Kuwa single mateso

Raia mpya

JF-Expert Member
Apr 12, 2022
323
954
Habarini ndugu zangu,

Acha niende kwenye mada moja kwa moja, iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako ' na maneno mengine mengi lakini Ukweli kuwa single ni shida.

Binafsi nina experience ya kuwa Single kwa muda mrefu pengine kuzidi nyote humu lakini niseme tu HAKUNA RAHA YOYOTE ZAIDI YA MAWAZO TU.

Ni vile kutokana na Uchumi au sababu zilizo nje ya uwezo wetu lakini hakuna mtu anaependa kuwa single.

Ukweli kuwa na mpenzi hasa mnaependana kuna raha tena ya aina yake.
 
Habarini ndugu zangu acha niende kwenye mada moja kwa moja iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako ' na maneno mengine mengi lakin Ukweli kuwa single ni shida.

Binafsi nina experience ya kuwa Single kwa muda mrefu pengine kuzidi nyote humu lakin niseme tu HAKUNA RAHA YOYOTE ZAIDI YA MAWAZO TU
Ni vile kutokana na Uchumi au sababu zilizo nje ya uwezo wetu lakini hakuna mtu anaependa kuwa single.

Ukweli kuwa na mpenzi hasa mnaependana kuna raha tena ya aina yake.
Kweli kabisa kuwa single ni shida sana. Hii mambo ya self service sio maisha. Ila sasa bila ndalama mbususu hupati😭😭😭😭
 
Wewe hauko single bali uko lonely, being single is not as being lonely, but as a man, you should not be single forever, at some point, you have to find a beautiful wife and settle down and having kids and making life together.

During your 20s is okey to be single, and channel your energy to create your name in the society in all facets of life as much as you can
 
Back
Top Bottom