Ninaamini kasi ya vijana wa kike na wa kiume kujihusisha na maadili yanayohatarisha ustawi wao, kwa kiasi kikubwa imetokana na mitandao ya porno za waszi wazi. Mfano ni ule mtandao wa rahatupu, uliokuwepo miaka kadhaa iliyopita, watu wengi leo wanazibuana mitalo kwa kasi sana kwa sababu ya...
Je Nguruwe wako wamedumaa?
wamekonda?
wamedhohofika?,
vifo vya mara kwa mara?
wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara?
umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe .
Pole sana na karibu Mfugo plus group...
Matokeo ya awali katika kata 14, matokeo yanaonyesha Isaya Mngulumi anaongoza kwenye kata zote kati ya kata 22 za Wajumbe waliopiga kura siku ya Leo.
Ikumbukwe kuwa Isaya Mngulumi alishika nafasi ya pili akitanguliwa na Hayati Ndugai. Hapa ni kata ya Kibaigwa
CBE nawalalamikia binti yangu kamaliza 2024 Diploma lakini akienda Nactevet anaoneshwa kwamba wahusika wa CBE examinations officers hawajampandoshia matokeo yake yote bila taarifa wala sababu.za msingi.
Tunaomba Mkuu wa chuo Prof Thandi Luoga kulifanyia kazi hili.haraka ikiwezekana tumbua...
Nilikuona jana kupitia Azam tv Ukiweweseka kuwaita watu uwanjani bila shaka hujui. Acha nikupasue na kukupa ukweli
1. kwakuwa wewe ni mwana CCM, ulifanya figisu hata kuwakataza wagombea wengine wasigombee kwa kuchukua endowsments zote bila haya wala AIBU jambo likapita na sasa wasubiri...
Sijui ni kuathiriwa na malezi au tabia tu.
Mimi najua kuomba au kutarajia msaada huwa ni hatua ya mwisho sana.
Kuna baadhi ya watu hudhani msaada ni haki yao. Na matokeo yake ni yafuatayo.
Kuwa wazembe. Kutafuta wa kumtweka matatizo na majukumu yao.
Chuki hasa kwa pale walipoomba msaada na...
Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara.
Kwa mujibu wa mashuhuda...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mwanamasod Pazi akielezea sababu za matokeo ya Uchaguzi wa Kura za Maoni ya Ubunge ndani ya CCM kuchelewa kutangazwa.
Pia soma ~ Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?
Bukoba Vijijini | CCM Kura za Maoni Falis Athumani Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni baada ya kutoridhika na matokeo hayo yaliompa ushindi Dk. Jasson Samson Rweikiza, aliyeibuka mshindi baada ya kupata kura 6,485 kati ya kura halali 11,582 Falis Athumani Buruhan, alipata kura...
Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso.
Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea...
Watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Jane Mihanji na Hajra Mwikoki, wamesema wamepokea kwa heshima na utulivu matokeo ya kura za maoni zilizofanyika hivi karibuni.
Kwa nyakati tofauti wamesema, licha ya kutoshika...
Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha.
Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
Wagombea wawili Kati ya wagombea 9 wameibuka Vinara Katika Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Mkoa wa Morogoro Uliolenga kuwapata wawakilishi wanawake kutoka mkoani humo watakaoshiriki katika hatua ya kitaifa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Katika zoezi hilo...
Wadau wa elimu habari.
Chuo kikuu huria ni chuo kinachofanya vizuri katika taaluma mbalimbali hapa nchini nawapongeza katika hili.
Kero: Kumekuwa na upotevu wa mitihani ya wanafunzi na hata kupelekea wanafunzi kulipia gharama zakurudia mitihani baada ya mitihani hio kupotea, mbali na hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.