Tumefika siku ya kile kinachoitwa siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini mimi niiite siku ya UCHAFUZI.
Hivi katika mazingira ya kawaida unaposhindana na mshindani wako na akaamua kujitoa kutokana na dhuluma za waziwazi unazomfanyia, hivi wewe unayebaki kwenye ushindani huo, utawezaje...