Tusidanganyane kuna Watu leo wataifuatilia Simba Day na Matukio yote Kiumakini kuliko hata wenye Simba SC yetu na tukio letu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,691
109,123
Hivi wanaachaje kwa mfano kufuatilia Tukio Kubwa la Simba Day ambalo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, kuna MC aliyekuwa Mtangazaji Nguli, Mahiri na Gumzo Salim Kikeke, Msanii Mkubwa na Dhahabu kwa Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika Ali Kiba atatumbuiza huku ikiwa na Shabiki Tukuka na Captain wa JamiiForums nzima (Le Capitaine De la Forume) GENTAMYCINE Mimi?

Na najua hao wanaosema sasa kuwa hawatapoteza muda Wao na Shughuli ya Leo ya Simba Day ukifika tu ule wakati wa Simba SC kutambulisha Wachezaji wake kuna matatu watayafanya ama Kusikiliza Kimya Kimya Redioni, Kuchungulia katika Mitandao kimya kimya wakiwa wamejifugia Maliwatoni (Vyooni) au Kutazama Runingani wakiwa makwao.

Na wakati mwingine ambao najua watahangaika Kuifuatilia Simba SC katika Simba Day yake leo ni pale wakisikia kuna Goli huku wakidhani iliyofungwa na Simba SC ambapo wakiulizia kwa bashasha zote wanasikia Baleke, Onana, Phiri wamefunga huku Fabrice GENTAMYCINE Ngoma akifanya Unyama Mwingi katika Engine Room (Midfield ya Timu) halafu Beki Che Malone akiwafundisha nini maana ya kuwa na Ukuta wa Berlin na kuanza Kusonya na Kukasirika.

Happy Simba Day kwa Wanasimba wote ndani na nje ya Tanzania. Ama hakika Simba SC ni Nguvu Moja.

Mtatukoma wana Simba SC hii leo!!!!
 
Hasa machadomo na Wazushi Wengine yaani Kwa akili Yao eti wanategemea Rais azungumzie mambo ya Bandari kwenye ishu ya michezo,Samia sio mbumbumbu kama wao.
 
Kama tu aliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymael Raia wa Belgium ( Ubelgiji ) alishawaambia ( iko YouTube ) kuwa Wote wana Akili za Nyani, Mbwa na Sokwe unategemea uwakute wenye Akili huko Mkuu?
 
Hivi wanaachaje kwa mfano kufuatilia Tukio Kubwa la Simba Day ambalo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, kuna MC aliyekuwa Mtangazaji Nguli, Mahiri na Gumzo Salim Kikeke, Msanii Mkubwa na Dhahabu kwa Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika Ali Kiba atatumbuiza huku ikiwa na Shabiki Tukuka na Captain wa JamiiForums nzima (Le Capitaine De la Forume) GENTAMYCINE Mimi?

Na najua hao wanaosema sasa kuwa hawatapoteza muda Wao na Shughuli ya Leo ya Simba Day ukifika tu ule wakati wa Simba SC kutambulisha Wachezaji wake kuna matatu watayafanya ama Kusikiliza Kimya Kimya Redioni, Kuchungulia katika Mitandao kimya kimya wakiwa wamejifugia Maliwatoni (Vyooni) au Kutazama Runingani wakiwa makwao.

Na wakati mwingine ambao najua watahangaika Kuifuatilia Simba SC katika Simba Day yake leo ni pale wakisikia kuna Goli huku wakidhani iliyofungwa na Simba SC ambapo wakiulizia kwa bashasha zote wanasikia Baleke, Onana, Phiri wamefunga huku Fabrice GENTAMYCINE Ngoma akifanya Unyama Mwingi katika Engine Room (Midfield ya Timu) halafu Beki Che Malone akiwafundisha nini maana ya kuwa na Ukuta wa Berlin na kuanza Kusonya na Kukasirika.

Happy Simba Day kwa Wanasimba wote ndani na nje ya Tanzania. Ama hakika Simba SC ni Nguvu Moja.

Mtatukoma wana Simba SC hii leo!!!!
Kutoka Avic town
202DFCBA-4EC9-48DA-852E-C40779527E62.jpeg
 
Back
Top Bottom