Camera nzuri unayoweza kutumia kufuatilia matukio yanayoendelea ukiwa haupo nyumbani

DALALI MKUU

JF-Expert Member
May 7, 2022
1,487
2,739
Shallom wakuu.
Kutokana na maendeleo ya ukuaji wa sayans na teknolokojia zipo njia mbalimbal za kuzuia uhalifu nyumban kwako au eneo lako la biashara.

Tumekuletea camera nzuri unayoweza kutumia kwa kuinstall nyumban kwako kwa Bei nafuu Sana.

Camera hizi ni ndogo Sana ambazo sirahisi kwa mtu kuziona.

Utazifunga Kisha utainstall kwenye simu yako na hivyo kukuwezesha kufuatilia matukio yanayoendelea nyumban kwa simu yako ukiwa ofisin au kazini kwako.

Gharama yake ni Tsh 120000 tu kwa wakazi wa Dar mikoani gharama inaongezeka.

Pia zina memory card maalum kdma upo bize ukifika nyumban unafuatilia matukio yaliyoendelea kwa siku husika.
Tupo dar mbez mwisho,ni huduma nzuri, ya gharama nafuu na rahis kutumia
 
Comrade unafanya biashara ya kizamani sana. Yaani umeweka tu tangazo huku ukiwa hujaweka mawasiliano yako, wala picha ya hizo camera unazo uza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom