Documentary ya Yanga SC itakayozinduliwa Augosti 7, 2023 nitaipenda tu ikiwa na matukio yafuatayo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
1. Yanga SC Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC

2. Yanga SC Kufungwa Goli 4 kwa 1 na Simba SC

3. Yanga SC Kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo

4. Yanga SC Kushindwa Kesi na Wakili wa Kujitegemea Raia wa Ghana Bernard Morrison alipohamia kwa Wenye Akili Kubwa nchini Simba SC

5. Aliyekuwa Kocha Mkuu Luc Eymael Raia wa Belgium ( Ubelgiji ) akiwaita wana Yanga SC ( ipo YouTube ) kuwa wanapigapiga Kelele kama Nyani, Mbwa na Sokwe

6. Mchezaji Feisal Salum 'Feitoto' akila zake Ugali na Sukari akiwa Yanga SC

7. Yanga SC kuzidiwa Kete na Simba SC kwa Mchezaji wao waliokuwa wanamhitaji na walimpenda mno Fabrice Ngoma Kutekwa Kimafia na Mwanamama Asha Baraka pale JNIA Terminal III na kumuingiza katika VX yake Nyeusi na kwenda nae hadi Holiday Inn Kumsainisha huku Wao wakiwa Wanapiga Miayo na Kucheza Karata wakimsubiria hadi ilipofika Saa 1 Asubuhi na kuambiwa kuwa Mchezaji alishuka / alitua Saa 11 Alfajiri na ameshaondoka na Viongozi wa Simba SC na wakaishia Kutukana na Kusonya

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe najua unanisoma na unanifolo pia GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nakuomba hakikisha Matukio yote haya Saba ( 7 ) tajwa hapo yawepo katika hiyo Documentary yenu uliyoiandaa na Pacha wako Privaldinho yasipokuwepo itakuwa ni Batili, sitoinunua na haitonunulika.
 
Umeambiwa Documentary ya msimu wa mafanikio we unaleta mihemuko Braza.

Sio kosa lako Mwezi upo mashariki kweli ndio maana.
 
7. Yanga SC kuzidiwa Kete na Simba SC kwa Mchezaji wao waliokuwa wanamhitaji na walimpenda mno Fabrice Ngoma Kutekwa Kimafia na Mwanamama Asha Baraka pale JNIA Terminal III na kumuingiza katika VX yake Nyeusi na kwenda nae hadi Holiday Inn Kumsainisha.

KUMBE SASA NI WAZI SIMBA SAJILI ZAKE SIYO ZA KIUFUNDI. SCOUTING HAKUNA!
JamiiForums1345902037.jpg
 
7. Yanga SC kuzidiwa Kete na Simba SC kwa Mchezaji wao waliokuwa wanamhitaji na walimpenda mno Fabrice Ngoma Kutekwa Kimafia na Mwanamama Asha Baraka pale JNIA Terminal III na kumuingiza katika VX yake Nyeusi na kwenda nae hadi Holiday Inn Kumsainisha.

KUMBE SASA NI WAZI SIMBA SAJILI ZAKE SIYO ZA KIUFUNDI. SCOUTING HAKUNA!View attachment 2707849
Nawe soma point #5 hapo juu tafadhali.
 
1. Yanga SC Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC

2. Yanga SC Kufungwa Goli 4 kwa 1 na Simba SC

3. Yanga SC Kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo

4. Yanga SC Kushindwa Kesi na Wakili wa Kujitegemea Raia wa Ghana Bernard Morrison alipohamia kwa Wenye Akili Kubwa nchini Simba SC

5. Aliyekuwa Kocha Mkuu Luc Eymael Raia wa Belgium ( Ubelgiji ) akiwaita wana Yanga SC ( ipo YouTube ) kuwa wanapigapiga Kelele kama Nyani, Mbwa na Sokwe

6. Mchezaji Feisal Salum 'Feitoto' akila zake Ugali na Sukari akiwa Yanga SC

7. Yanga SC kuzidiwa Kete na Simba SC kwa Mchezaji wao waliokuwa wanamhitaji na walimpenda mno Fabrice Ngoma Kutekwa Kimafia na Mwanamama Asha Baraka pale JNIA Terminal III na kumuingiza katika VX yake Nyeusi na kwenda nae hadi Holiday Inn Kumsainisha huku Wao wakiwa Wanapiga Miayo na Kucheza Karata wakimsubiria hadi ilipofika Saa 1 Asubuhi na kuambiwa kuwa Mchezaji alishuka / alitua Saa 11 Alfajiri na ameshaondoka na Viongozi wa Simba SC na wakaishia Kutukana na Kusonya

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe najua unanisoma na unanifolo pia GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nakuomba hakikisha Matukio yote haya Saba ( 7 ) tajwa hapo yawepo katika hiyo Documentary yenu uliyoiandaa na Pacha wako Privaldinho yasipokuwepo itakuwa ni Batili, sitoinunua na haitonunulika.
Sahih braza popoma

Kuna ile mechi sikumbuk elf mbili na ngap waligoma kuja uwanjan nadhan inapaswa kuwemo pia

Na kuna clip ya manj akiwa na mikataba yake mkonon akijitapa kuwa okw ana mkataba na uto wa miaka miwili
 
1. Yanga SC Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC

2. Yanga SC Kufungwa Goli 4 kwa 1 na Simba SC

3. Yanga SC Kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo

4. Yanga SC Kushindwa Kesi na Wakili wa Kujitegemea Raia wa Ghana Bernard Morrison alipohamia kwa Wenye Akili Kubwa nchini Simba SC

5. Aliyekuwa Kocha Mkuu Luc Eymael Raia wa Belgium ( Ubelgiji ) akiwaita wana Yanga SC ( ipo YouTube ) kuwa wanapigapiga Kelele kama Nyani, Mbwa na Sokwe

6. Mchezaji Feisal Salum 'Feitoto' akila zake Ugali na Sukari akiwa Yanga SC

7. Yanga SC kuzidiwa Kete na Simba SC kwa Mchezaji wao waliokuwa wanamhitaji na walimpenda mno Fabrice Ngoma Kutekwa Kimafia na Mwanamama Asha Baraka pale JNIA Terminal III na kumuingiza katika VX yake Nyeusi na kwenda nae hadi Holiday Inn Kumsainisha huku Wao wakiwa Wanapiga Miayo na Kucheza Karata wakimsubiria hadi ilipofika Saa 1 Asubuhi na kuambiwa kuwa Mchezaji alishuka / alitua Saa 11 Alfajiri na ameshaondoka na Viongozi wa Simba SC na wakaishia Kutukana na Kusonya

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe najua unanisoma na unanifolo pia GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nakuomba hakikisha Matukio yote haya Saba ( 7 ) tajwa hapo yawepo katika hiyo Documentary yenu uliyoiandaa na Pacha wako Privaldinho yasipokuwepo itakuwa ni Batili, sitoinunua na haitonunulika.
😂🤣 na lile goli la mkandamizo la KIBU D KIBU DEEEEEE!!!!!
 
Back
Top Bottom