Habarini waungwana
Ni kwa takriban 5yrs now tangia nifahamiane na mshkaj m1 ambae yuko na tatizo la mtoto wa jicho, tatizo linazidi kuwa kubwa yaani mpaka december inawez kuwa hatari zaidi.
Then, naomba kujuzwa kama tatizo hili linatibika, na niwapi ambapo yapo hayo matibabu na pia ni kwa...
Ni huzuni
Ni majonzi
Mpendwa wetu ametutoka akipatiwa matibabu Hospitali Mugana wilayani Misenyi
Mtumishi huyu wa Bwana amehitimisha safari yake ya Utume katika Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi - Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba
Mwili wa Mwendazake huyo utapumzishwa Jumatatu kwenye...
Kung’ata kucha(Onychophagia)
Tabia ya Kung’ata kucha inaweza kuwa haina madhara iwapo itakuwa ya muda labda wasiwasi wa urembo wa kucha lakini tabia hii inaweza kuendelea na kulifanya tatizo la kudumu. Kung’ata kucha kulikopitiliza(Onychophagia) kunaharibu kucha na tishu zilizozizunguka
DALILI...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Kuna stage ugonjwa ukifika ni lazima busara itumike. Mnauza mali zote kulipia matibabu, ndugu anakufa kisha familia inabaki na umasikini wa kutupwa. Familia masikini/fukara kuuza nyumba yao ya pekee ni pigo...
Ataagwa kesho Lugalo Jeshini kabla ya mwili kusafirishwa kwa maziko Mkoani Mara.
Alilazwa Hospitali ya Mloganzila kwa Matibabu baada ya kunywa sumu.
Marehemu Daniel Mirumbe Marwa alikuwa Askari wa Kikosi cha Jeshi 92 KJ na mkewe aliyemuua aliitwa Joyce Ismail Bhoke.
Marehemu hao wameacha...
MGOMBEA urais kupitia Chama cha UPDP, Twalib Kadege amesema akichaguliwa, atahakikisha kila Mtanzania anapata tiba bure, kwa kuwa ni haki ya kila mwananchi.
Alitoa ahadi hiyo kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Soko la Gungu Kwa Zulu Natal Manispaa ya Kigoma Ujiji.
Aliomba wananchi...
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali na wamiliki wa hospitali kuangalia upya gharama za mazoezi tiba yanayotolewa kwa watoto wenye usonji ili kuwawezesha kupata huduma hiyo.
Kikwete alitoa ushauri huo Dar es Salaam juzi, alipozungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyolenga...
Tundu Lissu akipelekwa Nairobi
Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kuwa mvutano kuhusu Bunge kukataa kulipia gharama za matibabu yake kwa kukiuka taratibu za matibabu ya Wabunge na kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili ni mgogoro wa kutengenezwa na kwamba, utaratibu huo hautambuliki...
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Tanzania na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Ndugu yetu Absalom Kibanda anarejea kesho saa saba mchana na ndege ya SAA kutoka kwenye matibabu ya muda mrefu nchini Afrika Kusini baada ya kutekwa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake akirudi nyumbani siku 88...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.