matokeo

  1. JamiiForums Tanzania Mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura.

    Wanafunzi pamoja na jamii huamini kwamba mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura. Je, hii ni kweli? Au ni kasumba isiyo na ushahidi? Wengine huamini kwamba serikali haitaki lawama mwaka wa uchaguzi na matokeo mazuri huongeza mvuto kisiasa. Lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Tahakiki: Hotuba ya Kapteni Tesha inataja sababu, uwezo na nia ya kuiangusha serikali ya kiraia iliyopoteza uhalali wa kikatiba

    https://youtu.be/H1nHdmCnduI Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya. Utangulizi Jumamosi ya tarehe 4...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi akubali kushindwa kabla ya matokeo rasmi kutangazwa

    Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameweka historia baada ya kukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa urais saa chache tu kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi. Akihutubia taifa Septemba 24, 2025 Chakwera alisema: “Ni haki nikubali matokeo haya kwa heshima ya maamuzi ya wananchi na kwa...
  4. JamiiForums Tanzania CRDB imekuwaje tangazo lenu halikuwa uzito kama matokeo ya hayo marekebisho au matengenezo ya Benki yenu

    Watu tumelipwa: Overtime Allowance Airtime/Communication Allowance Transport Allowance House Allowance Lakini kwenye akaunti hakuna kitu na wenzetu wa NMB wanakenua tu meno yao ofisini. Toeni taarifa shida nini. Nipo hapa nawaza nikilipwa pesa ya likizo sijui kama nitaiona.
  5. JamiiForums Tanzania MATOKEO YA IAA HAYATUMWI NACTE

    Hellw jf,matokeo yetu chuo cha IAA hayatumwi nacte ili tupate AVN.Tumefuatlia lakn tunajibiwa kwa ukali sana,asilimia nyingi yametumwa mwisho ya technician certificate lakin bado pending na tunatak kuomba mkopo.Admission officer ni mkali na hatoi ushirikiano
  6. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya;Mahakama ipewe mamlaka kuhoji Tume ya uchaguzi na matokeo ya Urais.

    1. Matokeo ya Raisi yahojiwe Mahakamani kama yaliyo ya Diwani na ubunge.kwa kuwa wagombea wa urais wanaweza kufanya makosa ya kiuchaguzi. 2. Tume ihojiwe na Mahakama inapo enda kinyume ktk kutimiza majukumu yake. 3. Itungwe sheria ya kuwezesha INEC kufanya Kazi za kusimamia uchaguzi Kwa sasa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhaba wa Paspoti unaondelea nchini ni matokeo ya kulinda viongozi wazembe

    Mimi ni mdau sana wa shughuli za Uhamiaji, nafanya kazi kwenye taasisi moja ya kimataifa hivyo tunasafiri sana na pia tuna deal sana na kuomba vibali kwa wageni wetu. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa vitabu vya paspoti katika Idara ya Uhamiaji, taarifa za ndani wanadai wanatoa si zaidi ya paspoti...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa MKRISTO: Umasikini wa kipato/Fedha/Mali ni matokeo ya Shambulizi la KIROHO

    Kuishiwa na KUWA ombaomba sio mpango wa Mungu KWA MKRISTO. Kwa hiyo huwezi kujisifia kuishiwa, mbango wa Mungu ni watu wasiwe tegemezi kiuchumi KWA wateja wao ( wasiomuamini Mungu). Msisitizo uliotolewa. 1: Umasikini ni laana ( Torati 28). Yesu ametukomboa na laana ya TORATI. 2: Mcha Mungu...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakala wa Vyama Malawi Wasipewe Nakala za Matokeo ya Kituo Husika Kama Uchaguzi Ni Huru na Tume ya Uchaguzi ni Huru Pia?

    Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia. Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa. Ila...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua dalili za matokeo ya Novena ya Wakatoliki kwa ajili ya Haki na Amani katika Taifa letu? Asomaye na afahamu

    1: Viongozi wa Dhehebu hilo kukosolewa, kutukanwa, kubezwa na kukejeliwa. Kutokana na maonyo na ushauri wao kwa Serikali kwa ajili ya haki na amani ya nchi yetu. 2: Kutokea maamuzi ya ajabu ajabu nchini ili mradi watu wanakula mema ya nchi huku wengine wakililia haki na amani. 3: Wenye viburi...
  11. JamiiForums Tanzania Utumaji wa matokeo ya Kura kwenda Tallying centre ndio 'Mifumo' INASOMANA?

    Tatizo sio kuhesabu Kura wala mawakala kusaini Bali kwenye utumaji wa matokeo kwenda kwenye tallying centre hapo ndio mifumo INASOMANA?
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna kampuni ya kubeti matokeo ya uchaguzi?

    Kama ipo nijulisheni kuna chimbo lina odds za uhakika mwezi october. Nataka kusuka mkeka niweke milioni 200. Mkeka nitakaosuka utakuwa hivi Rais - Mama Abdul wa Dp World Mbunge Moro - Abood Mbunge Gairo - Shabiby Mbunge Arusha - Makonda Mbunge Iramba - Mwigulu Mbunge Mtwara mjini - Double...
  13. JamiiForums Tanzania Pornography imetengeneza impact kubwa kwa vijana. Ni kitu chenye matokeo ghali sana ila ni kirahisi na free kukiona kwa muda wowote

    Ninaamini kasi ya vijana wa kike na wa kiume kujihusisha na maadili yanayohatarisha ustawi wao, kwa kiasi kikubwa imetokana na mitandao ya porno za waszi wazi. Mfano ni ule mtandao wa rahatupu, uliokuwepo miaka kadhaa iliyopita, watu wengi leo wanazibuana mitalo kwa kasi sana kwa sababu ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio kirutubisho bora cha nguruwe chenye matokeo chanya

    Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group...
  15. JamiiForums Tanzania UPDATE ya Matokeo ya Kura ya Maoni Jimbo la Kongwa

    Matokeo ya awali katika kata 14, matokeo yanaonyesha Isaya Mngulumi anaongoza kwenye kata zote kati ya kata 22 za Wajumbe waliopiga kura siku ya Leo. Ikumbukwe kuwa Isaya Mngulumi alishika nafasi ya pili akitanguliwa na Hayati Ndugai. Hapa ni kata ya Kibaigwa
  16. JamiiForums Tanzania TATIZO SUGU LA CHUO CHA CBE KUTOPELEKA MATOKEO YA WANAFUNZI NACTEVET

    CBE nawalalamikia binti yangu kamaliza 2024 Diploma lakini akienda Nactevet anaoneshwa kwamba wahusika wa CBE examinations officers hawajampandoshia matokeo yake yote bila taarifa wala sababu.za msingi. Tunaomba Mkuu wa chuo Prof Thandi Luoga kulifanyia kazi hili.haraka ikiwezekana tumbua...
  17. JamiiForums Tanzania Karia umeyaona Matokeo ya Endowsoments, Acha kulia hatwendi uwanjani NG'OO

    Nilikuona jana kupitia Azam tv Ukiweweseka kuwaita watu uwanjani bila shaka hujui. Acha nikupasue na kukupa ukweli 1. kwakuwa wewe ni mwana CCM, ulifanya figisu hata kuwakataza wagombea wengine wasigombee kwa kuchukua endowsments zote bila haya wala AIBU jambo likapita na sasa wasubiri...
  18. JamiiForums Tanzania JAMII CHAT: Uchawi ni sayansi ya kuunda miujiza au ni technique ya kufanya akili kuamini matokeo yametokana na miujiza?

    Karibuni:
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Matokeo ya ushindi Kangi Lugola Jimbo la Mwibara yagubikwa na Sintofahamu

    Jimbo la Mwibara ni miongoni mwa majimbo matatu ya Wilaya ya bunda. Wilaya ya Bunda ina majimbo matatu ambayo ni Bunda mji, Bunda vijijini na Mwibara.
  20. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kupenda misaada

    Sijui ni kuathiriwa na malezi au tabia tu. Mimi najua kuomba au kutarajia msaada huwa ni hatua ya mwisho sana. Kuna baadhi ya watu hudhani msaada ni haki yao. Na matokeo yake ni yafuatayo. Kuwa wazembe. Kutafuta wa kumtweka matatizo na majukumu yao. Chuki hasa kwa pale walipoomba msaada na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…