Watahiniwa 71 wafutiwa matokeo ya Kidato cha 6 na NECTA

Watahiniwa 71 wafutiwa matokeo ya Kidato cha 6 na NECTA

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,363
Reaction score
18,654
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa 71 wakiwemo 70 wa Mtihani wa Kidato cha Sita (64 wa Shule na 06 wa Kujitegemea) na mmoja wa Mtihani wa Ualimu Daraja A (GATCE) ambao walibainika kufanya udanganyifu katika Mtihani.

Akiongea Visiwani Zanzibar leo July 07,2025, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr. Said Mohamed amesema “Matokeo hayo yamefutwa kwa mujibu wa Kifungu cha 5 (2) (i) na (j) cha Sheria ya Baraza la Mitihani Sura ya 107 kikisomwa pamoja na Kifungu cha 30(2) (b) cha Kanuni za Mitihani za Mwaka 2016”

1751892007386.png
 
Back
Top Bottom