matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni matukio yanayoongoza kupoteza furaha na amani ya watu, Endelea kuyasikiaga tu yasije kukupata

    1. Kufirisika ama kufukuzwa kazi hasa ukiwa 40s na huna assets wala skills za kukupiga jeki. 2. Kupotelewa kwa mtoto ama mzazi (heri mzike mjue kapumzika sehem flan kuliko kupotea) 3. Kesi baada ya kesi yani kushinda mahakamani
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Dah! Wanajeshi wa SADC wanaondoka huku magaidi yenye mlengo wa kidini yakiongeza matukio Msumbiji

    Wananchi maskini wa Msumbiji wanaachwa waendelee kuchinjwa na magaidi ya kiislamu.... SADC wanaondoka. The Southern African Development Community (SADC) military mission in Mozambique (Samim), which was deployed on July 15, 2021 to fight the Islamic insurgents terrorising the Northern Cabo...
  3. Informer

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Visa na matukio (adventures) binafsi niliopitia maishani

    Binadam tunapitia mengi sana maishani. Yanaweza yakawa ya kila namna, mazuri au mabaya. Yapo yakusikitisha, kufurahisha, maudhi, kutisha, kufurahia na kuchukia lakini mwisho wa siku yanabaki kua ni (adventure) au hadithi ya maisha (kwa sauti ya mzee Rukhsa). Tajitahidi kuweka katika kila post...
  5. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwamba baadhi ya Polisi ni waaminifu?

    Kuna baadhi ya madili hufichuliwa na kutangazwa kwenye runinga. Mfano, mafuta kwenye bandari bubu nk. Je, wahusika hukosa posho ya kuwapa polisi au Kuna baadhi ya polisi hawapendi posho. Mimi nimeona madili mengi polisi wakipozwa. Kwanini baadhi ya madili unaitiwa mpaka waandishi wa habari...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

    Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Camera nzuri unayoweza kutumia kufuatilia matukio yanayoendelea ukiwa haupo nyumbani

    Shallom wakuu. Kutokana na maendeleo ya ukuaji wa sayans na teknolokojia zipo njia mbalimbal za kuzuia uhalifu nyumban kwako au eneo lako la biashara. Tumekuletea camera nzuri unayoweza kutumia kwa kuinstall nyumban kwako kwa Bei nafuu Sana. Camera hizi ni ndogo Sana ambazo sirahisi kwa mtu...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Chagueni Bodaboda mnaowajua kuepusha matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto

    Katika jitihada za kuzuia na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini, wazazi na walezi wametakiwa kufanya uchaguzi sahihi na kuwatambua bodaboda wanaowapeleka watoto wao shule ili kuepuka vitendo hivyo. Rai hiyo imetolewa Februari 22, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Maryam Azan Mwinyi: Serikali Imejipangaje Kuwasaidia Wahanga Wanaopata Ujauzito Kutokana na Matukio ya Ukatili wa Kijinsia (Ubakaji na Udhalili

    Mbunge Maryam Azan Mwinyi: Serikali Imejipangaje Kuwasaidia Wahanga Wanaopata Ujauzito Kutokana na Matukio ya Ukatili wa Kijinsia (Ubakaji na Udhalilishaji) Serikali imesema imeandaa mipango na mikakati ya kuwasaidia waathirika na manusura wa vitendo vya ukatili ili kuhakikisha wanapatiwa...
  10. sanalii

    JamiiForums Tanzania Wengi wa binadamu wana unafiki na wanapenda kujisahaulisha kwa manufaa yao, angalia haya matukio

    1. Mapenzi ya utotoni: Mara kadhaa watu husema watoto wa siku hizi wanaanza wameharibikiwa na wanaaza mapenzi mapema sana, wengi husema "wanaaza shule ya msingi" lakini nikikumbuka miaka zaidi 30 iliopita nikiwa shule ya msingi, kulikua na mahusiano vile vile, watu walikua wanaandikiana barua na...
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania ChatGPT:swala utekaji tanzania kwa nini vyombo ya polisi kutoa majibu ya kawaida na matukio ya utekaji

    Masuala ya utekaji nyara ni jambo serious na lenye athari kubwa kwa usalama wa raia na heshima ya haki za binadamu. Ni muhimu kutambua kwamba suala la utekaji nyara linapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa, na vyombo vya usalama vinapaswa kuchunguza kwa kina na kutoa majibu yanayokidhi haki na...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali: Matukio 21 ya watu kutekwa na kupotea yamepatiwa ufumbuzi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameeleza kuwa robo tatu ya matukio yaliyoripotiwa ya watu kutekwa na kupotea kwa mwaka 2023 tayari yamepatiwa ufumbuzi. “Sio kwamba labda watu wanapotea halafu hakuna kinachofanyika, watu hawawapati wahalifu, hawawapati wahanga sio sahihi, ameeleza...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Matukio kama haya ya Kimafia yenye kutumia Akili Kubwa ndiyo yananifanya nizidi tu KuwapendaWaisraeli 24/7

    Wiki iliyopita Makomandoo wa Israel ( Sayeret Matkal ) waitumia Akili Kubwa kama ile waliyoitumia kule nchini Uganda walipoenda kuokoa Mateka Wao mbele ya Idi Amini ambayo hata hivyo ilisababisha Kifo cha Komandoo mahiri aitwae Yurin ( Yuri ) Netanyahu ambaye alikuwa ni Kaka mkubwa wa Waziri...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kuna matukio ya utekaji serikali kimya

    Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani vikiripoti matukio

    1. Mwanaume mmoja aitwaye Johnson Powell amewachoma visu wanafunzi wanne na kuwaua huku wengine akiwapiga risasi. Tukio hilo lilitokea jioni ya leo. Mtuhumiwa huyo yupo kituo cha polisi. 2. Muhuni mmoja mweusi amewachoma visu wanafunzi wanne na wengine kuwaua kwa risasi katika chuo kimoja huko...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watuhumiwa wa uhalifu 533 walihukumiwa jela Mwaka 2023, matukio ya uhalifu yatajwa kupungua

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa mwaka 2023 jumla ya watuhumiwa 533 walihukumiwa Kwenda jela kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji na ulawiti huku matukio ya uhalifu yakitajwa kupungua kwa Asilimia 12. Akitoa taarifa hiyo leo Januari 15, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali inakalia kimya matukio ya Watu kutekwa na kuuawa? Utawala uliopita mambo yalianza hivi hivi

    Kuna matukio ya Watu kutekwa na kuuawa bila kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria na wengine wakidaiwa kufanyiwa ukatili na Polisi lakini mamlaka zimekuwa zikitoa majibu mepesi tu. Sio sawa kwa nchi inayofuata utawala wa Sheria kukalia kimya masuala ya uhai na usalama wa raia wake. Tukumbuke...
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

    1. Kutaibuka teknolojia itakayoweza kutafsiri mtoto mdogo akilia anahitaji kitu gani? Tahadhari ni kwamba teknolojia hii itafika Afrika na Tanzania kwa upekee, teknolojia hii itakuwa katika majaribio hivyo ni rahisi kuacha madhara makubwa ya kiakili kwa watoto. 2. Kutaibuka ugonjwa wa virusi...
  19. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Matukio yaliyotikisa Tanzania 2023, African Football league inaongoza japo mengine yapo

    Wakuu Nimekaa nautafakari mwaka 2023 hapa Tanzania na matukio yake, 1. Tukio la ufunguzi wa African Football league Hili ndilo tukio lilitikisa nchi, Simba wababe wa soka la Africa waliwakaribisha wababe wenzao kufungua michuano hii na dunia yote ilikuwepo Tanzania 2. DP world na issue zake...
  20. Execute

    JamiiForums Tanzania Matukio ya kulipua mabomu kule Arusha yaliisha baada ya hawa mashehe wanaohukumiwa sasa kukamatwa

    Naipongeza mahakama kwa kuwatia hatiani hawa wapuuzi walioua na kujeruhi wengine kwasababu ya itikadi za kipumbavu. Mtu yeyote atakayefundisha kama yule marehemu ilunga anapaswa kushughulikiwa mapema kabla hayajatokea maafa kama yale ya arusha na zanzibar.
Back
Top Bottom