matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Matukio makubwa mawili wanasoka tumeyashuhudia Tanzania msimu

    Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka Kila mtu mtu ukimuuliza atakwambia nimeiona mtibwa sugar ikishuka daraja na Simba ikishika nafasi ya 3 Haya ni matukio makubwa...
  2. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Nanusa harufu ya matukio

    je! inawezekana vp mtu kuendelea kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2? hta ukimtxt labda sa 3usiku utakutna na jbu asubuhi na atakuambia nimekujibu toka jna labda mtndao. Najua kwl mtandao unaweza kusumbua lkn inwezekena vp kuendelea kuona...
  3. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Matukio yaliyowahi kutokea katika Maisha halisi ukaamini uwepo wa Mungu

    Ndugu Wana JF, Nataka tushirikishane kuhusu matukio ambayo yaliwahi kutokea yakafanya niamini uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mimi binafsi, kama muumini wa dini ya RC, kuna kipindi mdogo wangu aliwahi kusumbuliwa sana na ushirikina. Kwa kuwa imani yangu ilikuwa 50 kwa 50, nilikuwa nampeleka mpaka kwa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV hawaonyeshi matukio ya sherehe za ubingwa, wamegeuza kiwe kipindi cha kutembeza mic kufanya mahojiano

    Nilijianda kuangalia sherehe hizi za ubingwa lakini inakaribiaa lisaa sasa nachoona ni mahojiano tu, inakera sana. Kipindi kimegeuka kuwa kama cha Seki ama Skonga, tunaemuona ni mtangazaji anazunguka uwanjani kuhoji wachezaji na benchi la ufundi. Leo ni siku ya sherehe za ubingwa, Hakukuwa na...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa orodha ya matukio aliyotabiri Nabii wa Wasabato Hellen G White ambayo kamwe hayakutokea

    Wadau hamjamboni nyote? Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa. Nimeweka na nukuu kutoka maandiko yake mbalimbali kwa ajili ya rejea yenu. Kama yupo mtu miongoni mwenu...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Mtoto wa chini ya miaka 6 anayeshuhudia matukio ya Ukatili ana uwezekano wa kuyafanya akiwa mkubwa

    Leo kuna jambo nimelisikia kutoka kwa Mtaalamu mmoja wa Saikolojia aliyehojiwa na Clouds FM akisema matukio ya Ukatili yamekuwa yakiendelea kutokea kwasababu Watoto wanaoishi katika mazingira hayo wanaharibiwa kisaikolojia na hali hiyo inawafanya kuja kutenda Ukatili pale wanapokuwa wakubwa...
  7. pachawako

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli uhalifu hauna tiba ya kudumu?

    Kuna hili tukio lilitokea capetown, south Africa, dereva wa campuni SASKO alipovamiwa na kuuliwa na kundi la majambazi akiwa nawenzake wawili kwenye gari. Nikirefer ilo tukio ni miongoni mwa matukio mengi yanayo tukumbuka kila kukicha richa ya kua vyombo vya usalama na haki kama TANPOL na...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba, huwa unahudhuria Matukio yanayofanyika Shuleni kwa Mtoto wako au ndio kwa bahati mbaya?

    Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea Wataalamu wa Malezi wanasema Watoto hujisikia Furaha sana pale Baba zao wanapohudhuria Matukio...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, Waziri wa Mambo ya Ndani akutana na viongozi wa Dini

    Katika kukabiliana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jamii, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya Kikao Maalumu na Viongozi wa Dini lengo ikiwa kuhusisha kundi hilo maalumu katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, mmomonyoko wa maadili, matumizi ya dawa za...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 iliyoongoza kwa ripoti za Matukio ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania kwa mwaka 2022/23

    Dar es Salaam - 13,719 Shinyanga - 12,300 Mara - 9,823 Mwanza - 9,242 Geita - 7,697 Kigoma - 7,544 Kagera - 7496 Tabora - 7,471 Ruvuma - 7,425 Tanga - 6,827 Chanzo: Wizara ya Afya
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa upokeaji matukio ya unyaunyasaji wa kijinsia nchini

    MFUMO UTAKAO SAIDIA KURIPOTI MATUKIO YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NCHINI Kutokana na ongezeko kubwa la matukio ya unyanyasaji wa kijinsia nchini serikali ianzishe mfumo maalumu utakaotumiwa na wananchi kuripoti matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kma vile ubakaji. Matukio hayo kwa siku za...
  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu itumie mfumo wa kidigitali kupokea na kufuatilia matukio ya kijamii

    JINA LA MFUMO: JAMII SALAMA (JASA) UTANGULIZI. Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na makundi maalumu inakabiliwa na ukosefu wa mfumo bora wa kupata na kufuatilia taarifa za kijamii zinazohusu matukio mbalimbali ambayo yapo kinyume na sheria kitu kinachopelekea watu wengi kufanyiwa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tauhida Cassian Gallos ahoji Bungeni mkakati wa Serikali kudhibiti matukio unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya wanawake na watoto

    MHE TAUHIDA CASSIAN GALLOS Ahoji Bungeni Mkakati wa Serikali Kudhibiti Matukio Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono Dhidi ya Wanawake na Watoto "Je, kuna mpango gani wa Kudhibiti matukio ya unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya Wanawake na Watoto nchini?" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Miezi 7 since October 7 2023: Hizi ni Video za matukio ya kikatili yaliyofanywa na magaidi wa Hamas, Israel wana kila sababu kudeal nao

    Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa. Mtanzania mwenzetu Mollel alienda Israel kwenye maafunzo ya Kilimo kwasababu Israel ni nchi inayofanya...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Matukio, picha na video kuhusu Kimbunga Hidaya

    Kimbunga Hidaya kimeshafika kwenye pwani yetu. Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA walitoa tahadhari ujio wa kimbunga hiko kwenye pwani ya mashariki. Uzi huu ni maalumu wa kushare matukio, picha na video za maeneo yaliyopitiwa na kimbunga hiki cha HIDAYA. Lengo ni kupashana taarifa na kuzisaidia...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Polisi na waandishi wabadili mtazamo kuhusu ripoti za matukio ovu!

    Najiuliza sana ni nani aliyeweka huu utaratibu wa kuripoti matukio ya kiuhalifu ?Je utaratibu huu unasaidia nini,? Lengo la kuripoti matukio haya ni nini? Nani aliyeweka format ya kuripoti.? Kwa maoni yangu huu ni utaratibu mbovu na unasiriba haiba za mikoa au wilaya bila sababu ya msingi. Leo...
  17. John_Anthony

    JamiiForums Tanzania Sababu ya watu kuogopa kutoa ushahidi kwenye baadhi ya matukio aliyo shuhudia live na wengine baadhi hukimbia kabisa

    Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi huu kutokana na mambo yanayo fanyika kwenye jamii zetu haya mambo yanaumiza sana😭 mitaani kumekuwa na...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Wanafunzi Wapewe Elimu ya Matukio ya Dharura

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Viongozi na Wasimamizi wa Shule za Serikali na binafsi kutoa elimu kuhusu matukio ya dharura yanayoweza kutokea katika mazingira ya shule ikiwa ni pamoja na elimu juu ya majanga ya moto ambayo yamekuwa yakitokea...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kusemekana ni mkoa wa kihalifu, Ni kwanini kuna matukio machache ya uhalifu Mara.

    Tunasikia tu story kwamba Mara hakukaliki ni mkoa wa matukio kuuana, ujambazi, kupigana, n.k Kuna picha zimetengenezwa za vibao vimeandikwa "sasa unaingia mkoa wa Mara" yameongezwa maneno, "kaza roho", "be strong", n.k. yanaleta picha kwamba ni mkoa wa matukio Kwanini ni tofauti na uhalisia ...
  20. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Watanzania wa Matukio. Hawataki kujua sokoine alikufaje kwanini ndugu waliomba afanyiwe postmortem?

    Wapo kuhangaika na kauli ya spinning doctor makonda. Wapo bize kutaka kuwafahamu hao mawaziri Hawakumbuki chozi la mwanae sokoine alipo kuwa akisoma historia. Hawataki kujua limebeba ujumbe gani? Kwa hili igizo la makonda limeondoa maana yote ya siku ya kumbukizi marehemu sokoine. Na kwa...
Back
Top Bottom