuma barua kwa bodi ya ligi kuomba wapewe point tatu
  • Yanga wanatuma barua kwa bodi ya ligi kuomba warudishiwe gharama zao
  • Yanga wanafanya maamuzi kwenda CAS
  • Rais wa TFF ansema wanachofanya Yanga ni utoto
  • Manara amjibu Rais wa TFF aache dharau
  • Mwenyekiti wa bodi ya ligi anaom,ba busara itumike kwenye hilo (Sio kanuni tena bali hekima na busara zitumike)
  • Wazee wa Yanga wanatangaza kutoshiriki kwa timu kwenye Derby ingine.
MAONI YANGU

  • Kanuni zipitiwe upya, kipengele cha kushushwa daraja kwa timu isipotokea uwanjani kiondolewe, bali kuwe na kipengele cha kuipa pint tatu na magoli matatu timu iliyofika uwanjani (Kipengele hiki ndio kinawapa shidaa bodi ya ligi kwenye kufanya maamuzi)
  • Bodi ijiuzulu, tarehe ya derby itangazwe upya na bodi nyngine mpya
  • Timu zote zilizop[o ligi kuu zipewe hadhi sawa ndio tutakuwa na ligi yenye ushindani, Marefa na waamuzi wanaofanya maamuzi ya tutat kupendelea timu za Kariakoo wachukuliwe hatua kali ikiwenmo kutojihusisha na mpira milele
  • Hakuna kudekeza timu( Ikumbukwe Simba ilishawahi kukataa udhamini wenza wa GSM kwenye ligi yetu wakagoma. Ikabidi GSM ajitoe na kuna baadhi ya timu zikaomba udhamini wa GSM, Simba wanalalamika GSMS kudhamini timu nyingi. Na sasa kagom kucheza Derby Bodi imebeba mzigo wa Simba. Hii hali ikiendelea ipo siku watakataa kucheza na timu Fulani, watakataaa jucheza uwanja Fulani, watakataa refa na mwishowe watakuja kukataa hata baadhi ya wachezaji wa timu pinzani wasiwepo kwenye mechi za Simba. Hii yote ni matokeo ya kudekezwa.
  • Mwisho TUKATAE UHUNI WOWOTE UNAOFANYIKA KWENYE LIGI YETU IWE UNANUFAIKA NAO AU HUNUFAIKI KWA SABABU IPO SIKU ITAKUREJEA (KARMA IS A BITCH)
 
Nitajibu hii hoja yako uliyosema mabaunsa walikuwa wa kutengenezwa
  1. Hapa chini nakuwekea picha na link ya video ya baunsa wa Yanga anayejulikana hapa jijini akielezea kwa nini waliwazuia Simba kuingia
  2. Hapa chini nakuwekea post ya mwanasheria wa Yanga ndugu Simon naye akielezea kwa nini waliwazuia Simba kuingia
1742553588498.png

1742553674968.png

Links:
1.
View: https://www.youtube.com/watch?v=mKeohYXbTN0&t=10s

2. Mwanasheria wa Yanga asema waliinyima Simba haki ya kufanya mazoezi kwa kuwa nao walinyimwa mechi ya kwanza
 
Bodi ya Ligi ilisubiri kamati ya masaa 72 kuleta taarifa ya derby ambayo haikuchezwa hiyo tarehe 08-03-2025, kikikiki, hii inaitwa kununua muda, 'buying time'
Swali fikirishi hivi matapeli wakoje, (crooks)

Hitimisho bodi ya Ligi ya Tanzania wapo kama sanamu, (figure heads),
 
Muogope sana Mtu anayeandika sana habari za
1.Simba na yanga.
2. Bodi ya Ligi.
3. TFF.
4. Karia.
5. Mchezo kuhairishwa.
6. CAS.
7. Hanse Raphael kichaa.
8. Uwanja wa Taifa.
9. Kanuni hekima na Busara.
10. Manara.

MUOGOPE MTU HUYO KAMA UKOMA
 
Pembe la Ng'ombe halifichiki, Utopolo wewe
Hii ni summary ya matukio yaliyojitokeza kuhusu Derby ya Kariakoo na Maoni yangu. Nagusia mambo muhimu tu, sitaorodhesha maoni sijui ya wachambuzi maana wengi wapo na bias:
  • Inatangazwa tarehe ya Derby ya Kariakoo kama itachezwa tarehe 8 March
  • Maandalizi yamepamba moto huku kila pande ikijinasibu kumkanda mwenzake.
  • Zinaanza tetesi kuwa Kibu na Mpanzu hawatakuwepo huku wakala wa Mpanzu akidai kumaliziwa kwa deni lake kabla ya siku ya Ijumaa (Wadau wa michezo wanasema minding game lakini kiuhalisia kuna majeruhi halisi wakiwemo Kipa na beki tegemeo)
  • Simba wakiwa na escort ya polisi na msafara wa mabasi matatu, wanaenda uwanjani wakitaka kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea kwenye mchezo huo.
  • Wanaibuka mabaunsa wa kutengeneza wanawauzia Simba wasiingie uwanjani
  • Saa saba usiku Simba wanatoa taarifa kwa umma hawatashiriki mechi kwa kuwa wamezuiwa mazoezi ya mwisho (Hakuna Kanuni inayoruhusu timu ngeni kususia mechi, hapa hata wenyewe ukiwauliza wanakujibu wamezoea kutuchezea sasa tumeamua ubaya ubwela)
  • Asubuhi Yanga wanasema watapeleka timu uwanjani kwani wanajua mechi ni hiyo siku
  • Saa nee Bodi ya ligi inasema mchezo huo upo pale pale hivyo mashabiki muendelee kujiandaa kwenda uwanjani (Binafsi nilikua njiani na basi la asubuhi natokea Iringa kwenda kuangalia Derby, baada ya kuona taarifa ya Simba ile asubuhi ikabidi nishuke Morogoro saa mbili nifanye utaratibu wa kurudi Iringa. Nikapata gari nafika Mikumi kama saa nne naona taarifa ya bodi inasema game ipo. Ikabidi nidrop Mikumi nichukue usafur kurudi tena Dar kuangalia Game. Nafika Chalinze nasikia tena Bodi imeghairisha mchezo huo. Damn!)
  • Saa nane Bodi ya ligi inatangaza kuahirishwa kwa mchezo huo
  • Saa 11 Yanga inapelekea timu uwanjani
  • Yanga wanatangaza hawatashiriki Derby ingine tena msimu huu
  • Yanga wanatuma barua kwa bodi ya ligi kuomba wapewe point tatu
  • Yanga wanatuma barua kwa bodi ya ligi kuomba warudishiwe gharama zao
  • Yanga wanafanya maamuzi kwenda CAS
  • Rais wa TFF ansema wanachofanya Yanga ni utoto
  • Manara amjibu Rais wa TFF aache dharau
  • Mwenyekiti wa bodi ya ligi anaom,ba busara itumike kwenye hilo (Sio kanuni tena bali hekima na busara zitumike)
  • Wazee wa Yanga wanatangaza kutoshiriki kwa timu kwenye Derby ingine.
MAONI YANGU

  • Kanuni zipitiwe upya, kipengele cha kushushwa daraja kwa timu isipotokea uwanjani kiondolewe, bali kuwe na kipengele cha kuipa pint tatu na magoli matatu timu iliyofika uwanjani (Kipengele hiki ndio kinawapa shidaa bodi ya ligi kwenye kufanya maamuzi)
  • Bodi ijiuzulu, tarehe ya derby itangazwe upya na bodi nyngine mpya
  • Timu zote zilizop[o ligi kuu zipewe hadhi sawa ndio tutakuwa na ligi yenye ushindani, Marefa na waamuzi wanaofanya maamuzi ya tutat kupendelea timu za Kariakoo wachukuliwe hatua kali ikiwenmo kutojihusisha na mpira milele
  • Hakuna kudekeza timu( Ikumbukwe Simba ilishawahi kukataa udhamini wenza wa GSM kwenye ligi yetu wakagoma. Ikabidi GSM ajitoe na kuna baadhi ya timu zikaomba udhamini wa GSM, Simba wanalalamika GSMS kudhamini timu nyingi. Na sasa kagom kucheza Derby Bodi imebeba mzigo wa Simba. Hii hali ikiendelea ipo siku watakataa kucheza na timu Fulani, watakataaa jucheza uwanja Fulani, watakataa refa na mwishowe watakuja kukataa hata baadhi ya wachezaji wa timu pinzani wasiwepo kwenye mechi za Simba. Hii yote ni matokeo ya kudekezwa.
  • Mwisho TUKATAE UHUNI WOWOTE UNAOFANYIKA KWENYE LIGI YETU IWE UNANUFAIKA NAO AU HUNUFAIKI KWA SABABU IPO SIKU ITAKUREJEA (KARMA IS A BITCH)
 
Kanuni ya kurekebisha hapo ni ile ya mazoezi ya mwisho mana inatoa loopholes kwa wenye pesa na wenyej wa mchezo kuitumia vibaya.
Waweke eidha adhabu kubwa pia kama ikigundulika kiushahid umezuia mazoezi ya mwisho ukatwe point 3 baada ya mechi sio et milion 5 kwa timu zenye pesa hapo kama ya maji tu afu timu mwenyej ananufaika na ushindi kwakuw wew hujui hali ya uwanja wake ulivyo kwa wakat huo
 
Sema tu timu ya simba imekuwa ikideka sana tangu Wallace Karia ambaye ni mshabiki wa hiyo timu, ashinde urais wa TFF.
 
Kolo wote waione hii,kasongoo eeeh kasongo nangai,kasongo eeeh kasongo na ngai
 
(Binafsi nilikua njiani na basi la asubuhi natokea Iringa kwenda kuangalia Derby, baada ya kuona taarifa ya Simba ile asubuhi ikabidi nishuke Morogoro saa mbili nifanye utaratibu wa kurudi Iringa. Nikapata gari nafika Mikumi kama saa nne naona taarifa ya bodi inasema game ipo. Ikabidi nidrop Mikumi nichukue usafur kurudi tena Dar kuangalia Game. Nafika Chalinze nasikia tena Bodi imeghairisha mchezo huo. Damn!)
😀😀😀😀😀
 
Kanuni ya kurekebisha hapo ni ile ya mazoezi ya mwisho mana inatoa loopholes kwa wenye pesa na wenyej wa mchezo kuitumia vibaya.
Waweke eidha adhabu kubwa pia kama ikigundulika kiushahid umezuia mazoezi ya mwisho ukatwe point 3 baada ya mechi sio et milion 5 kwa timu zenye pesa hapo kama ya maji tu afu timu mwenyej ananufaika na ushindi kwakuw wew hujui hali ya uwanja wake ulivyo kwa wakat huo
Iyo kanuni haina shida na imeweka kabisa utaratibubwa timu iliyopo ugenini kuufuata na adhabu watakayochukuliwa ambao watazuia kufanya hayo mazoezi, hakuna popote ilipotoa uhalali wa timu kususia mechi, n nina amini kabisa ingekua timu nyingine tofauti na simba hili sakata lingeshamalizwa siku ile ile kwa yanga kupewa point 3
 
Back
Top Bottom