matokeo

  1. T

    JamiiForums Tanzania NECTA kuwa na mfumo wa kuficha majina ya watahiniwa katika matokeo, ina faida gani?

    Heri ya Mapinduzi kwa wazanzibari wotee. Necta hivi karibuni wameamua kutokuweka majina ya wanafunzi katika matokeo. Pamoja na mambo ya kulinda taarifa binafsi kwa hili hapana. Kujua ufaulu wa mtu hauishii kama mambo binafsi. Ni jambo la usalama wa taifa. Hebu fikiria kwa kipindi ambacho...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Leo Chelsea, Man City na Man U wapo vikaangoni - EPL!

    Ngoja tusubirie Matokeo.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Form Two yametoka?

    Hivi matokeo ya form 2 yametoka au la?mbona naperuzi kwenye website yao sioni kitu.
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Matokeo ya uchaguzi mkuu 2025 yafutwe pamoja na Tume Uhuru ya Uchaguzi INEC

    John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa chama hicho hakiutambui uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 na matokeo yake ni batili hivyo chama hicho kimetaka uchaguzi huo ufutwe. Aidha Heche amesema kuwa Tume ya Uchaguzi haina sifa ya kuwa Tume...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Opta Supercomputer imetabili matokeo ya EPL 2025/26 yatakavyoisha!

  6. E

    JamiiForums Tanzania Mwakilishi wa Vijana wa Bara akabidhi Matokeo ya Mkutano wa Vijana kwa Meya wa Johannesburg

    Hassan Ghazaly, Mmisri na mwanachama wa Kamati ya Mawasiliano ya Mfuko wa Ukaguzi wa Maridhiano wa Afrika (APRM) na Mwanzilishi wa Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa, amekabidhi matokeo ya Mkutano wa Tano wa Vijana wa Afrika uliofanyika Afrika Kusini kwa Mheshimiwa Dada Morero, Meya wa Jiji la...
  7. Criss

    JamiiForums Tanzania Anatuaktia au ndiyo matokeo ya Elimu mbalimbali?

    Kutokana na changamoto ambazo Taifa linapitia Kuna level ya kila mmoja huwa na aina ya matumaini yake kwa kiongozi mkuu wa Taifa. Tukubaliane tu iwe kwa sifa njema au mbaya huyo ndiye Rais wetu na hakuna mwingine , ninaimani kila mmoja kwa wakati wake huwa na aina fulani ya aina ya matumaini...
  8. C

    JamiiForums Tanzania CCM msipigwe butwaa hayo ndiyo matokeo yakugonga meza bungeni kwa vifijo na nderemo mkiamini mnawakomoa CHADEMA

    Naona mmepigwa ganzi s butwaa hiyo ndiyo faida ya party cocus na vifijo vya kuwa bendera fuata upepo bila kufikiri, nadhani sasa mmejua kwamba chama kinatumika kukamilisha mission za wahuni ila ndiyo hivyo mmechelewa sasa
  9. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania 9DecemberTunataka- Mustakabali na Matokeo ya utawala wa kikatili wa Samia

    🔻Utangulizi :Haya ndiyo matarajio magumu zaidi yanayosubiriwa... 🔥 Iwapo Watanzania hawatasimama kupigania uhuru wao, Hili litaamua Mustakabali 🇹🇿 [image designed by AI] @Mg2+ REJEA : Uchambuzi wa kina kwa kuzingatia uzoefu wa maisha halisi wanaokumbana nao #Waganda kwa sasa unaodhihirishwa...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kamteua Mtoto wake ELIMU ili Shule za Kiislam zifaulishwe , Shule za Wakatoliki zikandamizwe kwenye matokeo !!Dec 9 Wakatoliki msibaki ndani!!.

    For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja. Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!. Dec 9 asibakie MTU nyumban.
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaribio la kuhatarisha usalama wa taifa lilianza uchaguzi mkuu 2020 idara na mamlaka wakajiona washindi sasa tunavuna matokeo

    Hii idara huenda haipo huwa tunadanganywa kama taifa, inawezekana vipi idara ilishindwa kuona hatari iliyopo wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, then 2024 serikali za mitaa na mwaka huu wakapuuza security alert iliyokuwa imeshaonekana mapema? Hii idara ivunjwe kama ipo kweli maana naona mambo mengine...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Jelly Silaa amaliza ubunge 2025 kwa maumivu, aswekwa ndani akidaiwa kutaka kupindua matokeo.

    Miongoni mwa mawaziri wote wa Baraza la Mawaziri la 2020-2025, Jerry William Silaa peke yake ndiye waziri aliyeanguka ubunge hivyo kupoteza sifa ya kuteueliwa kuwa waziri tena kwenye baraza lijalo. Jerry Silaa aligombea ubunge 2025-2030 kwenye Jimbo la Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam kupitia...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mauaji ya raia hayakuwa vitisho na yatakuwa na matokeo mabaya katika siku zijazo

    Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama. Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
  14. mkuuwakaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wamepika matokeo wakati hesabu hawajui, kitawalamba soon

    Matokeo ya Uraisi wameyapika na mbaya sana hesabu hawajui. Soon wanaenda kuumbuka, na sisemi wapi watashikwa/ kitawalamba na upishi wao wa kitoto. Hesabu ni sayansi
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 MaRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025

    01 November 2025 Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan : "Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kombo - Tutatangaza matokeo ya uchaguzi jumamosi November 1, 2025

    31 October 2025 Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025 https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao nchi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Arusha wakichoma kituo kikuu cha majumuisho ya kura

  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkoa wa Morogoro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Morogoro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (11) ambayo ni Jimbo la Kilosa Jimbo la Mikumi...
  19. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
  20. Agent-47

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hii si sawa: Mtu amezunguka nchi nzima kuomba kura kwanini mnajadili ku nullify matokeo?

    Wanabodi, Wapo watu wanasema ya kuwa: Kama mwitikio wa wapiga kura utakuwa below 40% basi process nzima iwe batili na mchakato uanze upya. Mimi nauliza: Utajisikiaje kama ni wewe umezunguka nchi nzima, umesomba watu maelfu kwa maelfu hadi kwa trekta, umetumia zaidi ya billion 100, umeambiwa...
Back
Top Bottom