matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni siku ipi nzuri kwako ilikuwa na matukio nadra mazuri kwako?

    Niliwahi kumpa mwanafunzi mwenzangu shilingi laki 3 tukiwa chuo, yeye akiwa mwaka wa mwisho ili alipie kodi ya geto lake mimi nikirudi nihamie. Aliingia mitini kwa miaka mitatu hivi, siku ya siku nikiwa sina hili wala lile napokea meseji, shilingi laki 3 na elf 20 imeingia, napokea na meseji...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna Haja ya Kutokomeza Kabisa Matukio ya Mauaji Yanayochochewa na Ushirikina Tanzania

    Mauaji yanayochochewa na ushirikina ni tatizo linaloendelea kutokea Tanzania na linahusisha imani na vitendo vinavyohusiana na uchawi na ushirikina. Katika muktadha huu, watu wanaweza kuuawa au kuteswa kutokana na tuhuma za kuhusika na uchawi au kutumia sehemu za miili ya watu kwa madhumuni ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kudhibiti matukio ya watu kujitoa uhai nchini

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vitendo vya kikatili lakini pia kumekuwa na matukio mengi ya watu kujitoa uhai, kitu ambacho kinaleta taharuki kubwa katika jamii na nchi kiujumla. Katika hili andiko nitaongelea zaidi upande wa kujitoa uhai na afya ya akili. Afya ya akili...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita naufananisha na mji wa Gotham kwa matukio

    Kila uchwao huu mkoa una matukio. Kulikoni wasukuma wa Geita? Mbona wasukuma wa Kahama hakuna shida na ndiyo kuna machimbo. Husikii matukio. Wasukuma wa Kahama wamestaarabika hawana shida. Tatizo nini kwa wasukuma wa Geita? Inakua kama Mbeya ya zamani kule Mbozi.
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia haambatani na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi kwenye matukio na hafla za Kitaifa?

    Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano. Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Yaache madaraka yakufuate sio kuyatafuta

    Kuna matukio yanatokea Tanzania yanasikitisha Sana Katika mazingira ya Tanzania ambaye aliweza kuutafuta urais na akaupata ni Hayati baba wa TAIFA na Rais Kikwete born town the rest hawakutafuta urais na ndio maana hatuna visionary leaders tuna watu wengi waliojaribu kuwa na wakawa. Madaraka...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Marekani: Matukio 201 ya ufyatuaji risasi yametokea Mwaka 2023

    Matukio ya mauaji ya watu kwa risasi yameendelea kuitesa Marekani ambapo kwa mujibu wa Ripoti ya Gun Violence Archive idadi ya vifo hadi Mei 8, 2023 ni 14,865 wakati waliojeruhiwa ni 11,872. Katika rekodi hizo, waliouawa kwa kukusudia au kutokusudia ni 6,417 wakati waliojiua ni 8,448, kati yao...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana. Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%. RPC MKOA WA GEITA Ali kufa , alistaafu, alifukuzwa au ni mtoro kazini? Kila siku kuna mauaji Geita.
  9. Explainer

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata updates za matukio yajayo Tanzania?

    Habari. Kwa wenye kujua ni namna gani ya kupata ratiba za matukio kama matamasha, makongamano, na events mbalimbali zinazohusiana na maswala yote ya sanaa na utamaduni, matukio mfano wa mbio za marathon, uchangiaji damu, n.k Msaada wenu wakuu, kwa wenye kujua njia za kufahamu ratiba za matukio...
  10. jastertz

    JamiiForums Tanzania Matukio yanayotokea kwa sasa nchini yanahusiana vipi na siasa?

    Kumekuwa na mtirirko wa matukio yasiyofaa kwenye jamii zetu kila kukicha. Kuna suala la mapenzi ya jinsia moja, watu kuuawa kila kukicha, watoto kuharibia kila siku. Nimekuwa nikijiuliza sana, Je haya mambo yanachagizwa na mfumo wa kisiasa? Maana ukiingia huko mjini twitter kila kona watu...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Drones zaendelea kufanya mambo ndani ya Urusi, matukio ya moto na milipuko

    Supapawa alingia cha kike, haitokuja aishi kwa amani baada ya udhulumaji wake Ukraine.... Two separate fires were reported in the Russian region of Begorod on Monday. A thermal power plant caught fire in Belgorod, Russia, causing an electricity blackout on Monday. Russian propaganda reported...
  12. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) chatoa somo kwa Waratibu wa Matukio

    Chuo cha utalii nchini (NCT) kimewataka wadau wa uratibu wa matukio (events), kuongeza ujuzi wao kwa kujifunza chuoni ili kukuza weledi na kuacha tabia ya mazoea katika utendaji kazi wao wa kila siku. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano kati ya NCT na wadau wa uratibu wa matukio Kaimu...
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Siri ya mkoa wa Geita kuwa na matukio ya ovyo na ya ajabu hii hapa

    Habari zenu wana JamiiForums Wenzangu Waislamu poleni na mfungo wa Ramadhani na wakiristo hongereni na Ijumaa kuu nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu zaidi matukio mbalimbali ya ajabu na ovyo yanayotokea mkoani Geita baada ya uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nikiwa naishi mkoani Geita maeneo ya...
  14. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Jarida la reli na matukio toleo la 27

    UNAWEZA KUSOMA AU KUPAKUA KUPITIA KIUNGO HIKI https://www.trc.co.tz/publications/13
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mtazamo gani kwenye matukio haya kwa watoto?

    Habari zenu Kumezuka tabia ya wazazi au walezi kufungua akaunti za mitandao ya kijamii huku walijipatia umaarufu kupitia video za watoto wao. Kwangu mimi si busara mtoto kumuingiza katika dunia ya mitandao wakati bado anahitajika kusoma na kujifunza mambo mengi lakini kinachotokea wazazi...
  16. Da'Vinci

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

    I hope y'all are doing just fine, and so Do I. Straight kwenye mada... #1: 4yrs ago kuna mtu (alikua muimbaji wa kigango fulani) hakua na mke wala kuishi na mtu yoyote...He was a loner. Akawa akiugua ugua ila alitoa taarifa kwenye uongozi wake wa Choir, back then nami nilipenda kushiriki...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Kifo na kuokotwa kwa maiti ya mwalimu huyu kunaleta mwanga kwa matukio mengine kama haya

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mganga-wa-kienyeji-wenzake-wanne-wakamatwa-madai-mauaji-wa-mwalimu-musoma-4133972
  18. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matukio valentine day

    Baada ya majukumu ya kitaifa na kutafuta ugali hapo jana.........mida ya jioni nikaingia supermarket moja hapa jijini dar nikadaka baadhi ya vizawadi kwa ajili ya demu wangu. Nimefika gheto nikaoga then nikampigia demu wangu huyo simu ili ikiwezekana nimpe kile nilichojipinda kama mtu...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Haya maneno bado yapo vyuoni? Wazee wa Madesa, Simbi, Vizenga, Missile, Bombshell. Simulizi waliokamatwa au kushuhudia matukio wakati wa UE

    Hello lads and ladies. Legends! Tupitie flashbacks zetu tukiwa campus notes zina majina yake, vikaratasi vya kuibia majibu kwenye Tests na UE na majina yake. Wakali wa vizenga, dessa, simbi kwenye soksi , chooni, network collabo za chooni, signal kama zote. Wale ambao hawakuwahi kutumia desa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Panya road katika matukio yao ni lazima wajeruhi kila mtu?

    Kwanza kabisa lazima tukubaliane kimsingi kuwa panya road ni school drop out hasa shule ya msingi na secondary, lakini wengi pia ni wale waliolelewa Kwa style ya single mothers hii nimeongea sio kukejeli lakini ni kutokana na mahojiano waliyofanya wenzao kituo Cha polisi. Jana Tarehe 11.02.23...
Back
Top Bottom