Kama wewe ni Mkristo mkatoliki ni sala, Novena, Rozali au uliwahi funga kuombea kitu na kikafanikiwa?
Mfano kwenye kuomba kazi, mke au mume au masomo n.k tushirikishe
Pia madhehebu mengine karibuni kushuhudia kulingana na MUNGU alivyokutendea.
NIANZE KUWAPONGEZA SIMBA SC
KWA UTHUBUTU WA KUINGIXA TIMU MENGI YALISEMWA LAKN WAMETHUBUTU KUINGIZA TIMU
PILI NIWAPONGEZE KWA KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI WANA YANGA WENGI TULIINGIA NA MATOKEO YA MKONO YAAN 5 HATIMAE MKAFANIKIWA KUFUNGWA 2 TU
HUU N UTHUBUTU NIIPONGEZE BODI YA SIMBA KWA KUTHUBUTU...
Kama kawaida nawaletea za ndani kabisa. Ikumbukwe wiki hii niliwaletea habari kuwa bunge halitovunjwa Hadi August, na imekuwa hivyo.
Sasa ndani ya mwezi July kutafanyika marekebisho madogo ya katiba na kanuni za uchaguzi. Marekebisho hayo ni kuwa Kwa mara ya kwanza matokeo ya uraisi yataweza...
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amezungumza kuhusu matokeo ya derby ya jana na kujibu kuhusu baadhi ya maoni ya mashabiki wa klabu yake kuto kumuamini na kumtaka aondoke kwenye uongozi.
Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?
Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ?
je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ?
je, matukio...
WIki iliyopita nilileta mjadala humu kuhusu kama CXM inaweza kwenda bila Chadema. Nilifuatilia ule mjadala wa wadau na jibu lilikuwa wazi kwamba "uchaguzi bila Chadema hauwezekani" Huo ni ukweli japo mchungu. UCHAGUZI huo hautapata kibali mbele ya macho ya dunia. Mbaya zaidi nikapata taarifa...
Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji...
Baada ya kuhitimu kidato cha nne ile miaka ya 2000s, nikitokea shule ya bweni, nilimtembea rafiki yangu ambaye tulipohitimu shule ya msingi, yeye alichaguliwa sekondari ya kutwa na mie walau vialama vyangu vilinifanya nipande basi la sumry, kwa mara kwanza na kutua ndani ya hii shule ambayo ni...
Japo sijachaguliwa kwa kuendelea na hatua inayofuata kwa sababu ya uchache wa watu wanaohitajika,lkn naamini uwezo ninao...ni suala la muda tu,huenda mambo yakakaa sawa siku moja.
Mimi ni huyo number 57 hapo nimepata 91% but NOT SELECTED
Tuzidi kukaza wadau, better days are coming.
Hivi karibuni watu walilalamika michezo ya Yanga kununua mechi na kuhonga wachezaji,kila mtu alikaa kimya na leo hii tunaona upuuzi unaoendelea...
TFF na mamlaka nyingine za mambo ya Rushwa pia zilikaa kimya ila matokeo tunayoana sasa.
Wangapi wanajua haya ya yanga ni kichaka cha kuficha mabaya...
Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura.
Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli hii alikuwa Waziri wa Mawasiliano.
Chuo cha Veta Kilichopo Njiro Arusha, KOZI YA UDEREVA Ngazi ya (PSV NA VIP) Kimekuwa Kikituzungusha Kutopeleka Matokeo Yetu TRAFFIC.
Wanafunzi wa Intec No. 177 Na 178 Ambao tumesoma mnamo tarehe 24 January 2022, lakini hadi leo ni miaka 4 tukifika Police kwa ajili ya Ku Hakiki Lessen...
"Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NI MATOKEO YA WANAWAKE WENGI KUJIRAHISISHA NA KUTOTII WAZAZI AU WALEZI WAO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hakuna lugha nyingine ya busara zaidi ya hiyo. Ongezeko la single mothers kwenye Jamii yetu na duniani ni matokeo ya wanawake wengi kujirahisisha...
Hakuna hatua yoyote wala chombo chochote kinaweza kuhoji sasa.
Yani nguvu kubwa mnayotumia kuteka wanaharakati,kudeal na lissu na wengine wanaouliza na sasa mnamatokeo.
Mpaka sasa Gwajima anaongoza kwa magoli 3.
Mashambulizi toka ile timu nyingine ni makali lakini kutokana na kuwa katika hali ya panick wamekuwa wakiupiga mpira nje mara kwa mara!
Nini kitajiri baada ya dakika tisini! Macho na masikio yetu uwanjani!!!
Tunajua Matokeo ya Urais na Ubunge ya nchi hii yanaamuriwaga na kulazimishwa na TISS. Kiuhalisia bila hao TISS yeye na chama chake ni wepesi zaidi ya karatas.
Sasa anavyogombana na TISS na siku ya uchaguzi wakiamua matokeo ya Urais yawe hivi. Atasemaje? Na Katiba inasema Matokeo ya Urais...
Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira...
Kwanini?
1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.