matibabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Africa Cancer Foundation wanatoa Matibabu ya Bure ya Saratani ya Matiti kwa Wanawake

    Nimeona ujumbe wa WhatsApp unaotaka watu watume majina ya Wagonjwa wa Saratani ya Matiti kabla ya Machi 7 ili watibiwe bure. Nina ndugu yangu ni mgonjwa. Naomba kufahamu kama tangazo hili lina ukweli ili nisitapeliwe bure.
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yasema haiwezi kugharamia Matibabu ya Kisukari na Tezi Dume kwasababu huduma nyingine zitasimama

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Protas aliyependekeza Serikali ianze kugharamia Matibabu ya Wagonjwa wa Kisukari na Tezi Dume ambapo amesema gharama za kutibu Magonjwa hayo ni Tsh. Bilioni 346.42 kiasi...
  3. JamiiForums Tanzania Baltazari afikishwa hospitali ya Bugando kwa matibabu

    Baltazari Thobias ( 18) kutoka kijiji cha mtoni wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza afikishwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya uvimbe ambao amekua nao kwa muda wa miaka minne sasa. Akiongea baada ya kumpokea, Daktari Bingwa wa magonjwa ya uso...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani

    NAMIBIA: Rais Hage Geingob anatarajia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani ikiwa ni siku chache tangu Serikali ithibitishe kuwa Uchunguzi wa Kiafya umebaini Kiongozi huyo ana Ugonjwa wa Saratani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, Ikulu, imesema kwa sasa, shughuli zote...
  5. JamiiForums Tanzania Singida: Mtoa Matibabu afikishwa Mahakamani kwa kuomba na kupokea Rushwa ya Tsh. 150,000 ili afanye Upasuaji wa Tumbo

    Afisa Tabibu kutoka Hospitali ya Wilaya ya Iramba aliyetambulika kwa majina ya Msafiri Omary Kalomo, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iramba, kwa shtaka la kuomba na kupokea Rushwa ya Tsh. 150,000 kutoka kwa Neema Msengi Kilimba ili amsaidie kufanya upasuaji wa uvimbe katika Tumbo la...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto atangaza kuanzia Januari 2024 matibabu Kenya ni bure.

    Msikilize mwenyewe hapa. https://twitter.com/ntvkenya/status/1726228842904244275?s=19
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja rekodi matibabu ya moyo

    Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam. Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) Upasuaji huo wa historia umefanyika kwa wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 katika...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wanaficha costs za safari na sababu ya kuwa huko maana Watanzania wamekuwa wakilalamika matumizi ya hovyo ya fedha zao

    Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue! 1. Mnaficha gharama z safari be it matibabu or else other bussiness 2. Mnaficha ugonjwa Yatajulikana maana huko...
  9. JamiiForums Tanzania Taasisi ya MOI yasema inatoa msamaha wa Tsh. Bilioni 3 kila mwaka kwa wagonjwa wanaokosa gharama za matibabu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Prof. Charles Mkony wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwapunguzia deni ambalo wanadaiwa kutokana na msamaha wa gharama za matibabu kwa baadhi ya wagonjwa ambao wamepatiwa huduma na kushindwa...
  10. JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu suala la wagonjwa walioshindwa kulipa gharama za matibabu hospitali ya Muhimbili

    Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara ya watu kuhusu wagonjwa kuzuiliwa Muhimbili hata miezi mitatu na kuendelea sababu ya kushindwa kulipa deni. Nashauri Waziri wa Afya atume watu (tume huru) wakapate ukweli kwa kupata taarifa ya Hospitali lakini pia kuongea na waathirika ili wapate ukweli...
  11. JamiiForums Tanzania Rwanda yaipa Gaza msaada wa chakula, dawa na vifaa vya matibabu

    Serikali ya Rwanda imetuma Tani 16 za msaada wa Vyakula, dawa za binadamu, vifaa vya matibabu kwa Watu wa Gaza Nchini Palestina kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Kundi la Hamas. Naibu Msemaji Mkuu wa Serikali ya Rwanda, Alain Mukuralinda amesema misaada hiyo imefikishwa kupitia...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Assa Makanika: Wananchi changamkieni fursa za matibabu ya bure

    MBUNGE ASSA MAKANIKA: WANANCHI CHANGAMKIENI FURSA ZA MATIBABU YA BURE WANANCHI KIGOMA WAPATA MATIBABU BURE Madaktari Bingwa 11 kutoka nchini China 🇨🇳 wameweka kambi ya Siku 5 katika Halmashauri ya Kigoma ili kutoa matibabu ya bure kwa wananchi wa Kigoma na kutoa huduma za upasuaji na Masuala...
  13. JamiiForums Tanzania Bugando: Kati ya Wagonjwa wa Afya ya Akili 5,000 wanaofika Hospitali, 500 wanahitaji Matibabu Maalumu

    Mkuu wa Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Hospitali ya Bugando, Dkt. Catherine Magwiza amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ya jijini Mwanza inapokea na kuhudumia wastani wa Wagonjwa 5,000 wenye tatizo la Afya ya Akili kila mwaka. Dkt. Magwiza ametaja baadhi ya Viashiria na...
  14. JamiiForums Tanzania Beki Che Malone Fondoh ni mgonjwa, anahitaji matibabu ya haraka

    Kuwa na Afya njema ni zaidi ya kukosa maumivu mwilini, jeraha au kuvunjika mifupa. Mpira unachezwa na mwili pamoja na akili. Mchezaji che Malone amepata ajali ya gari usiku pale maeneo ya Mikocheni jirani na shule ya FEZA. Hata kama mchezaji wetu huyu kisiki Che Malone hakupata majeraha ya mwili...
  15. JamiiForums Tanzania NADHARIA Nadharia mbalimbali kuhusu Maambukizi na Matibabu ya VVU na UKIMWI

    VVU/UKIMWI vinasalia kuwa janga kuu la afya ya Umma duniani, janga lililogunduliwa zaidi ya miaka 40 iliyopita likiwa limechukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40.4 huku maambukizi yakiendelea katika nchi zote duniani. Hadi kufukia mwishoni mwa mwaka 2022, kulikuwa na wastani wa watu milioni...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Matibabu ya masikio

    Habarini Wana jukwaa. Naomba kwa mwenye taarifa juu ya operation za cochlear implant surgery kwa Tanzania na gharama yake na hospitals zinazotoa huduma hii pia anijulishe kwa upana zaidi.
  17. JamiiForums Tanzania Watu 335 wafanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo kwa siku mbili katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

    Watu 335 wamepata huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo kwenye kambi maalumu ya matibabu ya siku mbili iliyomalizika jana katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group. Kaimu Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dkt.Tulizo Shemu alisema matibabu hayo ya tiba mkoba yajulikanayo...
  18. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Saratani ya Ocean Road yatoa mafunzo ya matibabu ya Teknolojia ya Nyuklia

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa ya Nguvu za Atomic, International Atomic Energy Agency (IAEA), imetoa mafunzo ya matibabu ya Teknolojia ya Nyuklia kwa wataalamu 18 kutoka mataifa 15 ya Afrika. Mafunzo hayo yamezinduliwa Septemba 4, 2023 katika...
  19. JamiiForums Tanzania JKCI: Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo

    Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo kupitia huduma ya tiba mkoba ijulikanayo kama Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services inayofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya Saudi Arabia kusaidia matibabu ya kuwatenganisha Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana

    Serikali ya Saudi Arabia itasaidia na kusimamia matibabu ya kuwatenganisha Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana Hussen na Hassan wenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11 wakazi wa Mkoa wa Tabora ambao wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…