Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,914
- 6,033
Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa bodi, ufunguaji wa barabara, ugawaji wa vitambulisho vya machinga kote huko ungewakuta wameambatana na Rais.
Lakini mama Samia yeye yuko tofauti, haambatani nao bali kwa matukio muhimu yanayowahusu.
kwanini Rais Samia haambatani na wakuu hao kama zamani??