matokeo

  1. JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Ulaya: Je, Barcelona itafanikiwa kupindua matokeo?

    Baada ya kupokea kichapo kizito cha goli 4-1 kutoka kwa PSG katika Dimba la Camp Nou, Barcelona leo inatupa tena karata yake ya pili kuvaana na PSG ikiwa nyumbani katika uwanja wa Parc des Princes. Huu ni mchezo wa marudiano wa hatua ya mtoano ambapo katika mchezo wa kwanza Kylian Mbappè...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutunuku matokeo ACSEE 2021

    Ni kweli kuwa mfumo wa kutunuku matokeo (grading system) ya ACSEE kwa mwaka 2021 umebadilika ?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kutokomeza umaskini ni matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa

    Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo. Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
  4. JamiiForums Tanzania Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa, John Tendwa: Katiba Mpya itaondoa migogoro ya Uchaguzi. Kwanini Rais hapingwi Mahakamani?

    Salaam Wakuu, Msajili Mstaafu wa Vyama va Siasa Jaji Mstaafu John Tendwa, amesema Katiba Mpya itaondoa Migogoro wakati Uchaguzi. ameyasema hayo leo 13 Feb 2021 Jijini dar Wakati wa kujadili Utatuzi wa Migogoro ya Uchaguzi Tanzania, katika Kongomano lililoandaliwa na Tanganyika law society (TLS)...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma: Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amtembelea Rais Mstaafu Dk. Ali Mohamed Shein

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi amemtembelea kumjulia hali Rais Mstaaf wa Zanzibar awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye.
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 na bao la mkono alilopiga Halima Mdee isiwe sababu ya kuponda siasa za Bongo

    Mmegeuka kama watoto wadogo kwenye game la siasa za Bongo. Kila kukicha mnaleta stori za ajabu kuwa uchaguzi uliopita mlibagazwa sababu kulikuwa na faulo. Lakini hamtaki kuweka ukweli kuwa CHADEMA ilikuwa imekataliwa na Watanzania toka mwaka 2015 baada ya kufanya utapeli na kumpa ridhaa Edward...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa matokeo haya

    Jamani wakubwa wanaJF, tafadhali naomba msaada wa ushauri kwa haya matokeo. Physics D, Chemistry C, Geography C, Civics B, History C, Kiswahili B, English C, Mathemetics F, Biology B. Lengo ni kwenda technical in laboratory technology. Je, naweza chaguliwa?
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Madaktari wetu huwa wanashindwa kutafsiri matokeo ya vipimo?

    Nimekuwa nikisikia habari za mtu kuambiwa na ugonjwa huu akawa anatibiwa ugonjwa kwa muda mrefu halafu baadae inakuja kugundulika hana huo ugonjwa. Kuna mdada aliwahi kuhojiwa, aliambiwa na kansa akawa anachomwa mionzi kwa muda wa miaka 2 hadi wakataka kumkata ziwa, ila familia ikampeleka India...
  9. JamiiForums Tanzania Geita: Wanafunzi wakosa matokeo yao baada ya Mwalimu Mkuu kula ada za Mitihani

    Serikali mkoani Geita imeuagiza uongozi wa shule ya sekondari ya Geita Islamic, ifikapo kesho asubuhi iwasilishe stakabadhi za malipo ya mitihani ya wanafunzi, baada ya Mwalimu Mkuu wa shule hiyo kukiri kula ada za mitihani ya Taifa ya wanafunzi wa kidato cha Pili na cha Nne. Akizungumza...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya rufaa Kidato cha Sita 2020: Hakuna grade iliyobadilika

    Wadau angalieni matokeo ya rufaa kidato cha sita 2020. Hakuna liyeweza kubdili grade ya mwanzo. Swali la haja: Kama kuna mwenye kujua hizi rufaa zinakuwa handled vipi i.e aliyeomba rufaa anashirikishwaje katika rufaa anayokata wakati wanarudia kusahihisha? Anakuwa na mwakilishi/au yeye...
  11. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro yashika nafasi ya pili kitaifa matokeo ya kidato Cha nne 2021

    Arusha yasika nafasi ya kwanza, Kilimanjaro ya pili na iringa nafasi ya tatu matokeo ya kidato Cha nne yaliyotangazwa juzi
  12. J

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

    Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne. Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara. Source: ITV...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake. Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Shule za mkoa wa Kilimanjaro zinafeli wapi maana hazimo Top ten ya matokeo kidato cha nne!

    Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro. Tunafeli wapi jamani? Maendeleo hayana vyama!
  15. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu matokeo haya ya Form Four

    Wapendwa! Naomben ushauri wenu Nina mdogo wangu amemaliza form four na amepata four ya 26 Kiswa B, English C, Lit Engl D Bios, Civics, Geog---- D Hist F and Math F Je, anaweza kwenda kusoma advance au njia gani nyingine ya ziada ifanye ili asonge mbele kielimu?
  16. JamiiForums Tanzania Makonda kachangia sana kupanda kwa ufaulu wa matokeo kidato cha 4 mkoa wa Dar

    Huyu jamaa alikua akihimiza ujenzi wa staff nzuri za walimu wa Dar.Walimu huvutiwa zaidi na mazingira mazuri ya kazi.Viongozi wengi wanahimiza ujenzi wa madarasa na kuwasahau walimu wao.Naomba wakuu wa mikoa yote Tz waige mfano huu.
  17. R

    JamiiForums Tanzania WADAU WA KATA BWANJAI: MATOKEO YA MITIHANI YA BWANJAI SEKONDARI MMEYAONA?

    Nasikia kuna umoja wa maendeleo ya kata Bwanjai, hata juzi mlifanya mkutano (BWANJAI DAY) wa kuona namna ya kusaidia maendeleo ya Bwanjai. Nadhani pa kuanzia ni hapa shuleni! Diwani Phocus, tatizo liko wapi? Tuanzie hapo hata kabla ya kuinvest sana kwenye maendeleo ya vitu vingine (navyo ni...
  18. JamiiForums Tanzania Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

    Ufanyike uchunguzi kwanini watoto wa Mtwara wana poor performance. Jibu likipatikana ifanyiwe mkakati wa kuinua elimu Mtwara. Kama ni kuanzisha madarasa ya Jumamosi nje ya syllabus. Serikali itenge fungu maalum la kuinua elimu Mtwara. Hali ikiachwa hivi, hii jamii itakua imetengwa sana...
  19. JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2020: Siku hizi hakuna 'penati' za Civics na Basic Mathematics?

    Wakuu, nawasalimu! Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16. S............ F 16 I CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY -...
  20. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata matokeo ya mwanafunzi anayesema amesahau namba yake?

    Huyu ni mtoto wa ndugu yangu, anadai haikumbuki namba yake, ila ukweli ni kwamba anajaribu kuficha matokeo yake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…